Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Maisha kwa wananchi hayakuwa nafuu acha upotoshaji, sukari, mafuta ya kula yalipanda bei wakati kwa kiwango kikubwa. Hakutoa ajira, bali alipunguza kwa kificho cha vyeti fake. Ni kweli umeme wakati wake haukuwa unakatika mara kwa mara. Hakuwa na sera za kumsaidia masikini kwa maana ya sera, bali aliruhusu biashara holela kwa wamachinga kwa sababu wamachinga wengi walikuwa wafuasi wa cdm.

Tatizo la maji hakulimaliza, bali utekelezaji wake haukuwa na tofauti na marais wengine, ila yeye alikuwa mzuri kwenye propaganda, alifanikiwa kuwaaminisha wajinga kuwa sungura ni mkubwa kama tembo.

Rushwa ilipungua kwenye majukwaa ya siasa ila sio kwa uhalisia wake.
 
Alisitisha Ajira za Moja kwa kwa Moja hasa katika kada ya elimu na afya alipoamua kuwa waziri wa tamisemi.

Akawateua makada wa Ccm katika nafasi za utendaji licha ya kwamba hawakua na sifa Wala uzoefu katika nafasi hizo.

Akakusanya fedha za vitambulisho haramu vya wamachinga mpaka anakufa hazijawahi kujulikana zilipoenda.

Akakusanya hela za plea bargain kama Rushwa ya kuwasamehe aliwaoshtaki kwa makosa ya Uwongo na kusingizia.

Akapandisha makato ya Bodi ya mikopo ya elimu ya juu, kutoka asilimia 8 mpaka 15 bila nyongeza ya mshahara wowote Kwa miaka mitano.

Akafananishwa na Mungu-akafa
 
CCm nayo ipumzike
 
Wewe ni jingalao ningeshangaa kama usingeandika ujinga!
 
Mleta mada anafikiri jf ipo na mazwazwa? why tumia nguvu kubwa kwa mambo mepesi , heshima ya mzee Wariba lazima Lindwa kwa Nguvu kubwa
 
Hawa chawa wanadhani tumesahau dhahama za yule mzee.
 
Vijana wa 2000 na early 80s hamna heshima kwa wazee hata kidogo. Ungekua unajitambuankipindi nyerere akiwa hayupo madarakani ila anaitisha press na kukemea serikali kukiuka katibabusingekurupuka hivi. Ni kazi ya wazee kusimama na kukemea jamii inayokengeuka na kuacha misingi yake mizuri na iliyoijengea heshima. Kingereza kingi ndani mashudi tupu.
 
Wewe punguani hujitambui kuwa hustahili na wala huna uwezo wa akili wa kumfanyia assessment Mzee wa hekima Joseph Sinde Warioba?

Eti mzee Warioba hakuna jambo kubwa alilowahi kulifanyia Taifa!! Hivi umekuwa punguani wa kiasi hiki!!

Mzee Warioba ameifanyia makubwa nchi hii, na anaifanyia makubwa zaidi kwa sasa kwa kuusahihisha uongozi uliopinda.

Mungu mkuu wa yote, tunaomba uendelee kumlinda na kumjalia hekima na ujasiri Mzee Warioba maana kwa sasa ndiye mzee pekee mwenye hekima na ujasiri wa kukemea ushetani unaofanywa na Serikali na watawala waliopinda.

Hata katika makuu anayoyafanya mzee Warioba, ni hakika mashetani hawatatulia, bali lazima wataonesha jinsi walivyo hayawani, na wasivyopenda kufundwa, kukoselewa na kuelekezwa, kama alivyofanya punguani mwovu mleta mada.

Asante Mungu wetu kwa sababu ya zawadi kubwa kwa Taifa, zawadi ya kuwa na mtu kama Warioba katika nchi yetu.
 
Mimi nafikiri wewe ndo ulitakiwa kupumzika ili kulinda heshima uliyojitengenezea kwenye familia yako kwa muda mrefu. Au unaoj, kuliko kuhamgaika na Warioba ambaye ni msemaji wa wasio na pakusemea.

Pia kumbuka Warioba anatoka mkoa uleeeee wanaotahiriwa kwa kisu bila ngazi. Kwa hiyo hana uoga wowote ktk maisha yake. Au wewe unamuonaj kijana Heche unafikiri ni mla urojo au chips mayai. Huyo na Warioba and the like wanatoka huko huko. Wao husimamia wanachokiamini, na hawanunuliki kizembe km akina Nasali et al.
 
Mkuu Jinga, jaribu kupitia Wikipedia usome historia ya Mzee Warioba.
 
Unaumwa mavi wewe
 
Kati ya Warioba na wewe nani hana adabu?
 
Another phone in foolish hands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…