mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Wewe ni ndeziHuyu mzee kukataliwa miaka ya nyuma nadhani kabaki na maumivu yanamtesa. Mama nipe kitengo cha kuwashughulia kama unaona sifai muweke Makonda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ndeziHuyu mzee kukataliwa miaka ya nyuma nadhani kabaki na maumivu yanamtesa. Mama nipe kitengo cha kuwashughulia kama unaona sifai muweke Makonda tu.
Wewe baki kwenye hiyo reli na umeme hakuna.Tunataka umeme, msitutoe kwenye reli.
We ndo hujui watu, mtu ambaye ni waziri mkuu Mstaafu anakula 80percent ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakan, anahudumiwa na serikali kila kitu, Leo unasema Maisha yamempiga??ur kidding?Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We nae punguza ukola
Wewe n
Naomba Tafsiri ya hii Ndoto niliyoota siku tatu zilizopita ...Nilimwona askofu wa Kanisa mmoja huko Dar esalaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo moja mkoani humo ...huyu askofu nilimwona akiwekwa kwenye jeneneza akiwa ndani ya suti nyeusi , mara akafungua macho akiwa humo..nilishtuka nilichofanya nikumwombea huyo ndugu Mungu amlinde....Sisi wachagga huwa hatufumanii bwashee!
Zanaki Brainiac ( Retired Judge and Former Premier Joseph Sinde Warioba ) ametoa Madini haya ya uhakika na yaliyotukuka Mimi Mzanaki Mwenzake GENTAMYCINE kwanini nimpinge au nisimkubalie Ukweli aliousema?WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
---
Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru Ally hakikuwa na shida yoyote kwa kuwa alikuwa akitoa hoja yake, na kwamba viongozi wanapaswa kujibu hoja hiyo badala ya kumshambulia.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari nchini, Jaji Warioba amesema ni kweli Serikali inafanya kazi nzuri lakini hiyo haimaanishi kila kitu kisifiwe, endapo kuna hoja ambayo itahitaji kujadiliwa iangaliwe.
“Hawa ni viongozi wa nchi, mimi nilifikiri watakuwa wanatetea wananchi zaidi. Naona kama wanatetea Serikali zaidi. Mimi nadhani kama wanatofauti zao huko wasizifanye ni tofauti za kitaifa. [..] Mimi sioni kama tunasaidia nchi kuanza kusema huyu awajibike kwa sababu ya mawazo aliyotoa, hivi mtu akitoa mawazo yake imekuwa ni kosa?” amehoji Warioba.
Aidha, Jaji Warioba amewakosoa wote wanaodharau nafasi yake ya ubunge kwa kuuita kuwa ni ubunge wa Ikulu, na kusema kuwa yeye ni mbunge kama wabunge wengine ambaye pia anatambulika kwenye katiba ya nchi, na kwamba hajateuliwa ili kuitetea Ikulu.
Dkt. Bashiru hivi karibuni alizungumza na wakulima wadogo katika warsha iliyoandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) akiwasihi kuacha tabia ya kushukuru na kusifu viongozi badala yake wadai haki zao kwa viongozi wao.
Safi. Mzee kaongea sahihi kabisa, wasiwasi wangu asije tumiwa vijana waka mkanda makofi kama alivyotumwa kijana Makonda.WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
---
Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru Ally hakikuwa na shida yoyote kwa kuwa alikuwa akitoa hoja yake, na kwamba viongozi wanapaswa kujibu hoja hiyo badala ya kumshambulia.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari nchini, Jaji Warioba amesema ni kweli Serikali inafanya kazi nzuri lakini hiyo haimaanishi kila kitu kisifiwe, endapo kuna hoja ambayo itahitaji kujadiliwa iangaliwe.
“Hawa ni viongozi wa nchi, mimi nilifikiri watakuwa wanatetea wananchi zaidi. Naona kama wanatetea Serikali zaidi. Mimi nadhani kama wanatofauti zao huko wasizifanye ni tofauti za kitaifa. [..] Mimi sioni kama tunasaidia nchi kuanza kusema huyu awajibike kwa sababu ya mawazo aliyotoa, hivi mtu akitoa mawazo yake imekuwa ni kosa?” amehoji Warioba.
Aidha, Jaji Warioba amewakosoa wote wanaodharau nafasi yake ya ubunge kwa kuuita kuwa ni ubunge wa Ikulu, na kusema kuwa yeye ni mbunge kama wabunge wengine ambaye pia anatambulika kwenye katiba ya nchi, na kwamba hajateuliwa ili kuitetea Ikulu.
Dkt. Bashiru hivi karibuni alizungumza na wakulima wadogo katika warsha iliyoandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) akiwasihi kuacha tabia ya kushukuru na kusifu viongozi badala yake wadai haki zao kwa viongozi wao.
Ni bora huyo mzee kuliko huyu mtu alieko pale juu, hakuna kitu kabisa.Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Kama vile walivyoelewana na Ndugai,kwa kumpa za uso.CCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.
