kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 84
Mwamba aliwanyoosha , kumbe walikuwa wakipongeza kwenye majukwaa mbele yake kumbe moyoni wananung'unika!!!!Mtu muovu sana alipita nchi hii.. Anthony Diallo alisema miaka 5 iliyopita ni doa jeusi katika history ya nchi yetu
Uvumilivu ulikosekana wakati huo,, walipigwa kwenye chama tuu walikuwa wengi sana. 2025 wajiandae kisaikolojia, mhenza, kawe, bariadi.. Daaa yule kijana wa kawe nusu aanzee kutembelea v8 lake ndoto ikayeyuka paaaaaaaZaidi ya Nusu za kata nchi nzima CCM ilipita bila kupingwa sasa mahakamani unaenda kufungua kesi Gani wakati hata uchaguzi haukufanyika?
NEC watu walipeleka rufaa zilikaa zaidi ya wiki 2 mpaka 3 huku CCM ilishaanza kampeni ghafla unaambiwa rufaa Yako imefeli!!! Then what?? Hiyo kesi mpaka iishe si inabaki wiki moja kwenda uchaguzi!!!
Nmefurahi kusikia Kinana anakiri kuwa Haki na Demokrasia havikuwepo, na ndio mwanzo mzuri kupata chaguzi zenye matakwa ya wananchi Ili kuleta viongozi wenye tija kwenye maendeleo yao
Jaji gani angesikiliza kesi hiyo? Hao hao waliokuwa wanasikiliza kesi ya Mbowe?Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Ule mzoga mzoga ulikuwa hatari bha bhaKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Sawa, lkn kwani kwakati wa Uchaguzi ulisafiri kwenda Brunei? Au ? Hukusema kitu.Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura unaanzia mbali. Unaanzia kwenye Kuandikisha wapiga kura, wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo
Siasa inataka kuingia kwenye dini, zamani viongozi tulikuwa tunakwenda kwenye vyumba vya ibada kama waumini, unasikiliza neno la Mungu. Siku hizi viongozi wakienda wanaombwa kutoa salamu za kisiasa, hii inaweza iingiza siasa katika dini tukapata matatizo
Vyama vingi vimekuwa kama makabila, vinaanza kugawa wananchi. Wananchi walikuwa kama jumuiya lakini siku hizi mambo mengi ya kijamii tunaingiza siasa, mfano msiba ni wa jamii lakini baadhi ya misiba unakuta sare za vyama,"
Katika vyama jumuiya zetu nazo zinakuwa kama za uhasama, badala ya kutuleta pamoja. Hali tuliyo nayo sasa utamaduni umetikiswa kidogo na tunapozungumzia maridhiano, nia yake kuturudisha kwenye utamaduni tuliokuwa nao
Viongozi wa kisiasa wangehubiri amani kama walivyofanya viongozi wa dini miaka michache iliyopita, nchi isingekuwa na malalamiko yanayolalamikiwa hivi sasa βkama wangetenda kama viongozi wa dini, nadhani matatizo haya tunayozungumza tusingekuwa nayo.
Kwahiyo mnataka ile ya kuibiwa kidogo na kuachiwa kidogo,Kipindi Cha Kinana CCM waliiba kura ila kwa aligorithm yaani Gap iwe 60-40% kuanzia Kata hadi Urais. Ila kwa JPM aisee hakuna Cha formula yeye alizoa kila kitu kuanzia vijiji hadi Urais 84%+
Yaani mpaka Pemba eti CCM ilishinda majimbo karibu yote!! Seriously?
Hao majaji wameteuliwa ujaji na mwenyekiti wa ccm halafu atende tofauti na ccm you guy waza sawasawa tumia akili yako kwa matumizi sahihi...Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Mwisho wa yote wizi wa kura ni wizi tu. Haijalishi umefanyika wazi au kwa kifichoTuliwaona akina Rajab Kiravu walivyokuwa wakichakachua hapo NEC lakini siyo " kibwege bwege" kama ilivyofanyika 2020.
Nchi ngumu sana hii.
we unazani kwa udikteta ule ungenda mahakamani ungeshinda? alishasema mkurugenz nakuteua alafu utangaze mpinzani huna kazi,na ww na akili yako fupi kama ya pimbi unaona sawa kutetea uovuKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Kuna kuiba na kupora, hivi ni vitu viwili tofauti.Mwisho wa yote wizi wa kura ni wizi tu. Haijalishi umefanyika wazi au kwa kificho
Nani angethubutu kusema kipindi cha yule mwovu.Alikuwa wapi kusema huyu Mzee nae?
Naunga mkono hoja ya mh.Jaji Warioba kuwa :-
1)Tukomeshe tabia za wanasiasa kutoa salamu za kisiasa/kuomba kura wakiwa katika mahali patakatifu katika nyumba za ibada....tabia hii imefurutu ADA hata kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani.....
2)Tabia ya kwenda misibani huku tukiwa na sare za vyama vyetu si AFYA KWA JAMII
#Siempre JMTπ
#Nchi Kwanza π
Aliogopa kutukanwa hadharani, or makubwa zaidi ya kutukanwa kumpataSawa, lkn kwani kwakati wa Uchaguzi ulisafiri kwenda Brunei? Au ? Hukusema kitu.
Labda malaika waasi akina LuciferJiwe angeendelea kuwapo ili taifa lingekua ka ajabu sana. Tunashukuru maombi aliyoomba tumuombee yakaondoka nae akawe kiongozi wa malaika.
Hahaha! Kutembea na ilani ya chama mfukoni kila mahali kama Bwana KangiHata Kwenye shughuli za kiserikali unakuta Masare ya ccm.
Ngoja nimalize kula ndo nikujib, ww subiria hapo pembeni tu!Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Kuna kuiba na kupora, hivi ni vitu viwili tofauti.
Kuiba kura hata Chadema na ACT wazalendo wanaiba.
Ila kupora lazima utumie nguvu zaidi ya Akili, ndivyo ilivyokuwa 2020!
Ushamgeuka shujaa π π π πTuliwaona akina Rajab Kiravu walivyokuwa wakichakachua hapo NEC lakini siyo " kibwege bwege" kama ilivyofanyika 2020.
Nchi ngumu sana hii.
Simba wa Yuda?Mahakama mwaka 2020 ilishikwa akili na "You know who"