Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?
Kwhiyo wananchi wanataka Warioba ajiuzuru?
Hivi hata kama ni kwa utashi wa CCM, mwenyekiti Warioba anao uwezo wa kubadili rasimu liyokwishasambazwa?Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji warioba yu mbioni kuachia ngazi.
Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?
nini maana ya kupitia rasimu? Warioba katoa rasimu waatu waipitie watoe maoni! Wakubali au wakatae sasa yeye ajiuzuru kwa lipi?akijiuzulu ndo vizuri kwa sababu tutajua moja na wananchi wote tutaungana kuingia barabarani kuindoa ccm madarakani tunacho taka ni serikali tatu kwisha au moja
Mkuu kwani Warioba ndiye anayetaka Serikali tatu au ni wananchi?
Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji warioba yu mbioni kuachia ngazi.
Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?
Warioba kwa 'busara zake' ndiye mwenye kutaka serikali tatu.Mwacheni huyu mzee aende zake.. Msimamo rasmi wa 'mzee' Nyerere baada ya dhahama ya G55 ilikuwa serikali mbili kuelekea serikali moja na hili halijawahi kubadilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi leo.Wakati wenzetu wanajitahidi kuwa wamoja sisi tunataka kujitenga..Mkuu kwani Warioba ndiye anayetaka Serikali tatu au ni wananchi?