gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Watz walio wengi uliwahesabu lini kuku maji wewe?Ile ripoti ni TAKATAKA, watz waliowengi wameikataa...haiwezekani mtuhumiwa aunde tume ya kujichunguza mwenyewe!.
Watz walio wengi uliwahesabu lini kuku maji wewe?Ile ripoti ni TAKATAKA, watz waliowengi wameikataa...haiwezekani mtuhumiwa aunde tume ya kujichunguza mwenyewe!.
Ulienda hospital gani ukakuta kuna upungufu wa dawa na vifaa,kuna upungufu wa dawa au huna hela?..hao polisi 16 waliuawa na nani, unataka hao wauaji polisi wa-risk maisha yao kuwakamata badala ya kuwalambisha chuma tu?..unafanya mapinduzi ukitegemea utapetiwapetiwa?Dawa ya muhalifu ni kupigwa risasi na kufa? Je hawa wanaofanya Ufisadi na kuimba kusababisha upungufu wa dawa hospital na vifaa vya kisasa kunasababisha vifo vingapi kwa watu? hao wanastahili kufanywa nini?
Watu wana akili wanajua kilichotokea kuliko hata uongo mnaosambaza.Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Kujua kilichotokea hakihitaji akili bali taarifaWatu wana akili wanajua kilichotokea kuliko hata uongo mnaosambaza.
Sheikh Sharifu Majini ndiyo muhusika mkuu wa machafuko yote.Wenyewe wanajijua, ndiyo maana kila siku matamko na kuikataa tume
Taarifa ya kutunga hakuna mwenye haja nayo,bakini nayo.Kujua kilichotokea hakihitaji akili bali taarifa
Siyo taarifa bali ripoti,itakapoanza kufanyiwa kazi usipige yoweTaarifa ya kutunga hakuna mwenye haja nayo,bakini nayo.
Hebu muulize kitima kama hilo ni kweliSheikh Sharifu Majini ndiyo muhusika mkuu wa machafuko yote.
Acheni uonevu.Siyo taarifa bali ripoti,itakapoanza kufanyiwa kazi usipige yowe
Kakwambia nani, yaani jambazi uliache tu likifanya uharamia?.. silaha za nini sasa?
Watu wa hivyo ndio wanawapenda ViongoziNakuonea huruma..😅
Vipi mama na askari walioua raia walifanya hivyo kwa agizo la nani?Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Sijapenda kwa kweli ogopa technology 🤣Jana ulisema kipato chako kidogo hakiwezi kufanikisha kupaua nyumba yako..leo hii unamcrash warioba ameshindwa maisha😄😆
Let ask you question Je unaamini Polepole Katekwa kwasababu ya mapenzi au madeni kama ambavyo tume ya Jaji Chande inavyosema? Be honestWenyewe wanajijua, ndiyo maana kila siku matamko na kuikataa tume
Kuna watoto waliuliwa kwenye Banda la mpira wakati wanaangalia mpira na wale ni majambazi?Kakwambia nani, yaani jambazi uliache tu likifanya uharamia?.. silaha za nini sasa?
Kinachofurahisha, haya unayaandika hapa, kwa ground unajua ukweli. So, ni kujilisha upepo tu.Ulienda hospital gani ukakuta kuna upungufu wa dawa na vifaa,kuna upungufu wa dawa au huna hela?..hao polisi 16 waliuawa na nani, unataka hao wauaji polisi wa-risk maisha yao kuwakamata badala ya kuwalambisha chuma tu?..unafanya mapinduzi ukitegemea utapetiwapetiwa?
Yaani ripoti ya Chande imekuwa kama msahafu?Mzee warioba anatafuta kiki tu,
Kwani ripoti ya Jaji chande ilisemaje kuhusu hilo?
Yaani anajifanya kanakwamba kaeleza jambo jiiiiiiipyaaa, kumbe tume ya jaji chande ilishaeleza hivyo 🐒