PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaleta hisia binti, watu hawafanyi vurugu kama wana njia mbadala wa kutatua kero zao. watanzania hawahitaji kuchochewa ili wajue ni nini wananyimwa au wapi wanaonewa. kudhani kuwa wasingetoka kupigania haki zao kama wasingechochewa ni kuwatukana kwamba hawana akili. mpaka waambiwe na mtu mwingine kwamba wanaonewa ndio wapiganie haki zao. weka dini pemben i weka hisia pembeni
Vurugu organized vile haziji from nowhere,acha kujitia ujinga
 
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Wanafikiwa kwa kuagizwa na Samia mtuhumiwa namba moja. Kama mlitegemea rais ndio ataunda kuchunguza wafanya maandamano, basi mjue Samia ndio muhusika mkuu. Na hiyo tume yake atakayoubda isipate shida kusema ni wapi kura 31m zilitokea, maana Warioba anasema sio kura za kweli, na sisi wananchi tuliona ukweli huo
 
Mzee warioba anatafuta kiki tu,
Kwani ripoti ya Jaji chande ilisemaje kuhusu hilo?

Yaani anajifanya kanakwamba kaeleza jambo jiiiiiiipyaaa, kumbe tume ya jaji chande ilishaeleza hivyo 🐒
Ule uchafu? eti ripoti ya jaji chande kesi ya nyani unampa ngedere unategemea nini? Wanapoteza kodi zetu kujastfy vitu ambavyo wananchi walivijustfy tareh 29. Kuongozwa na mwanamke changamoto sana anamwambia Ruto GenZ wakileta fyokofyoko ni mikwaju Ruto anamjibu kwamba tatizo sio Genz. Tatizo ni Umasikini na ukosefu wa ajira. Angalia majirani wanavyoinvest nchi yao. Mabeberu sometimes ukitaka maendeleo huwezi kuwakimbia si unaona Macron na kibibi chake wapo kenya ile ni biashara (billions of money) sisi Tanganyika tunamzodoa Dangote kwa kukataa kujenga oil refinery Tanga 😂😂 Tanga haiwezi kudock na kuhudumia meli kubwa Dangote ameona ni shoti mara elfu akajenge mombasa sisi tumekalia kuzodoa vitu ambavyo tungekuwa na common sense ni kukarabati ama kujenga upya miundo mbinu mbona fursa kibao zingetudondokea. Tatizo Dereva yupo busy anapiga umbea gari ipo spidi hajali hatma ya safari haijulikani
 
Vurugu organized vile haziji from nowhere,acha kujitia ujinga
Kwa taarifa yako kuanzia mwezi wa 4 mwaka jana, kuna makundi ya vijana wa ccm walikuwa wanapewa mafunzo na vyombo vya dola na walikuwa wanavaa barret nyekundu. Kuna Uzi kabisa humu uliletwa kuhusu hayo makundi na baadhi yao walikuwa wanavamia mikutano ya cdm ya NRNE. Huwezi kuona kiongozi yoyote wa chombo cha dola anawajibika kwenye hili, maana hii ni plan ya Ccm na Samia kuandaa vijana wa ccm kupora uchaguzi. Kitu ambacho hawakutegemea ni nguvu kubwa ya wananchi kwenye maandamano yale. Lakini Mafunzo yalitolewa kwa uratibu wa vyombo vya dola kwa vijana wa ccm, na Samia ndio alifandhili uharamia ule.

Ni bahati tu cdm walipigwa marufuku kufanya siasa, vinginevyo kundi hilo la vijana wa ccm lilikuwa linakwenda kufanya mauaji kwenye kila mkutano wa cdm. Na walianza kufanya fujo hizo wakiwa hadi na mapanga na polisi walikuwa wanaona na kukalia kimya. Hao vijana walipokuwa wanazidiwa polisi walikuwa wanaingilia kumuokoa, lakini wakifia mbele wanamuachia maana ilikuwa ni mpango rasmi wa Rais, vyombo vya dola na ccm. Yaani msidhani ukweli huo haufahamiki.
 
