Tatizo huko CCM hakuna mwenye akili za kuweza kujibu hoja wao wanajua matusi na vijembe tu.WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2423226
Wewe nawe punguza upuuzi..Bashiru amejibiwa, hajashambuliwa.
..labda tuseme hatupendi jinsi alivyojibiwa.
..walioshambuliwa ni Lissu, Mdude, Roma Mkatoliki, na wanaharakati wengine.
Cc Erythrocyte, Nguruvi3
Saaaafi sana sana Kaka..Bashiru amejibiwa, hajashambuliwa.
..labda tuseme hatupendi jinsi alivyojibiwa.
..walioshambuliwa ni Lissu, Mdude, Roma Mkatoliki, na wanaharakati wengine.
Cc Erythrocyte, Nguruvi3
Katika wazee wachache mno waliobakia ndani ya CCM na wenye kuheshimika na kuaminika, basi mmoja wao ni Mzee Warioba. Kwa haraka haraka nafikiri watakuwa wamebakia wawili ama watatu tu.Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
View attachment 2423235
Chanzo: Mwanahalisi
MZEE WANGU Ccm imevamiwa na WAHUNIWaziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
View attachment 2423235
Chanzo: Mwanahalisi
Ubaya mpya hauhalalishi ubaya wa zamani.muwe na hekima kama hamnazo basi jilazimisheni angalau.Nipe mfano mmoja wa kiongozi wa Chadema au ACT au CUF aliyekikosoa chama chake au kiongozi wake halafu akabaki salama kwa kigezo cha demokrasia. Unijibu ukimkumbuka Chacha Wangwe.
Hata Mheshimiwa Hamisi K. Naye haujui ninwakati gani anafanya Siasa na niwakati gani ni mwanasiasa!?In fact huwezi kujua ni wakati gani mwanasisa anafanya siasa na wakati gani utamjua kuwa huyu ni mwanasiasa
KabisaPia ajibiwe na aliowasema sio chawa wao.
Bashiru kamsema Samia Ila ajabu anajibiwa na wakina Kigwangala.
Kigwangala ana cheo gani serikalini Cha kumjibia Samia
Samia atoke ajibu hoja za bashiru mwenyewe sio kuwatuma mawakala wa unaupiga mwingi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu tupe mfano wa mtu mmoja toka CCM, au wale wengine mashabiki wa walamba asali aliyejibu hoja za Dr. Bashiru ukiondoa hizo kelele za kina Lusinde na wenzake...Bashiru amejibiwa, hajashambuliwa.
..labda tuseme hatupendi jinsi alivyojibiwa.
..walioshambuliwa ni Lissu, Mdude, Roma Mkatoliki, na wanaharakati wengine.
Cc Erythrocyte, Nguruvi3
JIBU HOJA popoma wewe!!! Nchi Iko gizani na matatizo lukuki, anaupigaje mwingi''!!!Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Punguza shobo Dada poaWewe ndie unaewaza kwa kutumia t*ko lako badala ya kichwa!
Yeah Dr Bashiru Ally Kakurwa ajibiwe kwa hoja. Sio chawa wamevimbiwa asali wanaanza kutukana mtu wala uwezo kumuelewa hawanaWaziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi.
View attachment 2423235
Chanzo: Mwanahalisi