PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtu wa eca,hge hawezi acha soma bam, divinity ilikuwepo miaka mingi necta wakristo wakipeana A, waislam kuingiza Islamic knowledge mkaanza kelele,mwisho 2012 ndalichako akawakata marks kusudi wafeli,mara wameifanya kuwa subsidiary
Arabic ni sawa tu English na french huko shule

Wapi huko wakristo wanapeana A?

Ila kobaz, Kusoma hamtaki ila kufauru mnataka sio?

Tumeishi na kusoma na nyinyi kuanzia msingi mpaka chuo, hamtudanganyi kuhusu hili.
 
Wapi huko wakristo wanapeana A?

Ila kobaz, Kusoma hamtaki ila kufauru mnataka sio?

Tumeishi na kusoma na nyinyi kuanzia msingi mpaka chuo, hamtudanganyi kuhusu hili.
Divinity/bible knowledge si walikua wakipeana A tu 1990s-2000s Ili cheti kipendeze
Mtaani na shule ya msingi na sekondari nilizosoma zilikua na wakristo wengi, walikua wazembe tu shuleni,hata jamii za wafugaji wazembe tu kweli elimu,uzembe siyo suala la dini
 
First world university ilijengwa Morocco,na mwana mama wa kiislam,inafanya kazi mpaka leo,Islamic universities za west Africa zilikuwepo kabla ya university za uingereza
Majoho wanayovaa graduates siku ya graduation ni copy and paste toka Islamic education institutes
Sijui bila bwana aljabir kugundua aljebra hesabu zingekua na sura gani leo?

siongelei west afrika wala sijui moroko, naongelea tanzagiza, elimu yetu ilianzishwa na Christians kwa ajili ya kuelimisha Christians, sasa kwa nini Christians wafundishe "islam knowledge"? kama nilivyosema muslims walikuwepo pwani yetu kwa karibia miaka elfu moja, kwa nini hawakujenga shule, sekondari, high schools, colleges na Universities au hata tu vocational training colleges kama veta? muslims hata tu shule ya kufundisha useremala hawakujenga miaka yote 1000, useremala kama tuujaavyo leo hii kama profession ulianza kufundishwa na Christians.

miaka karibia 1000 muslims walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kuuza muslims, i.e muslis sold muslims, kuuza pembe za ndovu basi, hakuna maendeleo yoyote, hakuna barabara, hakuna reli, hakuna meli na miundo mbinu kama maji, umeme, muslims hawakujenga one single hydroelectric dam kwa karibia 1000 waliokuwepo, hakuna kilimo chochote cha maana wali-introduce

sasa Christians wamejenga kila kitu halafu muslims wanaibuka kutoka mashimoni na ghafla kudai usawa, why? same things utalii infrastructure yote ya utalii tanzagiza iliwekwa na Christians leo hii akina rostamu wamepora kila kitu wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao kupisha arabs, muslims hawakujua hata kama una mlima mrefu afrika kilimanjaro kwa miaka 1000, hata huko kusini kwenyewe walikokuwa hawagundua mabaki ya dinasoria miaka yote hiyo, Christians wamegundua ghafla muslims wanaibuka kusema mabaki ya dinasoria ni yao sijui yarudishwe kwa nini hakukuyagundua sasa, yet hakuna hata muslim mmoja archeologist sasa mambo ya dinasoria mmeyajulia wapi?

muslims have zero contribution to tanzagiza, hivyo kutaka kudai usawa kwa ambavyo hamkuwekeza siyo usawa ni uporaji, same with banking crdb na nmb zimejengwa na Christians na zimesimama ghafla mnaibuka na kutaka usawa kwenye banking, how come hamkutaka usawa wakatai benki ziko hoi chini? ....
 
siongelei west afrika wala sijui moroko, naongelea tanzagiza, elimu yetu ilianzishwa na Christians kwa ajili ya kuelimisha Christians, sasa kwa nini Christians wafundishe "islam knowledge"?
Nianze kwa kusema wewe ni mental case
1.wizara ya elimu ni wizara chini ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,siyo church ministry, jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa sensa ya 1958(sensa pekee yenye kipengele cha dini) inasema waislam Tanzania ni 66%,hii mrema na mtei walijua
2.islamic knowledge haifundishwi na wakristo sababu hawawezi isoma maana watasilimu
kama nilivyosema muslims walikuwepo pwani yetu kwa karibia miaka elfu moja, kwa nini hawakujenga shule, sekondari, high schools, colleges na Universities au hata tu vocational training colleges kama veta? muslims hata tu shule ya kufundisha useremala hawakujenga miaka yote 1000, useremala kama tuujaavyo leo hii kama profession ulianza kufundishwa na Christians.
Akili huna,miaka yote hiyo Tanzania bara mpaka pwani na visiwani hapakua na vigoda,viti na meza?
Ikulu ya daresalaam ni madrasa(madarasa/shule) na ocean road hospital yalikua mabweni,mjerumani alipokuja aliwatumia waliokua wakijua kusoma na kuandika kwa hati za kiarabu,waliitwa jumbe na liwali

Kabla hata mzungu hajaja Zanzibar palikua na kiwanda cha nguo,tabora wakitengeza nguo kabla mmisionari hajatia pua
miaka karibia 1000 muslims walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kuuza muslims, i.e muslis sold muslims, kuuza pembe za ndovu basi, hakuna maendeleo yoyote, hakuna barabara, hakuna reli, hakuna meli na miundo mbinu kama maji, umeme, muslims hawakujenga one single hydroelectric dam kwa karibia 1000 waliokuwepo, hakuna kilimo chochote cha maana wali-introduce
Maji wa kilwa 1400s ulikua na huduma hizo na mipango mji ambao wareno hawakuwa nao,wakafika na meli/melikebu/mashua baharini,wakauchora mji wa kilwa,kisha wakautia moto,kilwa waliomba msaada kwa Oman,Oman walikuja na meli wakabonda wareno wakakimbia
Hapakua na biashara ya utumwa Tanzania kabla ya wazungu kuja
sasa Christians wamejenga kila kitu halafu muslims wanaibuka kutoka mashimoni na ghafla kudai usawa, why? same things utalii infrastructure yote ya utalii tanzagiza iliwekwa na Christians leo hii akina rostamu wamepora kila kitu wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao kupisha arabs, muslims hawakujua hata kama una mlima mrefu afrika kilimanjaro kwa miaka 1000, hata huko kusini kwenyewe walikokuwa hawagundua mabaki ya dinasoria miaka yote hiyo, Christians wamegundua ghafla muslims wanaibuka kusema mabaki ya dinasoria ni yao sijui yarudishwe kwa nini hakukuyagundua sasa, yet hakuna hata muslim mmoja archeologist sasa mambo ya dinasoria mmeyajulia wapi?
Hakuna ardhi ya wamasai
muslims have zero contribution to tanzagiza, hivyo kutaka kudai usawa kwa ambavyo hamkuwekeza siyo usawa ni uporaji, same with banking crdb na nmb zimejengwa na Christians na zimesimama ghafla mnaibuka na kutaka usawa kwenye banking, how come hamkutaka usawa wakatai benki ziko hoi chini? ....
Kweli akili huna
 
Nianze kwa kusema wewe ni mental case
1.wizara ya elimu ni wizara chini ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,siyo church ministry, jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa sensa ya 1958(sensa pekee yenye kipengele cha dini) inasema waislam Tanzania ni 66%,hii mrema na mtei walijua
2.islamic knowledge haifundishwi na wakristo sababu hawawezi isoma maana watasilimu

Akili huna,miaka yote hiyo Tanzania bara mpaka pwani na visiwani hapakua na vigoda,viti na meza?
Ikulu ya daresalaam ni madrasa(madarasa/shule) na ocean road hospital yalikua mabweni,mjerumani alipokuja aliwatumia waliokua wakijua kusoma na kuandika kwa hati za kiarabu,waliitwa jumbe na liwali

