Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utakuwa na lako Jambo. Yaani unasema mzee Warioba maisha yamempiga? Hujui huyu anapokea mapene na masurufu mengine sawa na Kasimu Majaliwa (80%)?Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Huyo taahira anajua kuropoka tu! Waziri mkuu mustaafu analipwa mshahara 80% ya mshahara wa waziti mkuu!Mkuu utakuwa na lako Jambo. Yaani unasema mzee Warioba maisha yamempiga? Hujui huyu anapokea mapene na masurufu mengine sawa na Kasimu Majaliwa (80%)?
Hufahamu kuwa huyu mzee ni zaidi malaika kwa usafi na uadilifu?
Ungejibu Hoja yake kwanza ,kabla ya kuanza kumshambulia yeye binafsi.Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika,
Tunatarajia wengi zaidi watajitokeza."wanaoumia juu ya hili ni wengi kweli"
Hoja ya Bashiru uliielewa, na je hii ya jaji Waryoba? Jibuni hoja, acheni viroja, enyi ukoo wa panya!Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Chama cha kidemokrasia ndiyo kinamshambulia mtu na kumtaka ajiuzulu kwasababu tu ametoa maoni yake yasiyopendwa na wapambe wa mtawala???CCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.
Wapinzania nchi hii watapata shida sana sasa wana trend na Bashiru wameshamsahau Majaliwa. Nimjibu wa nini kwa hoja ipi? hakuna sehemu nimesema alishosema sio sawa shida ni unafiki maana yeye ndio alianzisha hii system ya mapambio wakati yeye ni katibu mkuu wa CCM sasa nini kipya leo? zaidi huwezi kuwa sehemu ya serikali halafu ukajiengue mimi naanza kuamini kuna shida kubwa na watu kanda ya ziwa bado hawaja move on Mungu aliwakatia ndoto yao. CCM watamjibu sio mimiNilitarajia ungejibu hoja ya Dr Bashiri lakini kwa mshangao mkubwa sioni tofauti yako wewe na Msukuma.Ujinga umekujaa
Jibu lake anamjuwa Ndungai? anamjuwa Kabudi? Polepole? ila yeye safari yake nyingine yule mhaya kayakanyaga..Mjibu Dr.Bashiru
Mbona yeye hakuacha kusifu na kulitukuza jina la mtukufu wake nyakati zile za kiza, aache UNAFIKI WAKE.WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
---
Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru Ally hakikuwa na shida yoyote kwa kuwa alikuwa akitoa hoja yake, na kwamba viongozi wanapaswa kujibu hoja hiyo badala ya kumshambulia.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari nchini, Jaji Warioba amesema ni kweli Serikali inafanya kazi nzuri lakini hiyo haimaanishi kila kitu kisifiwe, endapo kuna hoja ambayo itahitaji kujadiliwa iangaliwe.
“Hawa ni viongozi wa nchi, mimi nilifikiri watakuwa wanatetea wananchi zaidi. Naona kama wanatetea Serikali zaidi. Mimi nadhani kama wanatofauti zao huko wasizifanye ni tofauti za kitaifa. [..] Mimi sioni kama tunasaidia nchi kuanza kusema huyu awajibike kwa sababu ya mawazo aliyotoa, hivi mtu akitoa mawazo yake imekuwa ni kosa?” amehoji Warioba.
Aidha, Jaji Warioba amewakosoa wote wanaodharau nafasi yake ya ubunge kwa kuuita kuwa ni ubunge wa Ikulu, na kusema kuwa yeye ni mbunge kama wabunge wengine ambaye pia anatambulika kwenye katiba ya nchi, na kwamba hajateuliwa ili kuitetea Ikulu.
Dkt. Bashiru hivi karibuni alizungumza na wakulima wadogo katika warsha iliyoandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) akiwasihi kuacha tabia ya kushukuru na kusifu viongozi badala yake wadai haki zao kwa viongozi wao.
Hisia hisia hisia......Dr.Bashiru ni fedhuli wa awamu ya 5 leo mnataka wahanga wa ufedhuli wake na Magufuli wajitokeze kumtetea?
..Dunia haiendi namna hiyo. Muache Dr.Bashiru atetewe na genge la mafedhuli wenzake kwani bado wapo serikalini na ktk chama.
Kweli kabisa !!
Tena atahudumiwa mpaka anaiaga dunia !! Kila kitu bwerere !! Hana shida Mzee. !We
We ndo hujui watu, mtu ambaye ni waziri mkuu Mstaafu anakula 80percent ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakan, anahudumiwa na serikali kila kitu, Leo unasema Maisha yamempiga??ur kidding?
Waziri mkuu mstaafu hupata 80% ya mshahara wa Waziri mkuu wa sasaMzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki