Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

Jaji Warioba na Polepole wamekuwa na mawasiliano mengi sana miezi ya karibuni wakipanga tukio la leo

HUYO mzee ALIKUA madarakan enzi zake akachuna SASA HIVI NDO uzalendo unaonekan BAADA ya KUKAA nyuma ya mfumo
Mzee Warioba hana shida na mtu yeye ni msema kweli na ibirisi wa ccm hawapendi wasema kweli, ndiyo maana sasa wameanza kumtengenezea uzushi propaganda za kijinga jinga wapate kisingizio cha kumkomoa
 
Huyo wakati akiwa Waziri Mkuu watu walifulia majani ya mpapai
Kwani Warioba ndiyo hukutuma uteke kuua watu? Ndiyo hukutuma wewe kuwabambikia kesi chadema? ndiyo hukutuma kufunga kanisa la Gwajima?
 
Mkijenga choo tu, tayari kelele Hadi sherehe za kuzindua choo...na kwenye sherehe ni kumpongeza rais tu kwa ujenzi wa vyoo😀. Si Bora wenye mchango wa mawazo ...kuliko wewe uliyejenga choo kwa pesa za wahisani alafu ukaandaa sherehe ya kufungua vyoo kwa hizohizo pesa alafu ajenda kubwa ya sherehe inakuwa kumpongeza rais kwa kupatia pesa ya ujenzi wa choo😃
 
Chawaccm ibirisi wa ccm wapo ghetto kwa Amos makala wakivuta bangi wakitoka huko ndiyo huja jukwaani na upumbavu wao
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Mtu akiwa muuminibwa haki ndiyo qnaharibu amani.?
 
ibirisi wa ccm hawana huruma wanatengeneza kisingizio haramu cha kishetani wapate kuharalisha Uonevu manyanyaso kwa mzee warioba
Walitakiwa kujua tu "mda wa wazalendo" ulishafika toka kitambo sahivi wajitahidi tu makabidhiano ya kijiwe kusiwepo na zengwe. Msisahau kiwasalimia wa Chake chake🤣🤣🤣🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
 
Ninadiriki kusema wazi wazi bila kumung'unya maneno, kwamba wewe ni MPUMBAVU na Hauna ADABU, huna tofauti na NGURUWE!
UNADIRIKI KUMTUSI JAJI, WAZIRI MKUU MSTAAFU aliyejitolea kuijenga nchi yetu kwa UADILIFU MKUBWA?
Hata kama mnalipwa kwa kufanya kazi hii chafu, hebu kuweni na aibu basi!
Huyo kiumbe uliyemtaja hapo kwenye bold acha kabisa....usimamfanishe na vitu vichafu hivyo....🙂
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Acha bangi wewe. Akili alizo nazo mzee Warioba ni sawa na ukoo wako wote.
 
Waziri mkuu
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Gani ambaye amefanya jambo la kueleweka? Kidogooo Lowassa kwa kujenga shule za kata angalau
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
hujui na utabaki ivo ivo
 
Kwa wakati huu kujua ni nani anasemanukweli ni changamoto sana Kila mtu anaongea kwa kuangalia faida yake binafsi
Hii sii sawa kabisa
Hata wewe hapa hujaweka wazi vizuri
 
Nyie watu angalieni msiende "kumteka" Mzee wa watu kwani hasira za UMMA zitakuwa kali sana na Taifa litachafuka kabisa!
 
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Wewe kinembe nani kakuambia kazi ya waziri mkuu ni kuchimba vyoo? Unawaza kunya tu utakuwa unatumia kinyeo kufikiri wewe si bure.
 
Back
Top Bottom