Unapambana aisee, hongera!Vita havina macho
Unapambana aisee, hongera!Vita havina macho
Daftari la kupiga kura Lina wapiga kura wangapi?..ulipo wewe ndiyo Tanzania nzima?..ulienda kituo cha kupiga kura ukahesabu walioenda kupiga kura?Watanzania tuko 65m, iweje watu nusu wawe na umri sawa na watoto? Ama unadhani hatukuona voters turn out siku ya uchafuzi mkuu? Sheria inasema inasema ni rais, lakini lazima rais awe amepatikana kihalali na sio kwa kujiweka madarakani.
Hiyo tume nyingine itakayoundwa kutokana na mapendekezo ya tume ya Chande inakwenda kuwafunga wote waliohusika katika kuileta ile kadhia ya October 29 mwaka jana.Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Wapingaji wamezindua kampeni mpya ya kusambaza uwongo wao,imeanzishwa na mahojiano ya warioba,ikienda sambamba na mikutano ya chadema na habari za uwongo kama Ile ya bunge la ulaya kutaka Samia aondolewe kwa nguvuUnapambana aisee, hongera!
Bila kujali hadhi ya mtu,awe kiongozi wa dini, kiongozi mkuu wa serikali mstaafu au mbwa yoyote yuleHiyo tume nyingine itakayoundwa kutokana na mapendekezo ya tume ya Chande inakwenda kuwafunga wote waliohusika katika kuileta ile kadhia ya October 29 mwaka jana.
Wapo wanaoongea muda huu kwa sababu ya kutaka kujikinga na tuhuma zinazowasubiri. Wanawahi kusema wameonewa kabla hawajatiwa hatiani.
Kawakamate hao askariTume nyingi huwa zinaundwa ili kununua muda , wakishaona hasira ya wananchi imepoa, ripoti inawekwa na kabatini.
Kama serikali inajua polisi walivunja sheria, kwa nini ihitaji tume kuwajua wakati kila operesheni ina logbook na commander?
Kwenye nchi yoyote inayopita kwenye migogoro ya kisiasa, official statistics huwa ni namba za kupoza maumivu ya wananchi tu na siyo kuelezea ukweli.
Rasmi mimi ni mjukuu wa mzee Warioba , mzee wa maana sana uyu"Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema uende utafute askari ambao wametenda nje ya sheria kisha uwashughulikie.
Nayo inanipa matatizo kidogo... inanipa matatizo kidogo kwa mambo mengi. Unakwenda kutafuta hawa waliotenda; walioagiza je? Na hii hapa tumekuwa na mifano. Mwaka 1976 serikali iliunda kikosi kazi cha wataalam, polisi na usalama. Tulikuwa na tatizo kama unakumbuka, tulikuwa na tatizo la vikongwe kuuawa Mwanza na Shinyanga. Wakawapeleka kule waende wakafanye uchunguzi. Tulichokuwa tunataka ni uchunguzi, kwa nini haya yanatokea? Kisha waje watoe taarifa kwa serikali ijue hatua za kuchukua.
Tatizo lilikuwa ni la uaji, mauaji ya wanawake wazee wakishukiwa kuwa ni wachawi. Wale, kile kikosi kazi, badala ya kwenda kufanya uchunguzi, kikaenda kuanzisha makambi kule na kutesa wananchi. Wengine wakafa, wengine wakapata vilema. Ilipogundulika ile, hatua zilizochukuliwa; ya kwanza ilikuwa ni kuwajibika. Hawakuwa kule, ndio unakumbuka Mwinyi ali-resign, Siyovelwa aliyekuwa Waziri wa Usalama ali-resign, Wakuu wa Mikoa Mwanza na Shinyanga, Mabawa na Kisumo, walire-resign. Ndio ikafuata hii sasa hatua ya pili kwenda kuona hawa walio... wakaenda, wakakamatwa, wakashtakiwa.
Sasa hapa haya yametokea. Hapa ni kama wanasema polisi walivunja sheria. Sasa unataka tume iende ikachunguze nani? Ichunguze taasisi ya polisi ama watu maalum? Mimi naona kama hii nayo ni kama kusibaziba mambo."
