Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ile ripoti ni TAKATAKA, watz waliowengi wameikataa...haiwezekani mtuhumiwa aunde tume ya kujichunguza mwenyewe!.Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Askofu Shoo kaipa baraka!Ile ripoti ni TAKATAKA, watz waliowengi wameikataa...haiwezekani mtuhumiwa aunde tume ya kujichunguza mwenyewe!.
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Nakuonea huruma..πAnajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Mzee warioba anatafuta kiki tu,"Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema uende utafute askari ambao wametenda nje ya sheria kisha uwashughulikie.
Nayo inanipa matatizo kidogo... inanipa matatizo kidogo kwa mambo mengi. Unakwenda kutafuta hawa waliotenda; walioagiza je? Na hii hapa tumekuwa na mifano. Mwaka 1976 serikali iliunda kikosi kazi cha wataalam, polisi na usalama. Tulikuwa na tatizo kama unakumbuka, tulikuwa na tatizo la vikongwe kuuawa Mwanza na Shinyanga. Wakawapeleka kule waende wakafanye uchunguzi. Tulichokuwa tunataka ni uchunguzi, kwa nini haya yanatokea? Kisha waje watoe taarifa kwa serikali ijue hatua za kuchukua.
Tatizo lilikuwa ni la uaji, mauaji ya wanawake wazee wakishukiwa kuwa ni wachawi. Wale, kile kikosi kazi, badala ya kwenda kufanya uchunguzi, kikaenda kuanzisha makambi kule na kutesa wananchi. Wengine wakafa, wengine wakapata vilema. Ilipogundulika ile, hatua zilizochukuliwa; ya kwanza ilikuwa ni kuwajibika. Hawakuwa kule, ndio unakumbuka Mwinyi ali-resign, Siyovelwa aliyekuwa Waziri wa Usalama ali-resign, Wakuu wa Mikoa Mwanza na Shinyanga, Mabawa na Kisumo, walire-resign. Ndio ikafuata hii sasa hatua ya pili kwenda kuona hawa walio... wakaenda, wakakamatwa, wakashtakiwa.
Sasa hapa haya yametokea. Hapa ni kama wanasema polisi walivunja sheria. Sasa unataka tume iende ikachunguze nani? Ichunguze taasisi ya polisi ama watu maalum? Mimi naona kama hii nayo ni kama kusibaziba mambo."
Kinembe chako.Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Kmmk.Mzee warioba anatafuta kiki tu,
Kwani ripoti ya Jaji chande ilisemaje kuhusu hilo?
Yaani anajifanya kanakwamba kaeleza jambo jiiiiiiipyaaa, kumbe tume ya jaji chande ilishaeleza hivyo π
Jana ulisema kipato chako kidogo hakiwezi kufanikisha kupaua nyumba yako..leo hii unamcrash warioba ameshindwa maishaππZee nafiki hili aisee. Limeshindwa maisha Sasa linataka kumshindisha Kila mtu. Litafeli kama lilivyofeli mara zote.
okay gentleman, well done,Kmmk.
pool up gentleman,Kinembe chako.
Tena yule sheikh Sharifu Majini waliyempiga risasi akafa ndiye aliyepanga na aliyekuwa na silaha za kuwapa vijana wafanye vurugu. Wakafunge pingu kaburi lake pale kisutuAnajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
From a common citizen's perspective, you deserve those insults and probably even much more. Such an imbecile.pool up gentleman,
you are doing a very good job on behalf your useless political fathers π
Wenyewe wanajijua, ndiyo maana kila siku matamko na kuikataa tumeTena yule sheikh Sharifu Majini waliyempiga risasi akafa ndiye aliyepanga na aliyekuwa na silaha za kuwapa vijana wafanye vurugu. Wakafunge pingu kaburi lake pale kisutu
Chizi huwaona wazima machiziNakuonea huruma..π
Kakwambia nani, yaani jambazi uliache tu likifanya uharamia?.. silaha za nini sasa?nothing justifies murdering of human beings, period ! β¦
Dawa ya muhalifu ni kupigwa risasi na kufa? Je hawa wanaofanya Ufisadi na kuimba kusababisha upungufu wa dawa hospital na vifaa vya kisasa kunasababisha vifo vingapi kwa watu? hao wanastahili kufanywa nini?Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili