Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam,
mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake.

Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu ya katiba ya wananchi ibara ya 190 imeeleza namna ya kupatikana kwa m/kiti na makamo m/kiti huku ikikataza (kupiga marufuku), wabunge, madiwani na watumishi wote wa serikali kutokuwa na sifa ya kuwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.

Katika ibara ya 191, rasimu inasema kutakuwa na kamati ya uteuzi wa wenyeviti , makamo na wajumbe wa tume hiyo. Aidha tume itaundwa na,
1. Majaji watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
2. Maspika watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
3. Wenyeviti wa tume za maadili, uongozi na uwajibikaji kutoka Tanganyika
Chanzo mwananchi online
 
Jaji Joseph Sinde Warioba, huwa nina mkubali sana.

Huwa hapendi kupindisha jambo lililo katika katiba na ambalo anaamini ni kweli.

Japo pia anayo mapungufu machache.
Huyu mzee wetu anauvumilivu na busara za ajabu, unakumbuka aliponaswa makofi na bwana mdogo anaitwa ndakoma ktk mchakato na bunge la katiba alitumia busara kumsamehe.
 
Sema Mzee wetu kuna mwanasheria eti kakata rufaa wakati mahakama imeona dosari ktk Katiba
 
Warioba nae kiporo tu. Hajatusaidia, ni walewale tu. Mbona hakuwahi kunyanua mdomo pale Meko aliposema yeye na katiba mpya mbalimbali? Mbona hajawahi kusema lolote kuhusiana na uvunjifu wa katiba waIwazi na uminywaji wa demokrasia hapa nchini?
 
Hii inaweza kuwa speech ya mwisho ya Jaji warioba! Naona atawekewa tuta asiloweza kulivuka,malechela ni mfano mzuri!! Tatizo ni ukweli usiotakiwa!
 
Warioba nae kiporo tu. Hajatusaidia, ni walewale tu. Mbona hakuwahi kunyanua mdomo pale Meko aliposema yeye na katiba mpya mbalimbali? Mbona hajawahi kusema lolote kuhusiana na uvunjifu wa katiba waIwazi na uminywaji wa demokrasia hapa nchini?
Nchi hii hakuna wakumgusa Mbowe mwache awe m/kiti wa maisha mpaka Maulana atakavyohamua vinginevyo!
 
Jaji Joseph Sinde Warioba, huwa nina mkubali sana.

Huwa hapendi kupindisha jambo lililo katika katiba na ambalo anaamini ni kweli.

Japo pia anayo mapungufu machache.
Katiba tuliyonayo ni ya 1977
 
Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph sinde warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni tume huru ya uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.

Jaji warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu ya katiba ya wananchi ibara ya 190 imeeleza namna ya kupatikana kwa m/kiti na makamo m/kiti huku ikikataza (kupiga marufuku),wabunge, madiwani na watumishi wote wa serikali kutokuwa na sifa ya kuwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.

Katika ibara ya 1991, rasimu inasema kutakuwa na kamati ya uteuzi wa wenyeviti , makamo na wajumbe wa tume hiyo. Aidha tume itaundwa na,
1.majaji watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
2.maspika watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
3.wenyeviti wa tume za maadili, uongozi na uwajibikaji kutoka Tanganyika
2.maspika watatu
ALipokuwa na cheo alisaidia nini?
Hawa wazee bwana.

Nina uhakika baada ya miaka 20.
Magufuli akiwa mzee atafuatwa na atasema anataka tume huru

Mwezi wa Kwanza ungemuuliza Lowasa kama atapendelea tume gani angesema tume huru.
Ila sas ahivi haweZi kusema hivyo.
 
Warioba nae kiporo tu. Hajatusaidia, ni walewale tu. Mbona hakuwahi kunyanua mdomo pale Meko aliposema yeye na katiba mpya mbalimbali? Mbona hajawahi kusema lolote kuhusiana na uvunjifu wa katiba waIwazi na uminywaji wa demokrasia hapa nchini?
Huyu mzee alitumia busara napia alikuwa na vision. Aliona mbali ndo maana alikaa kimya akijua ya kwamba ipo siku haya yatajirudi yenyewe unajua sometimes kama jambo lili;lopaswa kubadilishwa na halikufanywa hivi then nature will take its course. Hili ni jambo ambalo halikuwa la kukwepeka.
 
Mbona wewe umeishia kunyanyua Keyboard tu?
 
IMG-20141102-WA0010.jpg
 
Huyu mzee alitumia busara napia alikuwa na vision. Aliona mbali ndo maana alikaa kimya akijua ya kwamba ipo siku haya yatajirudi yenyewe unajua sometimes kama jambo lili;lopaswa kubadilishwa na halikufanywa hivi then nature will take its course. Hili ni jambo ambalo halikuwa la kukwepeka.
Suala la tume huru lishashika kasi na wala hakuna tena wa kulishikia chini
 
Back
Top Bottom