Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Aliekuambia amechoka nani??? Watu hamna akili mnaambiwa mnaharibu nchi mnasema anaewambia apumzike hii nchi sio yenu hii ni yetu wote sio genge flani linalojifanya linajua linaharibu nchi acheni uhuni .
Sawa Tukianza Kumjibu kwa Hoja majukwaani asianze Kulia Lia Kuwa anavunjiwa Heshima, Mana Kwa Umri ule kwani ni wazee wangapi ambao walikuwa Key figures mbona wametulia tu mzee, Yeye iweje kila siku kutaka Mic
 
Ungejua mabilioni ya wizi ailiyohusika nayo huyo mzalendo wako usingeandika huu upuuzi!
Kuhusu miradi ni ujinga kumtukuza rais wakati fedha si zake. Na hatendi peke yake!
Fafanua? Wewe ndio unamtukuza, mpumbavu mkubwa wewe na wenzako wewe akili kama yako.

Miradi mikubwa kwanini haijafanywa toka uhuru kama ni rahisi kama ulaya.

Acha usenge wewe. Watu wenye nia thabiti wanasaidia maendeleo ya Mataifa. yote duniani. Kila sekta kisiasa, kiuchumi. Kimaadili, kisayansi. Nyerere, Warioba, Magufuli wanakubalika na Watanzania wengi mtaani.
 
Wote wenye kupewa jukumu la kumjibu Mzee mtetezi kwani kwenu hamna Wazee,na pia mtajitokeza wote kwa uwoga na aibu kimbwekea Mzee wetu huku aliyewatumeni akificha usu kwa aibu huko aloko.
 
Wote wenye kupewa jukumu la kumjibu Mzee mtetezi kwani kwenu hamna Wazee,na pia mtajitokeza wote kwa uwoga na aibu kimbwekea Mzee wetu huku aliyewatumeni akificha usu kwa aibu huko aloko.
Jinga la CCM wewe unatumwa na nani? Bila kutumia hata brain cell yako moja. Jibu hoja alizotoa?
 
Jinga la CCM wewe unatumwa na nani? Bila kutumia hata brain cell yako moja. Jibu hoja alizotoa?
Mlio ahidi mtamjibu mseme nyie mmetumwa na nani mumnyamazishe Mzee mtetezi wa taifa?Bila shaka wale wahuni wa mapangoni aliyosema mwalimu wenu wa darasa la siasa ndio nyie hasaa.
 
🚮🚮
 
Mlio ahidi mtamjibu mseme nyie mmetumwa na nani mumnyamazishe Mzee mtetezi wa taifa?Bila shaka wale wahuni wa mapangoni aliyosema mwalimu wenu wa darasa la siasa ndio nyie hasaa.
Jibu hoja zake.
 
Kwakeli Babu anajidhalilisha. anatumiwa vibaya sana. Legacy haitafutwi kwa mtindo huo.
 
Kwakeli Babu anajidhalilisha. anatumiwa vibaya sana. Legacy haitafutwi kwa mtindo huo.
Hatafuti legacy. Legacy yake ipo kamili. Kwa kuanzia na tume ya Warioba. Yeye ndio mmoja waanzilishi wa CCM. Nyie wakuja ndio mna shida ya Legacy. Jibuni hoja zake mstari kwa mstari.
 
Hakuna chawa wa upinzani kwani uchawa siyo sera ya chama chochote cha upinzani isipokuwa vyama marafiki wa CCM waliovamia upinzani wakati ni maCCM na machawa. Finish.
Hapana mbona Mbowe anamachawa kibao ukifika muda wa uchaguzi utasikia mwamba tuvushe wengine wanajifanya wanaenda kujusujudu nje ya geti lake kujifanya wanagombea agombee kumbe uhuni mtumpu
 
Sawa Tukianza Kumjibu kwa Hoja majukwaani asianze Kulia Lia Kuwa anavunjiwa Heshima, Mana Kwa Umri ule kwani ni wazee wangapi ambao walikuwa Key figures mbona wametulia tu mzee, Yeye iweje kila siku kutaka Mic
Hoja yako ni nini hasa: Anyamaze kisa wazee wengine wameshamaza??Mbona kama watu akili zinafyatuka
 
Comment kama hizi ni za mtu mwenye wadhifa wa upendeleo bila elimu ya kutosha. Kuna Mkuu wa Mkoa mmoja namfahamu wa aina hiyo na huenda ndo wewe.
Juzi hapa, Rais Mstaafu Dr. Kikwete kato rai kuwa Wazee watumike kuituliza nchi. Kwa akili yako ulifikiri alikuwa na maana gani?
 
Mwache Warioba aongee ni haki yake kama ilivyo haki yako kuongea. Hawezi kupoteza heshima kwa kusema ukweli.
 
Wanaomkubali magufuli ni watukanaji wenye akili kisoda
 
Unataka kubishana na Warioba?
 
Acheni upumbavu! Anyamaze muendelee kumaliza nchi!?
 
Wanaomkubali magufuli ni watukanaji wenye akili kisoda
Kama wewe. Unafikiri hi nchi kikwete alipoocha angeingia Samia moja kwa moja ungepata mlo mmoja kwa siku. Alirekebisha mengi, kuwapa chawa hata kuwapa nyie chawa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…