Nilitegemea Hoja ya Daktari wa filosofia ya sayansi ya siasa ingejibiwa na msomi mbobezi mwenye fikra pevu kama prof.wa Jalalani...sasa maskini Kibajaji ,sijui kibaiskeli na hii nyingine msukuma kwakweli wameonewa, ccm Mungu anawaona ...Ni sawa na suzuki kupush dump truck haiwezekani kamwe jamani ......Msukuma na Kibajaj tunataka Umeme na Maji sio kimshambulia Dr, Bashiru.
Hao uliowataja ni wajinga sana katika maisha yetu. Mimi nachukia sana ile kauli mama katoa hela ya kujenga choo mara mama tunamshukuru kasema tujambe mara tano kwa siku.Ukimsikiliza Msukuma, Kibajaji & Kigwangallah unajikuta unapata majibu mazuri ni kwanini Tanzania bado ni masikini.
Na mimi nasubiri hilo,nimerudi tanzania kimbea. Akipiga mipasho nirudi zangu Donbass kudenazify Neo-nazisNasubiri siku Maza atakapopata jukwaa kama atamshambuli ile design ya Ndugai. Hapo ndipo nitajua hizo sifa za kupiga mwingi huwa anazipokeaje moyoni.
Kweli we "chinembe" yaani "kinembe kidogo", mzee ahangaike amekuwa JK!? Waziri mkuu mstaafu mpaka kesho anakula mshahara wa state ambao hata Rais hawezi kuuzuia hata kama anachukizwa. Ana shida gani!?Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Nimekosa mimi nisamehe mimiCCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.
jaji warioba ametoa ya moyoni ! vijana wa ccm pamoja na machawa kama kigwangala msukuma na lusinde@ kibajaj mnalakujifunza kutoka kwa mzee huyu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41]WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
---
Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru Ally hakikuwa na shida yoyote kwa kuwa alikuwa akitoa hoja yake, na kwamba viongozi wanapaswa kujibu hoja hiyo badala ya kumshambulia.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari nchini, Jaji Warioba amesema ni kweli Serikali inafanya kazi nzuri lakini hiyo haimaanishi kila kitu kisifiwe, endapo kuna hoja ambayo itahitaji kujadiliwa iangaliwe.
“Hawa ni viongozi wa nchi, mimi nilifikiri watakuwa wanatetea wananchi zaidi. Naona kama wanatetea Serikali zaidi. Mimi nadhani kama wanatofauti zao huko wasizifanye ni tofauti za kitaifa. [..] Mimi sioni kama tunasaidia nchi kuanza kusema huyu awajibike kwa sababu ya mawazo aliyotoa, hivi mtu akitoa mawazo yake imekuwa ni kosa?” amehoji Warioba.
Aidha, Jaji Warioba amewakosoa wote wanaodharau nafasi yake ya ubunge kwa kuuita kuwa ni ubunge wa Ikulu, na kusema kuwa yeye ni mbunge kama wabunge wengine ambaye pia anatambulika kwenye katiba ya nchi, na kwamba hajateuliwa ili kuitetea Ikulu.
Dkt. Bashiru hivi karibuni alizungumza na wakulima wadogo katika warsha iliyoandaliwa na Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) akiwasihi kuacha tabia ya kushukuru na kusifu viongozi badala yake wadai haki zao kwa viongozi wao.
Unachekesha kweli. Mtu anahudumiwa na serikali yako kama waziri mkuu mstaafu unasema amepigika.Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Napia ni Judge Mkuu mstaafu so sidhani kama mzee ana njaa hata kidogo kama wanavyotaka kutuaminisha. Binafsi, sina neno na maneno ya mzee wetu, nina concern moja kwake, nayo ni kama "he walks his talk"....Pale alipo sasa je ameweza kuweka misingi hiyo ya uwazi na demokrasia kama anavyoeleza kwenye utaifa kuhusu katiba? Mbona kuna mengi tu ambayo hayako sawa? Je yeye nikuwa hajui kinachoendelea au yuko miss informed? Nimetupa tu jiwe gizani, wenye akili na waliokaribu naye watanielewa.Ak
Yule alikuwa waziri Mkuu mstaafu kwa hivyo anakula mpaka kuondoka kwake.
Umesema niliyonayo moyoni, isipokuwa tusi hilo la kuwa ni wapumbavu mimi siwezi litukana kwa wazee wenye heshima zao kama hao...Na mimi namlaumu hata mzee wetu kwakua bado nilipokuwa naye haonyeshi kwamba labda ni watofauti kimatendo lakini sina uhakika labda ni hajui kwamba alipo na yeye mambo ni yale yaleHata mpumbavu akiongea hoja yenye mashiko naye ana haki ya kujibiwa kwa hoja. Bashiru ni walewale wa kila zama na yake, lakini ana hoja mezani ajibiwe kwa hoja. Tatizo la nchi yetu ni kukosa uwerevu, sisi ni upayukaji, visasi na uchawa ndio mambo tunaypa kipaumbele na kuyamudu.
Ukimtoa Mzee Warioba na Salim Ahmed, wazee waliobakia wa CCM ni wapumbavu waliotufikisha hapa tulipo.