Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Walikuwa wote kwenye mckatako wa katiba could be sababu ya ukaribu wao
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.

PAKA WA LUMUMBA mna kazi kweli kweli. Tatizo wananchi kwa sasa hawawaelewi.
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Warioba ni hopeless creature ndio maana Mwinyi alimfukuza uwaziri mkuu kwa aibu na hakuamini maana alimwuliza Mwinyi nami nipo na kumjibu kwani we u nani bwana! Lizee lizima mambo ya hovyo ndio maana lilipigwa na kina Makonda.
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Mwache mzee wa watu, usimzushie upuuzi
 
Mtu yeyote anayeonekana mshauri wa ccm kwenu ni kero.....Wanaccm wanaojitambua lazima wakae kando na uharamia wenu.
Warioba atamshauri nani km kwao Bunda baada ya kutemwà uwaziri mkuu alishindwa kupata ubunge Bunda? Ndiyo ataweza kushawishi mtanzania?
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Sasa Si Mumfungulie kesi ya Uhaini kama yule mwingiene anyongwe hadi kufa, kwanini mnamuacha mtu anaharibu Amani ya fisiemu kwa kuzisemea haki za Watanganyika
 
Wewe kinembe nani kakuambia kazi ya waziri mkuu ni kuchimba vyoo? Unawaza kunya tu utakuwa unatumia kinyeo kufikiri wewe si bure.
Yeye mwenyewe anaknya mpaka anashindwa kunenepa
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Wewe ni mwendawazimu usiye na hadhi hata ya kulitamka jina la mzalendo mwenye hekima kubwa mzee Warioba.
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Kazi za wazir mkuu ni pamoja na kuchimba choo?
Sokoine alichimba vyoo vingapi?molecular alijenga nyumba ngapi za walimu tutajie kwa namba.
Hutambui mchango wa warioba hata basi kwenye ile tume ya katiba duh
Basi warioba na polepole washitakiwe kwa UHAINI kisha wanyongwe mpaka kufa?
Au unasemaje??
Ccm oyeee
 
#KATAAWAHUNI
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
uko sahihi gentleman 100%,

yaani yeye na mzee ulimwengu wana act kama vile ndio wanabalehe saivi dah 🐒
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
hebu mwacheni huyo mzee hana shida yeyote.
 
Yeye mwenyewe anaknya mpaka anashindwa kunenepa
Kuonesha kwamba una AKILI ndogo unaamini kwamba kila mtu anatakiwa kunenepa. So KUNENEPA kwako ni mafanikio? Hivi hujisikii aibu kuandika ujinga ??
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Tumwache tu mimi namfahamu vizuri sana naye ananifahamu,sikubaliane naye mbo mengi sana lakini sina haja ya kumshambulia kwa lolote
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Hivi hamjifunzi tu kuwa mnwakosea sana watanzania hamuoni inchi ilivyo na shauku kujua polepole atasema nini amuoni mahaba ya watanzania katika kutaka hali na usawa nyie mnataka tugeuza siye mandondocha acha mbwae iwe mbwae tu
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Mnataka kumuua lini?
 
Back
Top Bottom