Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

Taifa limekuwa la vilaza maana Bashiru licha ya mapungufu yake kipindi Cha JPM ni vema kujibu hoza zake kuliko kumshambulia yeye binafsi.

"Ndege mmoja aliye mikononi mwako ni bora kuliko wawili walio vichakani"
 
Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya...
Bashiru ni mpumbavu kupindukia hana heshima ya kusema aliyoyasema.

Ila warioba misimamo take haiyumbishwi hata wakati wa magufuli hakuburuzwa na ujinga wa magu
 
Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.

Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.

Matapeli wa kisiasa waliobaki
Maisha yamempiga?
Huelewi kitu na unaongea mambo ya kijiweni. Huyo ni Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais mstaafu, unajua analipwa nini na marupurupu gani anapokea hadi useme amepigika?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafs...
Sijui kama mzee mwenzangu Kinana ataelewa somo hili. Ila kinana ameonesha kutokukomaa kisiasa, huenda kuna jambo maalum anataka kulilinda- bora aliyetoa maoni ni inner circle wao, sipati picha kama maoni haya yangetolewa na mimi nyamuryakunge pakarapakacha nykorobhoke?, hata masheikh wangetia neno
 
View attachment 2423666

Mzee Warioba kasema kukosolewa kwa kiongozi siyo dhambi na pamoja na matatizo ya Wakulima lakini Wafugaji na Machinga pia wanakumbwa na matatizo ambayo wenye mamlaka yawapasa kuwasaidia.

NB: Bashiru siyo Ndugai.
Mzee alikuwa wapi ilipoharamishwa kumkosoa kiongozi? Kudai haki hiyo ndio anaibuka
 
Jibu lake anamjuwa Ndungai? anamjuwa Kabudi? Polepole? ila yeye safari yake nyingine yule mhaya kayakanyaga..

Bado hujamjibu...unatoa vitisho tu..dalili za kutojiamini...

Eeeh baba muumba wa mbingu na nchi sikia sala zetu na masikitiko yetu sisi watanzania...tunaomba hiki chama kisambaratike vipande viwili....
 
CCM wanamhofia DR Bashiri kwa sababu wanajua akiwa Katibu Mkuu ndiye aliye itoa kutoka kwenye kujificha katika mifuko ya rambo na kuanza kutembea kifua mbele kwa Watanzania. Mkt Taifa asipokuwa macho akajua ni muhimu kumuweka DR Bashiru karibu kuliko hao walioifanya ikawa doro kipindi kile atajihujumu mwenyewe.

Asitumie utafiti mwengine aangalie tu michango ya watu pro DR Bashiru kwenye mitandao baada ya kauli yake alinganishe na hao wanaomzunguka ndani ya CCM leo Nani anaeleweka mbele ya Wananchi.
Kutoka 14:14
 
CCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.
sidhani huwa kweli wanaelewana bali ninachokiona ni unafki mkubwa uliopo ndani ya wanachama wa chama hicho.uchawa umejaa ndani ya ccm.ni kijiwe cha wasaka tonge.
 
Mlitaka kujua Bashiru yuko na akina nani
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia kuwa mpumbavu tu.

Tanzania inatawaliwa na wapumnavu.

Wananchi siyo wapumbavu bali watawala wengi ndo wako hivyo including na wewe
 
..tatizo la Dr.Bashiru ni uongo, ufedhuli, na ukatili, aliokuwa akiuunga mkono wakati akiwa Katibu Mkuu wa Ccm.

..kuna watu walifungwa, wametiwa ulemavu, wamepotezwa, kwa kuwa walikuwa wakosoaji wa Ccm na serikali yake wakati Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa chama...
Kwani amekuomba umtetee mbona unaongea pumba.

Wapenda haki watatetea haki bila condition aliwafurahisha au lah!

Kabla ya kuwa katibu mkuu mbona alitetea haki hamsemi.

Mpenda haki unatoa condition ili utetee haki?

After all yeye alikuwa anaongelea wakulima sasa unatetea yeye au mkulima?
 
huyu ni mwana ccm hakuwahi kuambiwa ajiuzuru ubunge[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Huwa hawaelewani, bali wakati wa uchaguzi inabidi wawe wamoja kinafiki, maana wanajua wakipoteza uchaguzi nusu yao wataishia jela kwa dhuluma walizofanyia nchi hii.
Na hiyo ndio demokrasia. Mnakosana ndani mnaelewana mkowa nje.
 
Back
Top Bottom