Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

Huyu mzee alitumia busara napia alikuwa na vision. Aliona mbali ndo maana alikaa kimya akijua ya kwamba ipo siku haya yatajirudi yenyewe unajua sometimes kama jambo lili;lopaswa kubadilishwa na halikufanywa hivi then nature will take its course. Hili ni jambo ambalo halikuwa la kukwepeka.
. Upo sahihi, usipokubaliana na mabadiriko, yatakubadirisha kwa lazima.
 
Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake.

Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu ya katiba ya wananchi ibara ya 190 imeeleza namna ya kupatikana kwa m/kiti na makamo m/kiti huku ikikataza (kupiga marufuku), wabunge, madiwani na watumishi wote wa serikali kutokuwa na sifa ya kuwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.

Katika ibara ya 1991, rasimu inasema kutakuwa na kamati ya uteuzi wa wenyeviti , makamo na wajumbe wa tume hiyo. Aidha tume itaundwa na,
1. Majaji watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
2. Maspika watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
3. Wenyeviti wa tume za maadili, uongozi na uwajibikaji kutoka Tanganyika
Chanzo mwananchi online
If people in the system don't change then change will change them. Hatupigii debe kuitoa sisiem madarakani hata ikikaa miaka 100 poa ila katiba ni lazma ifuatwe huu ndo utaratibu. Ikitokea mkatoka madarakani then well n good ndo mtajifunza.
 
Jaji Joseph Sinde Warioba, huwa nina mkubali sana.

Huwa hapendi kupindisha jambo lililo katika katiba na ambalo anaamini ni kweli.

Japo pia anayo mapungufu machache.
hawa ndo wasomi wetu halisi lakini muda ndo unawatupa mkono wamebaki wa elimu za makaratasi tu Kina PASKALI MAYALA.
 
Wasalaam,
mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake.

Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu ya katiba ya wananchi ibara ya 190 imeeleza namna ya kupatikana kwa m/kiti na makamo m/kiti huku ikikataza (kupiga marufuku), wabunge, madiwani na watumishi wote wa serikali kutokuwa na sifa ya kuwa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi.

Katika ibara ya 191, rasimu inasema kutakuwa na kamati ya uteuzi wa wenyeviti , makamo na wajumbe wa tume hiyo. Aidha tume itaundwa na,
1. Majaji watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
2. Maspika watatu kutoka Tanganyika na Zanzibar.
3. Wenyeviti wa tume za maadili, uongozi na uwajibikaji kutoka Tanganyika
Chanzo mwananchi online
Maendeleo yana vyama
 
The deep state
 
..baada ya hapo unamkuta Mzee Warioba kwenye majukwaa ya ccm akipiga kampeni.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Ukiheshimiwa jiheshimu. Kama kweli Sinde kasema hayo kweli MH. Shida sana
 
WANAFIKI sana hawa Mkuu wanachojali ni maslahi yao na ya Watoto wao. Yule Kippi alipoteza ukuu wake wa Wilaya ili kugombea Ubunge labda kwenye hii Serikali haramu ataukwaa uRC.

..baada ya hapo unamkuta Mzee Warioba kwenye majukwaa ya ccm akipiga kampeni.
 
Mbunge wa upinzani atashinda kwa idhini ya Magu,kwa sasa mchezo ni kuinesha upinzani ameshindwa kwa kura nyingi.

Pesa zilizopotea kwenye uchaguzi wa mwaka huu bora zingetumika kutekeleza ile ahadi ya kila mwalimu kuwa na Laptop.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni bora afute tu mfumo wa vyama vingi tujue moja kuliko huu uhuni ikiwemo mauaji ya kutisha ya raia wasio na hatia ili kung’ang’ania madaraka.

Back
Top Bottom