Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Watanzania wengi huwa hawajitokezi kupiga kura. Wamekalia malalamiko tu. Acha CCM iendelee kututawala. Hiyo 2025 hakuna jipya litakalotokea mpaka siku CCM ipasuke vipande vipande yenyewe.Hii dhambi aliyofanya Mchengerwa malipo yake yatakuwa 2025, Mungu atawapiga kofi kubwa hawataamini macho yao.
Kwa mazingira yale wewe ulitegemea nini?"Nilimuuliza kiongozi mmoja wa upinzani. Je, kweli mnategemea nini? Akaniambia walikuwa wamefanya utafiti. Matokeo yake tuliyoonyeshwa tukijitahidi sana upinzani kwenye uchaguzi wowote unaokuja hatutazidi asilimia 25"
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba.
Kuengua mgombea kwasababu za kipuuzi ili chama kimoja kipate uhalali wakushinda peke yake hapo nani hakujipanga?.Unaengua nini kama wapinzani wenyewe hawakujipanga sio tu kwenye kampeni mpaka maandalizi ya kampeni yeyewe ovyo tu.
Ukitaka kuwa mjinga kwenye nchi hii kuwa mfuasi wa ccm"Nilimuuliza kiongozi mmoja wa upinzani. Je, kweli mnategemea nini? Akaniambia walikuwa wamefanya utafiti. Matokeo yake tuliyoonyeshwa tukijitahidi sana upinzani kwenye uchaguzi wowote unaokuja hatutazidi asilimia 25"
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba.
Mimi namjadili kwa engo hiyoUmeandika nini sasa?
Warioba katoa maangalizo na udhaifu wa ccm mbele ya wapinzani. Ni hoja, mtu mwenye akili angemjibu warioba kwa hoja si kwa viji maneno kama vya kwenye taarabu/khanga/kawa.
Alisema mnaingiza majeshi kwenye siasa siyo kweli? Rejea parade ya songwe
Alisema kura zilipigwa nje siyo kweli?
Alisema wapinzani walikatwa kwa hilarious na ghirba siyo kweli?
Alisema UCHAWA kama wa kwako unatengeneza udiktata siyo kweli?
Aliyosema siyo kweli?Mimi namjadili kwa engo hiyo
Hiyo barua ni fekiAliyosema siyo kweli?
Kufukuza watoto wa wana chadema shuleni ni sawa? Hizo siyo chuki na uhasama aliyosema warioba?
Kwamba mtashindaHii dhambi aliyofanya Mchengerwa malipo yake yatakuwa 2025, Mungu atawapiga kofi kubwa hawataamini macho yao.
Na waziri mkenda alipothibitisha na kutuma wataalam naye alithibitisha taarifa fake?Hiyo barua ni feki
Angethibitisha asingetuma wataalamuNa waziri mkenda alipothibitisha na kutuma wataalam naye alithibitisha taarifa fake?
Umesoma hadi la ngapi?
Unafikiri hata wakiachiwa hicho kidogo (japo sijapenda neno kuachiwa).. hiyo 25% wakishinda ambayo ndo ilikuwa haki yao kwa hesabu zao, kwa siasa za bongo na wapinzani hawa wangelalamika tu!.Kabisa mkuu..najua hawawez kushinda kwa asilimia zote kutokana na mizizi ambayo ccm imejiwekea. Lakini angalau waachiwe hata hicho kidogo wanacho pata.
Ya kushinda itajulikana wakati huo ila ya hawa hayawani kuapata hukumu ya Mungu hiyo iko wazi ni suala la muda tu.Kwamba mtashinda