Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Na huo ndio UKWELI. WALIUWAWA wengi sana na MAITI wakaiba.
Samia umeiba mpaka MAITI!🤦
Samia umeiba mpaka MAITI!🤦
Lakini kuna wauaji pia... Walioua watu zaidi ya maelfu!Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Waziri mkuu mstaafua analipwa 80% ya mshahara wa waziri mkuu aliopo madarakani kwa sasa, yaani huyo hata akikaa ndani mwaka mzima humfikii kipato wewe unaeamka asubuhi dailyZee nafiki hili aisee. Limeshindwa maisha Sasa linataka kumshindisha Kila mtu. Litafeli kama lilivyofeli mara zote.
hiyo kitu ndio nin gentleman 🐒Yaani ripoti ya Chande imekuwa kama msahafu?
Palikua na amri ya kutotoka nje kuanzia saa 11 jioni 29/10Lakini kuna wauaji pia... Walioua watu zaidi ya maelfu!
Jibu swali,umekariri mambo ya 2002Kinachofurahisha, haya unayaandika hapa, kwa ground unajua ukweli. So, ni kujilisha upepo tu.
Palikua na amri ya kutotoka nje kuanzia saa 11 jioni 29/10,aliyekua anaonesha mpira nani na kivumbi kile kama hawakua wezi!?Kuna watoto waliuliwa kwenye Banda la mpira wakati wanaangalia mpira na wale ni majambazi?
Siamini hata kutekwa kwa polepole,ukiangalia mchirizi wa damu kwenye eneo la tukio kuna ukubwa(size) sawa ya matone ya damu toka ndani mpaka nje,kitu kinachoashiria damu ilitiririshwa toka kwenye chomboLet ask you question Je unaamini Polepole Katekwa kwasababu ya mapenzi au madeni kama ambavyo tume ya Jaji Chande inavyosema? Be honest
Yale yalikua mapinduzi,ulitegemea vyombo vitazame tu watu wachome na kuibaVipi mama na askari walioua raia walifanya hivyo kwa agizo la nani?
Bora mama yetu kipenzi mtetea uislaam tanzania mpendelea waislaam mkomesha wakristo kiboko ya wakatolik angekubali tume ya kimataifa ili na yeye mwenyewe akachunguzwa kama amehusika au la tuondoe huu utata..Anajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Unafikiri watu watapata hela wapi? Wakati ni kazi anayoitegemea kwahiyo kwako Mamie ni busara kuua watu ambao wapo kwenye starehe yao ya kuangalia mpira?Palikua na amri ya kutotoka nje kuanzia saa 11 jioni 29/10,aliyekua anaonesha mpira nani na kivumbi kile kama hawakua wezi!?
Ila tume yako unayoiamini inasema Katekwa kwasababu ya mapenzi? Alafu kama Polepole angekuwa hajatekwa familia yake wasingekuwa wanaangaika kumtafuta kwa muda wote huo. Mimi nakushauri mama angu kuna wakati inabidi uwe realistic ushabiki weka pembeni haya ni maisha ya watu ujue unaweza ukadhiaki alafu ikaja kukuback fire tupo kwa maslahi ya Tanzania Kwanza vyama baadaeSiamini hata kutekwa kwa polepole,ukiangalia mchirizi wa damu kwenye eneo la tukio kuna ukubwa(size) sawa ya matone ya damu toka ndani mpaka nje,kitu kinachoashiria damu ilitiririshwa toka kwenye chombo
Pili,upana toka mchirizi wa damu hadi ukutani unazua shaka ni namna gani walimtoa nje,upana hautoshi mtu kutembea wala hausemi mtu aliburutwa vipi
Ila si mlipewa ushauri na Gwajima, Polepole na wananchi mkawapuuza ulitegemea wananchi watareact vipiYale yalikua mapinduzi,ulitegemea vyombo vitazame tu watu wachome na kuiba
Mzee wetu hapindishi maneno..."Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema uende utafute askari ambao wametenda nje ya sheria kisha uwashughulikie.
Nayo inanipa matatizo kidogo... inanipa matatizo kidogo kwa mambo mengi. Unakwenda kutafuta hawa waliotenda; walioagiza je? Na hii hapa tumekuwa na mifano. Mwaka 1976 serikali iliunda kikosi kazi cha wataalam, polisi na usalama. Tulikuwa na tatizo kama unakumbuka, tulikuwa na tatizo la vikongwe kuuawa Mwanza na Shinyanga. Wakawapeleka kule waende wakafanye uchunguzi. Tulichokuwa tunataka ni uchunguzi, kwa nini haya yanatokea? Kisha waje watoe taarifa kwa serikali ijue hatua za kuchukua.
Tatizo lilikuwa ni la uaji, mauaji ya wanawake wazee wakishukiwa kuwa ni wachawi. Wale, kile kikosi kazi, badala ya kwenda kufanya uchunguzi, kikaenda kuanzisha makambi kule na kutesa wananchi. Wengine wakafa, wengine wakapata vilema. Ilipogundulika ile, hatua zilizochukuliwa; ya kwanza ilikuwa ni kuwajibika. Hawakuwa kule, ndio unakumbuka Mwinyi ali-resign, Siyovelwa aliyekuwa Waziri wa Usalama ali-resign, Wakuu wa Mikoa Mwanza na Shinyanga, Mabawa na Kisumo, walire-resign. Ndio ikafuata hii sasa hatua ya pili kwenda kuona hawa walio... wakaenda, wakakamatwa, wakashtakiwa.
Sasa hapa haya yametokea. Hapa ni kama wanasema polisi walivunja sheria. Sasa unataka tume iende ikachunguze nani? Ichunguze taasisi ya polisi ama watu maalum? Mimi naona kama hii nayo ni kama kusibaziba mambo."
Unaleta hisia binti, watu hawafanyi vurugu kama wana njia mbadala wa kutatua kero zao. watanzania hawahitaji kuchochewa ili wajue ni nini wananyimwa au wapi wanaonewa. kudhani kuwa wasingetoka kupigania haki zao kama wasingechochewa ni kuwatukana kwamba hawana akili. mpaka waambiwe na mtu mwingine kwamba wanaonewa ndio wapiganie haki zao. weka dini pemben i weka hisia pembeniAnajitoa akili, anatafuta pembe moja na kuikomalia, hajui waliovunja Sheria oktoba, waliofanya uhalifu, atulie maaskofu wake na chama chake cha sirini wafikiwe, ripoti imesema kuna wapangaji, wachochezi na wafadhili
Yaani nchi iendeshwe kwa ushauri wa gwajima na polepole!?..tumia akili basi kidogoIla si mlipewa ushauri na Gwajima, Polepole na wananchi mkawapuuza ulitegemea wananchi watareact vipi
Polepole yupo kwenye genge lililokerwa katiba kufuatwa baada ya kifo cha magu,hao familia yake walikwambia ni lini polepole alirudi toka Cuba?Ila tume yako unayoiamini inasema Katekwa kwasababu ya mapenzi? Alafu kama Polepole angekuwa hajatekwa familia yake wasingekuwa wanaangaika kumtafuta kwa muda wote huo. Mimi nakushauri mama angu kuna wakati inabidi uwe realistic ushabiki weka pembeni haya ni maisha ya watu ujue unaweza ukadhiaki alafu ikaja kukuback fire tupo kwa maslahi ya Tanzania Kwanza vyama baadae