ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huyu nae muoga tu......
ilitakiwa aseme wakati mwenda zake yupo...
ilitakiwa aseme wakati mwenda zake yupo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilani ya uchaguzi ya CCM haina ajenda ya KATIBA MPYA....tutajichelewesha tu hapo 🤣🤣
Watu wanaotaka KATIBA MPYA kipindi hiki ni CHADEMA..
Utakaa sana hapo.Maccm hawana hati miliki ya Tanzania kuamua watakavyo wao kama vile nchi ni ya chama kimoja. Hii ni nchi ya mfumo wa vyama vingi na Katiba iliyopo ni ya mwaka 1977. Miaka 30 ya kusubiri katiba inayoendana na mfumo wa vyama vingi inatosha. Na ndiyo sababu Butiku na Warioba ambao waliwahi kushika nyadhifa za juu katika awamu mbali mbali za Serikali na pia walikuwemo kwenye Tume ya Warioba wanafagilia kupatikana kwa katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025.
Utakaa sana hapo....
Mzee Butiku na Mzee Warioba ni wanachama tu wa CCM...
Mkuu, jengeni chama, mje na sera nzuri zinazogusa mahitaji yetu wananchi, tutawachagua na kuwapa ridhaa ya kuunda serikali ili mtekeleze sera zenu, ikiwemo hiyo katiba. Other than that, mnapiga porojo tu na kujaribu kumdistract rais ili asitekeleze mipango yake aliyoahidi kwa wananchi.Maccm hawana hati miliki ya Tanzania kuamua watakavyo wao kama vile nchi ni ya chama kimoja. Hii ni nchi ya mfumo wa vyama vingi na Katiba iliyopo ni ya mwaka 1977. Miaka 30 ya kusubiri katiba inayoendana na mfumo wa vyama vingi inatosha. Na ndiyo sababu Butiku na Warioba ambao waliwahi kushika nyadhifa za juu katika awamu mbali mbali za Serikali na pia walikuwemo kwenye Tume ya Warioba wanafagilia kupatikana kwa katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025.
Unadhani kutumia maneno makali ndiko kutawafanya muipate hiyo katiba mpya ?!!!Ilani ya maccm haiwazuii vyama vya upinzani na Watanzania kudai HAKI NA UHURU wa kuwa na chaguzi ambazo ni ni za HAKI na HURU. Acha kuifanya hiyo ilani ya maccm kama vile ni katiba ya nchi...
Hakika👍Mkuu, jengeni chama, mje na sera nzuri zinazogusa mahitaji yetu wananchi, tutawachagua na kuwapa ridhaa ya kuunda serikali ili mtekeleze sera zenu, ikiwemo hiyo katiba. Other than that, mnapiga porojo tu na kujaribu kumdistract rais ili asitekeleze mipango yake aliyoahidi kwa wananchi.
Hiyo pesa ya katiba iende kwenye ujenzi wa shule na uboreshaji wa barabara vijijini.
Unadhani kutumia maneno makali ndiko kutawafanya tuipate katiba mpya ?!!!
Katika uhitaji wa KATIBA MPYA unavitangulizaje vyama vya upinzani kabla ya WANANCHI?..
Unajisahaulisha wale vijana 4 waliokamatwa kwa kumuua kijana mwenzetu hayati Emmanuel Mlelwa mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoa wa Iringa?!!!!Maneno makali unayaona sana lakini UDHALIMU NA DHULUMA za yule dhalimu magufuli ulifumbia macho!!! Watanzania kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Tanzania...
Unajisahaulisha wale vijana 4 waliokamatwa kwa kumuua kijana mwenzetu hayati Emmanuel Mlelwa mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoa wa Iringa?!!...
Unajisahaulisha wale vijana 4 waliokamatwa kwa kumuua kijana mwenzetu hayati Emmanuel Mlelwa mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoa wa Iringa?...
Mama mwenyewe alikuwa namba 2 na anakiri Msuli wake ulikuwa mdogo. Sembuse AG mstaafu tena ni jaji tuHuyu nae muoga tu......
ilitakiwa aseme wakati mwenda zake yupo...
Na wanaoiogopa katiba mpya ni ccm.Na wanaccm wengine mnatapatapa tu kusubiri atakalo amua mwenyekiti wenu.wengi akili ni kindude hamuwezi kua na utashi wenu wenyewe kwa ajili ya maslahi ya nchi zaidi ya kusubiri atakaloamua mwenyekiti wenu.Kwahiyo hoja kama hii wewe tulia tu.Ilani ya uchaguzi ya CCM haina ajenda ya KATIBA MPYA....tutajichelewesha tu hapo [emoji1787][emoji1787]
Watu wanaotaka KATIBA MPYA kipindi hiki ni CHADEMA....si CCM..
Huyu nae muoga tu......
ilitakiwa aseme wakati mwenda zake yupo...
Unazungumzia ilani gani.ingekua hizo ilani mnazitekeleza kwa asilimia 100 toka mmeanza kuziandika na kuzipigia propaganda hii nchi isingekua hivi ilivyo leo.Utakaa sana hapo....
Mzee Butiku na Mzee Warioba ni wanachama tu wa CCM..
Mnabishana na huyu anayejichetua kusudi kuwakera.Achaneni naye.!Hizi akili zinatosha kuvukia daraja la waenda kwa miguu tu.
Wanaotaka KATIBA mpya ni viongozi wa CHADEMA....acha uzwazwa wewe....Wananchi tunataka katiba na asiwepo mtu wa kusema eti wananchi hawataki katiba.
Ili amcultivate au siyo!?Huyu nae muoga tu......
ilitakiwa aseme wakati mwenda zake yupo...