Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

Wabunge wa CCM ndio chawa, badala ya kuzungumzia matatizo yanayotukabili wao wanajikomba kwa mwenye kaya, mbona hatuoni mapovu kwenye tozo,shida ya umeme na maji au wao wapo kwa ajili ya serikali au wale walio wachagua, hata akina Kingwangwala jamani. Hii CCM ya kujikomba kwa viongozi imekuwa ya vichekesho sijui wanafikiri kwa kutumia nini, huu uchawa ni aibu kwao pamoja na familia zao.
 
Dr Bashiru nikiongozi mzuri tangu zamani na naunga mkono hoja ya warioba Wajibu vizuri na c kurushiana maneno utazani madem ukiangalia kigwangalla hadi katoka nje ya mada analeta story za CUF na ndio u dk wake unapofeli unakuwa wa mchongo
 
Kiboko yake makonda tu, awamu nzima alikuwa kimyaaaaa,
Aendelee tu kumimina gongo haya mengine atuachie titamalizana wenyewe
 
Wote wanaomshambilia wana low iQ.
 
Tubadilisheni katiba yet na iseme kiwango cha eliminate kinachokubalika mtu kuwa mbunge iwe digrii ya kwanza na kuendelea maana kinachofanywa na hwa wanaojiitawao ni w
 
Kiwango cha elimu ya darasa la saba ni ndogo sana kumuwezeshamtu kuwa mbunge na hatimaye kuwa waziri hebu pima michango ya hao wanaojiita wabunge wa darasa la saba tuanze na msukuma na kibajaji eti wanamchalenge dkt bashiru kweli?
 
Wazee kama mzee warioba ni hazina kubwa sana kwa nchi yetu ninaomba na wengine wenye busara kama hizi waendelee kujitokeza kunyoosha maneno ya mine.ko kama haya yakushambulia maoni ya wengine kwa visingizio mbali mbali CONGRATULATION babu Warioba Mungu akupe miaka mengine ya kutosha
 
Watu kama nyie ni watu wa kuogopwa kama Ebola!
Badala ya kujenga hoja unafanya slanderous attack! Je unaweza kuthibitisha hapa jukwaani bila kuacha shaka yoyote kuwa Mzee JSW maisha yamempiga na pia alikula hela ya meremeta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…