kwahiyo kazee ka watu kanajadili uchafu right?🤣
 
Hili shudu lote la kazi gani?..baada ya vurugu kuna mchungaji/askofu wa Arusha alisema wafanya vurugu walihifadhiwa na kupewa mafunzo kanisani, ndiyo maana tuliona watu wa kanisani wakibweka sana baada,na kwenye uapisho waliwatunuku waliouawa kwa kudai wako peponi, tusubiri kuwajibishana
 
Wanafikiwa kwa kuagizwa na Samia mtuhumiwa namba moja. Kama mlitegemea rais ndio ataunda kuchunguza wafanya maandamano, basi mjue Samia ndio muhusika mkuu. Na hiyo tume yake atakayoubda isipate shida kusema ni wapi kura 31m zilitokea, maana Warioba anasema sio kura za kweli, na sisi wananchi tuliona ukweli huo
Hapakua na maandamano bali mapinduzi ya kiraia na uporaji,yaliyoratibiwa na kanisa
 
Hili shudu lote la kazi gani?..baada ya vurugu kuna mchungaji/askofu wa Arusha alisema wafanya vurugu walihifadhiwa na kupewa mafunzo kanisani, ndiyo maana tuliona watu wa kanisani wakibweka sana baada,na kwenye uapisho waliwatunuku waliouawa kwa kudai wako peponi, tusubiri kuwajibishana
Nasema hivi, kulikuwa na haja gani ya kukamata watu kwa kubahatisha wakati tayari kulikuwa na hao wachungaji wanatoa ushahidi wa waliofadhili maandamano?
 
Hapakua na maandamano bali mapinduzi ya kiraia naw uporaji,yaliyoratibiwa na kanisa
Kwahiyo kura 31m ndio zilikuwa halali? Na bado mnaamini huyo muuaji ana uhalali wa kuchunguza waliokuwa wanapinga wizi wake wa kura?
 
Tanzania hakuna wapiga kura 31m?..kwa nini uzuwie wengine kupiga kura kwa vurugu?..Sheria ya nchi inasema nani aunde tume?
 
Nasema hivi, kulikuwa na haja gani ya kukamata watu kwa kubahatisha wakati tayari kulikuwa na hao wachungaji wanatoa ushahidi wa waliofadhili maandamano?
Subiri watakapokamatwa maaskofu wako uulize tena,vyombo vya dola vina namna yake ya utendaji,havitendi utakavyo
 
Tanzania hakuna wapiga kura 31m?..kwa nini uzuwie wengine kupiga kura kwa vurugu?..Sheria ya nchi inasema nani aunde tume?
Watanzania tuko 65m, iweje watu nusu wawe na umri sawa na watoto? Ama unadhani hatukuona voters turn out siku ya uchafuzi mkuu? Sheria inasema inasema ni rais, lakini lazima rais awe amepatikana kihalali na sio kwa kujiweka madarakani.
 
Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
WARIOBA hajawahi kuwa chawa, alipinga bitterly maamuzi aliyofanya Nyerere na Sokoine enzi ya chama kimoja, alipinga maamuzi yao ya kisiasa dhidi ya wananchi, kwani yaliyopindisha katiba na sheria za nchi
  • Former Tanzanian Attorney General and Justice Minister, Judge Joseph Warioba, famously differed with Prime Minister Edward Sokoine and President Mwalimu Julius Nyerere regarding legal issues in the early 1980s, specifically concerning the Economic Sabotage Act of 1983.
  • As Attorney General, Warioba argued that Sokoine’s proposed crackdown (measures against suspected "economic saboteurs") violated fundamental human rights, the rule of law, and established legal procedures
  • Warioba strongly opposed these measures, arguing that they bypassed the ordinary judicial system and undermined the rights of the accused.
 
Subiri watakapokamatwa maaskofu wako uulize tena,vyombo vya dola vina namna yake ya utendaji,havitendi utakavyo
Watakamata sio kwakuwa wanamakosa, bali kwa kuagizwa na waliogiza watu wauawawe, ili kuwasafisha. Ni hivi, kwenye hili rais na vyombo vya dola ni wahusika wakuu wa uhalifu ule na ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom