braza bonge
Member
- Jul 13, 2018
- 99
- 124
hivi huko CCM hakuna wenye akili kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huwa unashindwa kuficha upumbavu wako?Lete rasimu yako iliyokamilika
Ni kweli. Kuna wale waliomkabidhi Mbowe akili zao wanatakiwa waondolewe.Haya majitu yanayokula kwa kusifia ni wakati wa kuyanyongwa ili taifa libaki na watu safi
Maisha kwa wananchi hayakuwa nafuu acha upotoshaji, sukari, mafuta ya kula yalipanda bei wakati kwa kiwango kikubwa. Hakutoa ajira, bali alipunguza kwa kificho cha vyeti fake. Ni kweli umeme wakati wake haukuwa unakatika mara kwa mara. Hakuwa na sera za kumsaidia masikini kwa maana ya sera, bali aliruhusu biashara holela kwa wamachinga kwa sababu wamachinga wengi walikuwa wafuasi wa cdm.Maisha ya wananchi wa kawaida yalikuwa na nafuu. Sera zake zililenga kumsaidia maskini.
Ndio hakuwa na uvumilivu sababu alijua muda wake, wetu hapa duniani ni mchache. Huwezi kumsikiliźa kila mpiga kelele otherwise huwezi kufanya kitu chochote.
Umeme. Maji, ulipatokana huduma serikalkni. Rushwa ilipungua. Haki kwa wananchi wengi ilizingatiwa. Alikuwa anasokiliza na kuongea na wananchi kila siku kwenye ziara zake.
Wewe ni mjinga na sidhani kama vijana wote wa Ccm Wana akili kama zako. Kama wewe ni mwakilishi wa VIJANA wengi wa Ccm basi sisi kama taifa tuna safari kubwa sanaWaziri mkuu aliyefanya kipi tunachoweza kukiona leo??
Alisitisha Ajira za Moja kwa kwa Moja hasa katika kada ya elimu na afya alipoamua kuwa waziri wa tamisemi.Maisha kwa wananchi hayakuwa nafuu acha upotoshaji, sukari, mafuta ya kula yalipanda bei wakati kwa kiwango kikubwa. Hakutoa ajira, bali alipunguza kwa kificho cha vyeti fake. Ni kweli umeme wakati wake haukuwa unakatika mara kwa mara. Hakuwa na sera za kumsaidia masikini kwa maana ya sera, bali aliruhusu biashara holela kwa wamachinga kwa sababu wamachinga wengi walikuwa wafuasi wa cdm.
Tatizo la maji hakulimaliza, bali utekelezaji wake haukuwa na tofauti na marais wengine, ila yeye alikuwa mzuri kwenye propaganda, alifanikiwa kuwaaminisha wajinga kuwa sungura ni mkubwa kama tembo.
Rushwa ilipungua kwenye majukwaa ya siasa ila sio kwa uhalisia wake.
CCm nayo ipumzikeNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wewe ni jingalao ningeshangaa kama usingeandika ujinga!Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mleta mada anafikiri jf ipo na mazwazwa? why tumia nguvu kubwa kwa mambo mepesi , heshima ya mzee Wariba lazima Lindwa kwa Nguvu kubwaNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hawa chawa wanadhani tumesahau dhahama za yule mzee.Alisitisha Ajira za Moja kwa kwa Moja hasa katika kada ya elimu na afya alipoamua kuwa waziri wa tamisemi.
Akawateua makada wa Ccm katika nafasi za utendaji licha ya kwamba hawakua na sifa Wala uzoefu katika nafasi hizo.
Akakusanya fedha za vitambulisho haramu vya wamachinga mpaka anakufa hazijawahi kujulikana zilipoenda.
Akakusanya hela za plea bargain kama Rushwa ya kuwasamehe aliwaoshtaki kwa makosa ya Uwongo na kusingizia.
Akapandisha makato ya Bodi ya mikopo ya elimu ya juu, kutoka asilimia 8 mpaka 15 bila nyongeza ya mshahara wowote Kwa miaka mitano.
Akafananishwa na Mungu-akafa
Vijana wa 2000 na early 80s hamna heshima kwa wazee hata kidogo. Ungekua unajitambuankipindi nyerere akiwa hayupo madarakani ila anaitisha press na kukemea serikali kukiuka katibabusingekurupuka hivi. Ni kazi ya wazee kusimama na kukemea jamii inayokengeuka na kuacha misingi yake mizuri na iliyoijengea heshima. Kingereza kingi ndani mashudi tupu.Warioba is a pinnacle of excellence and a formidable intellectual force to reckon with. He's aging with grace and stands tall even among his acolytes.
I'm a witness to a nascent idiotic Anti-Warioba-trope, which I find to be fueled by primordial envy and lunacy, than UZALENDO. All people who criticize Jaji Warioba happen to be unable to challenge him intellectually in the battle of wits, but use smear campaign, gutter politics and brute force.
After Jakaya's camp lost a constitutional debate against Warioba's, they sent henchmen and goons to violate Jaji Warioba in public, something which was vindicated by divine providence and Kikwete himself was proportionately humiliated by the same goons he sent.
Let Warioba Be, currently none of you in CCM can reach his High Frequency of Intellect and Integrity.
Wewe punguani hujitambui kuwa hustahili na wala huna uwezo wa akili wa kumfanyia assessment Mzee wa hekima Joseph Sinde Warioba?Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
👊Jaji Warioba alifanya kazi kubwa sana kutengeneza katiba mpya iliyokwamishwa.
Wewe haujaona hata jina lake tu Yani anaitwa kubwa jinga ha ha ha haWewe ni mjinga
Mkuu Jinga, jaribu kupitia Wikipedia usome historia ya Mzee Warioba.Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Unaumwa mavi weweNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kati ya Warioba na wewe nani hana adabu?Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Another phone in foolish hands.Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
phone Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.