Jaji Werema: Dai la Katiba Mpya lisibezwe

Amejifunza sasa maana yeye mwenyewe hakuheshimu Katiba aliwaita binadamu tumbili
 
Katiba tuliyonayo HAIZUII DEMOKRASIA.....

Tatizo lililopo ni kuwa CHADEMA wanataka kutuletea DEMOKRASIA ya nchi NYINGINE......

Kila nchi ina haki kuitafsiri DEMOKRASIA inayotaka kuisimamia....

Katiba mpya si HITAJI LA WATANZANIA WALIO WENGI....
 
Nachelea kusema kuwa majibu mepesi kama haya kwenye hoja nzito kama hii ndiyo yanayowatia hasira wananchi na kupelekea kukichukia chama na hata viongozi wake.
Wana CCM tujitafakari ili huko mbele ya safari Chama chetu kiweze kushinda chaguzi kwa mapenzi ya wananchi na sio kwa nguvu ya dola na tume ya uchaguzi.
Haitoshi kusema tu kwamba swala la katiba mpya haliko kwenye ilani ya chama, hivyo halipaswi kuongelewa.
Pia hoja ya kwamba ujio wa katiba mpya utachelewesha maendeleo ya Watanzania haina mashiko.
Inawezekana kweli kwamba swala la kupatikana kwa katiba mpya iliyo bora sio jambo la kufumba na kufumbua likatokea, lakini ni lazima tunapojibu hoja nzito kama hizi, tujenge hoja za msingi na zenye mashiko ili wananchi watuelewe.
Maswali yanayoulizwa na wanaotaka katiba mpya ni pamoja na ni madhara gani yatakayolipata Taifa endapo katiba mpya itapatikana bado hatujayajibu kwa ufasaha.
Hoja hii ni nzito sio ya kuongea kama unapiga soga salon au kijiwe cha bangi.
TUJIREKEBISHE.
 
TiSS huyo yupo job hapo
 
Kama katiba tuliyonayo isingekuwa MADHUBUTI NA YENYE KUTOA MAJIBU CHANYA basi tusingevuka vyema kile kiunzi baada ya kufiwa na Rais wetu mpendwa. ...

Ni political will gani wanayoitaka CHADEMA?!!!

Serikali 3 ?!!!
 
KWA TAMAAA YA CHADEMA HIVI WAMESHAPATA MGOMBEA WA KITI CHA URAISI. MH. WEREMA. WEEEEEEE WEEEEE
 
You quote a wrong guy. Mimi na maccm mbali mbali.

 
I doubt. MaCCM (masilahi) kamwe hawawezi kukubali kwa maana wanafaidika na katiba mbovu iliyopo. Ni umma tu kuamuka na kudai katiba mpya kwa njia yeyote ile.
 
Jana niliweka uzi hapa nikasema huenda Mama swuala la Katiba analiunga mkono ila inabidi atumie watu nje ya chama chake kuliibua kwasababu wenzake ndani ya chama hawalitaki....
Kweli, hata hili la makam kuchukua nchi kama unaokota jiwe tuliangalie
 
πŸ˜‚
 
Kumbe katiba inakuja muda si mrefu. Sasa nisikie muuza chapati wa kule Mbagala Maji Matitu anapinga katiba mpya tena.

Werema alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali anataka katiba mpya. Wewe unayejifukiza unaanzaje kupinga??
 
Maoni aliyoyakusanya Mzee WARIOBA hayafiki hata ELFU 10. Taifa letu lina raia milioni 60.
Kitila mkumbo ambaye ni mwana CCM alishaandika paper kuhusu sampling na alisupport sample ya tume ya warioba kukusanya maoni. Hivi ukipima ukimwi unahitaji lita nzima ya damu??
 
Kumbe katiba inakuja muda si mrefu. Sasa nisikie muuza chapati wa kule Mbagala Maji Matitu anapinga katiba mpya tena.

Werema alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali anataka katiba mpya. Wewe unayejifukiza unaanzaje kupinga??
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Werema anatafuta nini huyu jamaa; alikuwa wapi miaka yote tangu amwite Mheshimwa kafulia kuwa ni tumbili miaka mingi iliyopta kutokana na kubwana kuhusu hela za Escrow? Rugemalira na Singh walikuwa wamepumzishwa yeye akaaamua kunyamaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…