Kabla hata mzungu hajaja Zanzibar palikua na kiwanda cha nguo,tabora wakitengeza nguo kabla mmisionari hajatia pua

Maji wa kilwa 1400s ulikua na huduma hizo na mipango mji ambao wareno hawakuwa nao,wakafika na meli/melikebu/mashua baharini,wakauchora mji wa kilwa,kisha wakautia moto,kilwa waliomba msaada kwa Oman,Oman walikuja na meli wakabonda wareno wakakimbia
Hapakua na biashara ya utumwa Tanzania kabla ya wazungu kuja

Hakuna ardhi ya wamasai

Kweli akili hu

elimu yetu ilianzishwa na Christians ili kuelimisha Christians na siyo muslims, sasa kwa nini Christians wafundishe Christian children islam?
hivyo wali-introduce masomo ya divinity ni kwa sababu lengo lilikuwa ni kuelimisha Christian children na siyo muslims au sijui hindu, huwezi kutegemea Christians waanzishe Shule au waunde mtaala kufundisha Christian children halafu waweke islam. kwa nini muslims hawakufundisha hiyo islam kwenye shule zao kabla ya Christians kuanzisha shule? ni kwa sababu hakukua na mfumo wowote wa ellimu wa islam ukiondoa madrasa ya kukariri Kurani kabla ya Christians kuanzisha huu mfumo wa elimu kama tuuajuavyo leo hii...
 
Divinity/bible knowledge si walikua wakipeana A tu 1990s-2000s Ili cheti kipendeze
Mtaani na shule ya msingi na sekondari nilizosoma zilikua na wakristo wengi, walikua wazembe tu shuleni,hata jamii za wafugaji wazembe tu kweli elimu,uzembe siyo suala la dini

Sasa Cheti kikipendeza na A ya divinity kinasaidia nn?

Nway, shule nilizo soma hakukua na Ujinga wa Divinity studies.
 
"Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema uende utafute askari ambao wametenda nje ya sheria kisha uwashughulikie.

Nayo inanipa matatizo kidogo... inanipa matatizo kidogo kwa mambo mengi. Unakwenda kutafuta hawa waliotenda; walioagiza je? Na hii hapa tumekuwa na mifano. Mwaka 1976 serikali iliunda kikosi kazi cha wataalam, polisi na usalama. Tulikuwa na tatizo kama unakumbuka, tulikuwa na tatizo la vikongwe kuuawa Mwanza na Shinyanga. Wakawapeleka kule waende wakafanye uchunguzi. Tulichokuwa tunataka ni uchunguzi, kwa nini haya yanatokea? Kisha waje watoe taarifa kwa serikali ijue hatua za kuchukua.

Tatizo lilikuwa ni la uaji, mauaji ya wanawake wazee wakishukiwa kuwa ni wachawi. Wale, kile kikosi kazi, badala ya kwenda kufanya uchunguzi, kikaenda kuanzisha makambi kule na kutesa wananchi. Wengine wakafa, wengine wakapata vilema. Ilipogundulika ile, hatua zilizochukuliwa; ya kwanza ilikuwa ni kuwajibika. Hawakuwa kule, ndio unakumbuka Mwinyi ali-resign, Siyovelwa aliyekuwa Waziri wa Usalama ali-resign, Wakuu wa Mikoa Mwanza na Shinyanga, Mabawa na Kisumo, walire-resign. Ndio ikafuata hii sasa hatua ya pili kwenda kuona hawa walio... wakaenda, wakakamatwa, wakashtakiwa.

Sasa hapa haya yametokea. Hapa ni kama wanasema polisi walivunja sheria. Sasa unataka tume iende ikachunguze nani? Ichunguze taasisi ya polisi ama watu maalum? Mimi naona kama hii nayo ni kama kusibaziba mambo."

Hapa hakuna kitu chochote. Hili limama naliona kama chawi tu. Lenyewe ndio limewaagiza polisi wakaue raia halafu linakuja hapa kutuletea mipasho ya kwenye kanga? Hili lingese ni zaidi ya dikteta Bokassa.
 
Back
Top Bottom