Mbona povu?Ninadiriki kusema wazi wazi bila kumung'unya maneno, kwamba wewe ni MPUMBAVU na Hauna ADABU, huna tofauti na NGURUWE!
UNADIRIKI KUMTUSI JAJI, WAZIRI MKUU MSTAAFU aliyejitolea kuijenga nchi yetu kwa UADILIFU MKUBWA?
Hata kama mnalipwa kwa kufanya kazi hii chafu, hebu kuweni na aibu basi!
Akutakanaye hakuchagulii tusi.Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DARKatika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Nasikia watu wanaotekwa, wizi wa fedha serikalini kwenye Halmashauri, matumizi mabaya ya fedha serikalini, kuuza Mbuga za wanyama, kuuza bandari zetu, kufunga kanisa la Gwajima ni shughuli ya Mzee warioba 🤣🤣🤣😀😀🤣🤣😀🤣Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Mwache Mzee Mzalendo awafundishe chawa wa enzi hizi maana ya Uzalendo wa kweli.Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Acha kumsingizia mzee Warioba acha propaganda zako, kwani polepole kwao si Tanzania ana marafiki wemgi akina majaliwa, Bashiru, January, Nape, Gwajima, Mpina na ccm wengi Tanganyika hadi Zanzibar wanatosha siyo lazima aongee na mzee wariobaKatika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Jk huwa anamchikia mzee warioba na pengine ndiyo kamtuma mleta mada atengeneze uzushiNi Swala la muda tu, wote kwa umoja wenu mtakapokuja kustuka, mtajiuliza sana ilikuwaje hamkumuona JK kuwa ndiye tatizo kuu ndani yanchi.
Mtakuja kujua hali ikiwa mmechelewa sana, ila mtajua
Sasa wewe hapo unataka kutueleza nini?? Je,katika Mawazi ri Wakuu walio wahi kumtangulia Warioba waliwahi kulifanyia maajabu gani Taifa letu?? Chuki chuki zenu binafsi zisiwafanye kutaka kuwachafua Wazee wetu.Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
ibirisi wa ccm hawana huruma wanatengeneza kisingizio haramu cha kishetani wapate kuharalisha Uonevu manyanyaso kwa mzee wariobaMsije kumuua mzee wetu kenge nyie
Sio kweli. Sema wewe ni Chawa mzandiku.Ni ukweli
Wewe na yeye wote upindeNinadiriki kusema wazi wazi bila kumung'unya maneno, kwamba wewe ni MPUMBAVU na Hauna ADABU, huna tofauti na NGURUWE!
UNADIRIKI KUMTUSI JAJI, WAZIRI MKUU MSTAAFU aliyejitolea kuijenga nchi yetu kwa UADILIFU MKUBWA?
Hata kama mnalipwa kwa kufanya kazi hii chafu, hebu kuweni na aibu basi!
Wanaanza saka justification ya kufanya mambo yao..Msije kumuua mzee wetu kenge nyie
Huyo wakati akiwa Waziri Mkuu watu walifulia majani ya mpapaiSasa wewe hapo unataka kutueleza nini?? Je,katika Mawazi ri Wakuu walio wahi kumtangulia Warioba waliwahi kulifanyia maajabu gani Taifa letu?? Chuki chuki zenu binafsi zisiwafanye kutaka kuwachafua Wazee wetu.
Kuna msemo WA Kiingereza unasema "kama huna jambo jema la kumzungumzia binadamu mwenzako ni vyema kukaa KIMYA" we mzee wa watu huyu aliwahi kukwamisha nini/wapi kimaisha, labda tuanzie hapo.