Ni kweli kabisa tatiza la bongo ni unafiki. Maana comment yako ni ya kinafiki kiwango cha jiwe, ccm, kabudi, .....Possibility kubwa ni kuwa, miaka yote fomu zilikuwa zinajazwa hovyo hovyo bila kuzingatia kanuni, sheria na taratibu, lakini watu wakawa wanafumbia macho au kuangalia pembeni na kuzipitisha kiujumla jumla. Mwaka 2020 watu wakaamua ku-enforce sheria kwa ku-scrutinize fomu ili kuhakikisha kama zipo sawa, kwakuwa watu waliweka mazoea ya ilimradi fomu imejazwa, matokeo ndiyo yakawa yale tuliyoona.
Tatizo bongo yetu ni unafiki.
Miye naamini fomu zilikuwa zinajazwa hovyo hovyo, ila kwasababu nchi yetu kuna tabia ya “kuchukulia vitu pouwa” na kuchekeana, zikawa zinapita. Mwaka 2020 watu wakakaza, ndiyo ikawa vile. Tanzania yetu watu hawafuati taratibu, sheria wala kanuni, akitokea mtu wa kukomalia hivyo vitu vifuatwe kama tulivyojipangia, anaonekana mbaya.
Mahera alikuwepo hapo ndani?"Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna" - Jaji Warioba.
Amesema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma.
Nyie CCM ni wajinga snHahahaaaa....... Mahera anatisha!
Halafu watu wakapitishwa bila kupinga kuwa wabunge.
Nchi ngumu sana hii.
85% ilipita bila kupingwaZaidi ya Nusu za kata nchi nzima CCM ilipita bila kupingwa sasa mahakamani unaenda kufungua kesi Gani wakati hata uchaguzi haukufanyika?
NEC watu walipeleka rufaa zilikaa zaidi ya wiki 2 mpaka 3 huku CCM ilishaanza kampeni ghafla unaambiwa rufaa Yako imefeli!!! Then what?? Hiyo kesi mpaka iishe si inabaki wiki moja kwenda uchaguzi!!!
Nmefurahi kusikia Kinana anakiri kuwa Haki na Demokrasia havikuwepo, na ndio mwanzo mzuri kupata chaguzi zenye matakwa ya wananchi Ili kuleta viongozi wenye tija kwenye maendeleo yao
HopelessKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Mbaya zaidi ambao hawajui kujaza form ni wapinzani pekee"Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna" - Jaji Warioba.
Amesema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma.
Mbona Bangoza na Mwamakula walipasa sauti na bado wapo hai? hivi vizee ni vinafiki haswaKwa hiyo ulitaka waseme wakati ule,unafikiri wao hao wazee walikuwa wamechoka kuishi ?.
Kabisa sasa, ni wakati sasa kama nchi kuungana na kuirudisha sehemu nzuri democracy yetu! Si kwamba ilikuwa nzuri sana before 2015, but tulikuwa tunaelekea pazuri!! Wapinzani kupata 40% kura za urais ile 2015 ilikuwa ni muelekeo chanya, jamaa likaja likatibua!Dikteta aliharibu democracy ya nchi yetu
Kamuulize Bagonza na yule mwingine wa Karagwe ni nini walipitia kwa misimamo yao, au Kakobe pia, TRA walimtandika kodi za ajabu, akaambiwa siyo Raia, ikambidi aunge juhudi! Au muulize Membe ambaye aliamua kumchana jamaa face to faceMbona Bangoza na Mwamakula walipasa sauti na bado wapo hai? hivi vizee ni vinafiki haswa
Mwamakula wala Bagonza hawajawahi kuwa waoga hata kidogoKamuulize Bagonza na yule mwingine wa Karagwe ni nini walipitia kwa misimamo yao, au Kakobe pia, TRA walimtandika kodi za ajabu, akaambiwa siyo Raia, ikambidi aunge juhudi! Au muulize Membe ambaye aliamua kumchana jamaa face to face
Umefikaje kwenye hiyo Conclusion? Any utafiti umefanyika?Possibility kubwa ni kuwa, miaka yote fomu zilikuwa zinajazwa hovyo hovyo bila kuzingatia kanuni, sheria na taratibu, lakini watu wakawa wanafumbia macho au kuangalia pembeni na kuzipitisha kiujumla jumla. Mwaka 2020 watu wakaamua ku-enforce sheria kwa ku-scrutinize fomu ili kuhakikisha kama zipo sawa, kwakuwa watu waliweka mazoea ya ilimradi fomu imejazwa, matokeo ndiyo yakawa yale tuliyoona.
Tatizo bongo yetu ni unafiki.
Mahakama ipi ya the Hague! Wewe vipi?Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Lakini waliyopitia ni siri yao! Hivi ulijua kwamba account za Mbowe zote zilifungwa? Si amekuja kusema baada ya jamaa kukata moto? Kuna mambo hao watu waliyapitia, wameamua tu kukaa kimyaMwamakula wala Bagonza hawajawahi kuwa waoga hata kidogo
Mbowe alisema toka alipo hukumiwa ile kesi tuliwachangia faini woteLakini waliyopitia ni siri yao! Hivi ulijua kwamba account za Mbowe zote zilifungwa? Si amekuja kusema baada ya jamaa kukata moto? Kuna mambo hao watu waliyapitia, wameamua tu kukaa kimya
We jitoe fahamu unadhan bado tuko zama za jiweKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.