Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

Acha povu.
Ulitakiwa nawe upiganie katiba mpya kama kweli wewe ni mzalendo. Kitendo cha nyie ccm kuwaachia chadema mnaonekana nyie ni waganga njaa tu hamna lolote.
Na nyie ccm genge ndo akili mgando kabisa. kuna ccm wanauelewa mzuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Neno uzalendo huweza kuwa rahisi mno kulitoa na KUSHAMBULIA wengine.....

Hata wasio wazalendo hulitumia neno hilo.....

Uzalendo hauhusishi katiba mpya MNAYOITAKA ninyi wanasiasa wa CHADEMA.....

Katiba inahusisha zaidi ya UCHAGUZI MKUU NA IITWAYO TUME HURU YA UCHAGUZI......

#KaziIendelee
 
Hapana Jumbe
Mimi sitakuja kuwa mwanachama wa vyama vya siasa hata siku moja. Katiba mpya si kwaajili ya uchaguzi tu japo ni kipengele cha tume huru ya uchaguzi ndicho kinacho watoa macho sana chadema na ccm. Lakini ukiacha hicho kipengele ,je ni kweli huoni umuhimu wa kupata katiba mpya?

Binafsi sioni umuhimu wa KATIBA MPYA.....

Iliyopo INAJITOSHELEZA:

1) Kisiasa

2)Kiuchumi

3)Kijamii

Binafsi siamini katika maneno ya MAPOKEO kiholelaholela tu....

Binafsi ninaamini DEMOKRASIA haifanani kwa nchi zote.....

Sioni mapungufu YALIYOFURUTU ADA katika katiba tuliyonayo ...sioni kwa kweli.....
 
Asante,, siku nyingine"

Mkuu unaandika sana mwisho wa siku unaonekana mpumbavu

Sio kila kitu unajibu, uzi mzima kazi yako ni kujibu tu, Acha watu wajadili

Watu wanadai katiba baada ya JPM kuharibu nchi kwa kiburi na kutumia mamlaka vibaya ya Urais

Kuna siku atatokea Rais ambaye atafanya ngono hadharani bila kuhojiwa

Lengo la katiba ni kudhibiti watawala na watawaliwa kwa maslahi ya Taifa

Leo katiba imempa Rais mamlaka makubwa sana, Rais imefika sehemu the anaingilia kazi za Mahakama na Bunge na anajisifia Yeye ni mzizi uliojichimbia zaidi

CAG Prof Assad alipoomba nyaraka za ndege na SGR, Rais akavunja katiba kwa kumfukuza na kupeleka sheria haraka Bungeni kuwadhibiti wanaotaka kufungua kesi

Uchumi unakua kwa mujibu wa JPM kumbe BoT Governor hayupo huru kuongea ukweli anabanwa na aliyemteua

Haya yote ndio marekebisho watu wanataka

Story za ccm na chadema ni upumbavu wa hali ya juu, kabla ya CCM na Chadema kuna Raia wapo na watakuwepo
 
Kuna siku nilifuatilia kipindi cha Masoud Kipanya na yule Cheupe, walikua wanamuhoji Malisa jamaa aliongea vizuri sana, watu wengi wanashindwa kuelewa katiba mpya wale wa CCM wanahisi katiba mpya itawapa madaraka Chadema ndio maana hawaitaki, pia Chadema hawataki katiba ya zamani kwa vile wanahisi inawapa uwanja mpana sana CCM,

Kimsingi katiba ya zamani ina mapungufu mengi ambayo yanahitaji mabadiliko
 
Hawa ndio akina Kigwangala na akina Shaka. Hapa ni fake ID tu unaweza kuta huyu ni Polepole
 
Kuna siku nilifuatilia kipindi cha Masoud Kipanya na yule Cheupe, walikua wanamuhoji Malisa jamaa aliongea vizuri sana, watu wengi wanashindwa kuelewa katiba mpya wale wa CCM wanahisi katiba mpya itawapa madaraka Chadema ndio maana hawaitaki, pia Chadema hawataki katiba ya zamani kwa vile wanahisi inawapa uwanja mpana sana CCM,

Kimsingi katiba ya zamani ina mapungufu mengi ambayo yanahitaji mabadiliko
CCM ni sawa na Familia za Vijijini na Maskini. Ukiwaeleza kuhusu Mpango wa Uzazi hudhanu kuwa unawazuia wasito.....bane.

Wapinga hadi mshipa ya shingo inawatoka. Watasingizia mpaka vitabu vy Mungu huku wakiwa wana uwezi mdigo sana wa kuhandle hizo familia kubwa.
 
Neno uzalendo huweza kuwa rahisi mno kulitoa na KUSHAMBULIA wengine.....

Hata wasio wazalendo hulitumia neno hilo.....

Uzalendo hauhusishi katiba mpya MNAYOITAKA ninyi wanasiasa wa CHADEMA.....

Katiba inahusisha zaidi ya UCHAGUZI MKUU NA IITWAYO TUME HURU YA UCHAGUZI......

#KaziIendelee
Kwenye uchaguzi na tumr huru yanuchaguzi ndio kila kitu maana hapa ndio yunawapata watawala na wasimamia mali za umma.

Rudi shule tena we mchumia tumbo.

Sheria za nchi na wasimamizi wake wanapatikana kwenye uchaguzi.
 
Hapana Jumbe
Mimi sitakuja kuwa mwanachama wa vyama vya siasa hata siku moja. Katiba mpya si kwaajili ya uchaguzi tu japo ni kipengele cha tume huru ya uchaguzi ndicho kinacho watoa macho sana chadema na ccm. Lakini ukiacha hicho kipengele ,je ni kweli huoni umuhimu wa kupata katiba mpya?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Achana na huyo jamaa hajielewi.
 
Baadhi ya ccm wanataka katiba mpya maana ndo msingi wa kupata maendeleo ya haraka kabisa.
Ila baadhi ya ccm wanahofia kipengele cha tume huru ya uchaguzi, wanahofia kushindwa uchaguzi. Hawa ndiyo hawataki kusikia katiba mpya kwasababu ya kipengele kimoja tu!

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mambo yoote yako hapa😅😅
 
Kwenye uchaguzi na tumr huru yanuchaguzi ndio kila kitu maana hapa ndio yunawapata watawala na wasimamia mali za umma.

Rudi shule tena we mchumia tumbo.

Sheria za nchi na wasimamizi wake wanapatikana kwenye uchaguzi.
Simamia unalolitaka.....

Ila....

Katiba ya nchi inaongelea mawanda mapana mno zaidi ya SIASA NA CHAGUZI ZAKE.....

Wanasiasa ni kundi dogo mno.....

Wanasiasa wa CHADEMA wameamua kushikilia umuhimu wa KATIBA MPYA katika vipengele hivyo tajwa.....mbaya zaidi ni kuwa si hitaji la WATANZANIA WALIO WENGI.....

Ikumbukwe tume ya Jaji Warioba ilikusanya maoni ya watanzania wasiofika hata milioni 1 Kati ya watanzania zaidi ya milioni 55....hiyo legitimacy wanayotaka kuilazimisha CHADEMA inapenyea wapi ?!!!

Katiba iliyopo INAJITOSHELEZA MNO....
 
Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki
Hii mbinu alikuwa anaitumia sana JK, inasadikika alikuwa anapenyezea issues kwa Heavy
 
Back
Top Bottom