Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Ni Swala la muda tu, wote kwa umoja wenu mtakapokuja kustuka, mtajiuliza sana ilikuwaje hamkumuona JK kuwa ndiye tatizo kuu ndani ya nchi.
Mtakuja kujua hali ikiwa mmechelewa sana, ila mtajua
 
FB_IMG_17524728568136731.jpg
 
Ni Swala la muda tu, wote kwa umoja wenu mtakapokuja kustukmtajiuliza sana ilikuwaje hamkumuona JK kuwa ndiye tatizo kuu ndani yanchi.
Mtakuja kujua hali ikiwa mmechelewa sana, ila mtajua
Huyu mzee kwa sasa ni hasara tu anatakiwa aendage kwa mabikra 72 kwa maendeleo na usalama wa nchi hii yani, vinginevyo nchi inaenda kuanguka vibaya sana
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Ninadiriki kusema wazi wazi bila kumung'unya maneno, kwamba wewe ni MPUMBAVU na Hauna ADABU, huna tofauti na NGURUWE!
UNADIRIKI KUMTUSI JAJI, WAZIRI MKUU MSTAAFU aliyejitolea kuijenga nchi yetu kwa UADILIFU MKUBWA?
Hata kama mnalipwa kwa kufanya kazi hii chafu, hebu kuweni na aibu basi!
 
labda na M.Rubio pia yumo kwenye hiyo equation, huwezi jua, btw M.Rubio ana asili ya cuba …
 
Back
Top Bottom