Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ninapoona "Comment" kama hii huwa najiuliza ni kwa nini Mungu aliumba watu na vijini watu!!Mahakama iliyomweka Mbowe magereza takribani miezi minne iliona dosari gani?
Ninapoona "Comment" kama hii huwa najiuliza ni kwa nini Mungu aliumba watu na vijini watu!!Mahakama iliyomweka Mbowe magereza takribani miezi minne iliona dosari gani?
Hivi kwanini Huyu mzee wanapenda sana kumtumia tofauti na Mh Cleopa Msuya.
Haakika ni kumbukumbu mbaya huwa inanisikisha, asante mkuu
Umenena vyemaALipokuwa na cheo alisaidia nini?
Hawa wazee bwana.
Nina uhakika baada ya miaka 20.
Magufuli akiwa mzee atafuatwa na atasema anataka tume huru
Mwezi wa Kwanza ungemuuliza Lowasa kama atapendelea tume gani angesema tume huru.
Ila sas ahivi haweZi kusema hivyo.
Kama Mbowe alikata rufaa ikaonekana mahakama ilikosea kwa nn serikali isikate rufaa juu ya uhamuzi wa maDEDNinapoona "Comment" kama hii huwa najiuliza ni kwa nini Mungu aliumba watu na vijini watu!!
Mtanzania aliyeshibaMsuya hana Njaa
Wapo wanajipanga subiri aje musibaSuala la tume huru lishashika kasi na wala hakuna tena wa kulishikia chini
Hapa lazima kimba ilimtoka!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msuya hana Njaa
endelea kutukana wazeeHapa lazima kimba ilimtoka!
Kwenye kesi ya Mbowe kuna kifungu chochote cha sheria kiliharamishwa na kufutwa na Mhakama?Kama Mbowe alikata rufaa ikaonekana mahakama ilikosea kwa nn serikali isikate rufaa juu ya uhamuzi wa maDED
Huyo amevuka level ya wazee!endelea kutukana wazee
Huu utumbo umechacha,haufai hata kwa ndiziNchi hii hakuna wakumgusa Mbowe mwache awe m/kiti wa maisha mpaka Maulana atakavyohamua vinginevyo!
Jaji Joseph Sinde Warioba, huwa nina mkubali sana.
Huwa hapendi kupindisha jambo lililo katika katiba na ambalo anaamini ni kweli.
Japo pia anayo mapungufu machache.
Dah huyu jamaa ni kibri mzoefu kumbe dah!!!!
Na bado inavunjwa na kusiginwa kila leo na watawala wa ccmKatiba tuliyonayo ni ya 1977