muslims hawahitaji kusomea “islam knowledge” , wasomee ili iweje? muslims wanakariri Kurani basi, na ndiyo maana wameanzisha boko haram boko haram maana yake elimu hii yetu ni haram na kukataza muslims kusoma “western education”, hata taliban the same, muslims wanasoma madrasa ili kufundishwa kukariri Kurani, basi.
Elimu yetu ilianzishwa na Christians, ni copy&paste na elimu ya England, muslims walikuwepo pwani yetu kwa miaka karibia elfu moja mbona hawakufundisha hiyo “islam knowledge” unayoizungumzia? mpaka Christian wanakuja hakukuwa na high school yoyote, wala college au hata University yoyote ile.
sasa Christians wamejenga kila kitu kinafanya kazi wamejenga secondary schools, high schools, colleges and Universities ghafla mnaibuka ktk 7 century madrasa huko na kutaka kupora kama kawaida yenu mndai islam knowledge eti Christians wana divinity, ofcourse wanayo kwa sababu walianzisha colleges na Universities ili kufundisha Christians divinities, sciences and mathematics, kwa maana muslims hawakuanzisha chochote ingawaje wamekaa pwani for centuries …