jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Lengo la kauli ya warioba ni kutu blackmail (maspika watatu)Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake.
Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu ya katiba ya wananchi ibara ya 190 imeeleza namna ya kupatikana kwa m/kiti na makamo m/kiti huku ikikataza (kupiga marufuku), wabunge, madiwani na watumishi wote wa serikali kutokuwa na sifa ya kuwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.
Katika ibara ya 1991, rasimu inasema kutakuwa na kamati ya uteuzi wa wenyeviti , makamo na wajumbe wa tume hiyo. Aidha tume itaundwa na,
1. Majaji watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
2. Maspika watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
3. Wenyeviti wa tume za maadili, uongozi na uwajibikaji kutoka Tanganyika
2. Maspika watatu
Yaani makinda yustino tulia????
Phd ya utumwa.