Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Acha ujinga wee chawa!!Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.