Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Kama mitandao imezimwa, hapa JF unapost kwa kutumia kamasi?
Polepole hakuwa anafanya live stream JF

Alikuwa anafanya live stream Facebook na YouTube mitandao yote hiyo miwili imezimwa kwa sasa na matangazo yamekatwa.

Usijitoe ufahamu hapa kusema eti JF mbona ipo unafikiri kila mtu humu ni Lumumba buku 7?
 
Tatizo kichwani umejaa mapumba
 
Tuanze sasa campen ya kutuma matangazo na picha kwenye nyuzi za kusifia ujinga wa ccm
 
Tatizo kichwani umejaa mapumba
Umeziona hizo pumba kichwani kwangu?

Maana kwa replies za uzi huu tu zimetosha kuonyesha mwenye pumba kichwani ni nani kati yangu mimi na ulichoandika.

Narudia tena kukuuliza kama press ya leo haikuwa na impact kwanini mitandao imezimwa?

Delulu is the solulu.
 
Pata nyumba
 
Attachments

  • IMG-20250707-WA0031.jpg
    IMG-20250707-WA0031.jpg
    110.5 KB · Views: 17
  • IMG-20250707-WA0031.jpg
    IMG-20250707-WA0031.jpg
    110.5 KB · Views: 15
Back
Top Bottom