Sibahatishi ninachokisema, hata hiyo idadi ya wapiga kura 37m ni ya uongo. Sensa ya 2022 ilisema tuko 61m, toa hiyo idadi uone kama kuna ukweli hapo. Kwani nikitaka kujua kuwa mwaka huu kuna chakula kingi nchini ni lazima nizinguke nchi nzima mimi binafsi? Serious unaweza kutetea uongo wa wazi vile kwa huu utetezi wa kitoto hivi?Daftari la kupiga kura Lina wapiga kura wangapi?..ulipo wewe ndiyo Tanzania nzima?..ulienda kituo cha kupiga kura ukahesabu walioenda kupiga kura?
Mfungwa namba moja hapo anastahili kuwa Samia. Usidhani kwakuwa kaijiweka madarakani basi ndio msafi kwenye hili. Kajiundia tume na ripoti kaficha ili yeye asiwe muhusika wa uhalifu ule. Tunapotaka katiba mpya ni pamoja na kuhakikisha kuwa rais anashitakiwa. Tazama kinachoendelea Africa Kusini kwa Rais Ramaphosa ndio ujue tunaposema katiba mpya tunamaanisha nini.Hiyo tume nyingine itakayoundwa kutokana na mapendekezo ya tume ya Chande inakwenda kuwafunga wote waliohusika katika kuileta ile kadhia ya October 29 mwaka jana.
Wapo wanaoongea muda huu kwa sababu ya kutaka kujikinga na tuhuma zinazowasubiri. Wanawahi kusema wameonewa kabla hawajatiwa hatiani.
Utajuaje nchi ina chakula kingi bila takwimu za idara ya kilimo?..kuzalisha chakula kingi hakutegemei tu mvua za kutosha,watanzio tupo zaidi ya 70m,we unabaki na takwimu za 2022,hatuzaani,vijana hawabaleghe?Sibahatishi ninachokisema, hata hiyo idadi ya wapiga kura 37m ni ya uongo. Sensa ya 2022 ilisema tuko 61m, toa hiyo idadi uone kama kuna ukweli hapo. Kwani nikitaka kujua kuwa mwaka huu kuna chakula kingi nchini ni lazima nizinguke nchi nzima mimi binafsi? Serious unaweza kutetea uongo wa wazi vile kwa huu utetezi wa kitoto hivi?
Idara ya kilimo ni baadhi ya chanzo tu, lakini sio pekee.Utajuaje nchi ina chakula kingi bila takwimu za idara ya kilimo?..kuzalisha chakula kingi hakutegemei tu mvua za kutosha,watanzio tupo zaidi ya 70m,we unabaki na takwimu za 2022,hatuzaani,vijana hawabaleghe?
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo. Ngoja hiyo tume ianze kazi na majina ya wanaoshtakiwa yatajwe, ndipo ukweli utaujua.Mfungwa namba moja hapo anastahili kuwa Samia. Usidhani kwakuwa kaijiweka madarakani basi ndio msafi kwenye hili. Kajiundia tume na ripoti kaficha ili yeye asiwe muhusika wa uhalifu ule. Tunapotaka katiba mpya ni pamoja na kuhakikisha kuwa rais anashitakiwa. Tazama kinachoendelea Africa Kusini kwa Rais Ramaphosa ndio ujue tunaposema katiba mpya tunamaanisha nini.
Tusubiri kazi ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa mkuu? Ama unadhani hatujui tume inapewa maagizo na nani?Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo. Ngoja hiyo tume ianze kazi na majina ya wanaoshtakiwa yatajwe, ndipo ukweli utaujua.
Wakati bado hujaipata katiba mpya SSH ndio rais wako utake usitake.
Kilichopo gizani muda huu kitawekwa hadharani tuupe muda nafasi na utaongea.Tusubiri kazi ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa mkuu? Ama unadhani hatujui tume inapewa maagizo na nani?
Kilichoko gizani kinaweza kuwekwa na tume huru, sio hiyo ya muhalifu. ilitakiwa tume huru, Samia na genge lake wasingetoka. Lakini hiyo ya maagizo yake unategemea jipya gani?Kilichopo gizani muda huu kitawekwa hadharani tuupe muda nafasi na utaongea.
Pale INEC nna mwanangu nilisoma nae chuo na ana first class,A level alisoma bamIdara ya kilimo ni baadhi ya chanzo tu, lakini sio pekee.
Kuhusu idadi ya wapiga kura ni kwamba nyie ni wezi lakini hamjui hesabu, rudini mkajifunze hesabu, hiki si kizazi cha wajinga tena.