MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hivi mkuu ni lini utaacha upumbavu?Utakaa sana hapo....
Mzee Butiku na Mzee Warioba ni wanachama tu wa CCM....
Hawakushiriki kuiandaa ilani ya ya uchaguzi ya CCM.....
Si wajumbe wa NEC wala CC ya CCM......
KATIBA mpya ni takwa la wanasiasa tu......
Wananchi walio wengi Wala hawaihitaji hiyo KATIBA MPYA....
Maoni aliyoyakusanya Mzee WARIOBA hayafiki hata ELFU 10....Taifa letu lina raia milioni 60....
Kama unaongelea DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI usisahau kuwa kila nchi ina njia zake kuiendea hiyo demokrasia.....demokrasia ya US na nchi nyinginezo si demokrasia ya nchi za AFRIKA......
Tusubiri ilani mpya ya uchaguzi ya CCM...labda itataja suala la KATIBA MPYA.....
ENDELEENI KUUPOTEZA MUDA WENU
#KaziInaendelea
#UchumiKwanza