mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Kuwa na uchumi nzuri sio kuwa kila mwananchi awe na hela nyingi mfukoni,kuna kuna kanuni na viashiria vingi vya kuonyesha uchumi kama wewe sio mtaalamu wa uchumi uwezi jua utabaki kubweka tu.Mk
Mkuu uchumi wa kati wakati Raia wanaishi maisha duni ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu. Ni heri tuwe katika uchumi wa JK lakini maisha yawe nafuu. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuna matatizo wakati yapo. Uchumi wa mtu mmoja mmoja uko worse uko mtaani sasa hivi watu hawajengi mijenho kama enzi za JK yaani kama ukishindwa kujenga enzi zile basi sahahu enzi hizi za Mchatonga
wewe unaangalia kutembea na maburungutu ya pesa mfukoni eti ndio uchumi nzuri,basi kama hivo Zimbabwe na Somaria zingelikuwa zinaongoza Afrika maana huko watu wanatembea na viroba vya pesa kufanya shopping 😁😁😄linganisha miundo mbinu wakati wa jk na Jpm, mpaka wanawake walikuwa wanakosa vitanda vya kujifungulia.
Mashuleni ndio usiseme watoto walikuwa wanakaa chini kwa kukosa madawati ilinchukua mwaka tu Jpm kumaliza matatizo hayo yote,rushwa enzi za Jk ndio usiseme mpaka sh yetu ilionekana takataka hadi kupata chumba maene ya Masaki na hosbei mpaka uwe na dollar,mishen town ndio walikuwa wanaela kuliko wafanya kazi nchi iligeuka ya madalali gafra.
Huu ndio uchumi halisi wa mtanzania asiye fanya kazi asile hata nyumbani kwako ata uwe na ela za kumwaga uwezi wapa watoto wote kisa niwanao utawapa wenye akili za kuweza kuzalisha.Ongera Jpm kututoa katika taifa la madalali na kutupereka kuwa taifa la wazalishaji.Mungu ibariki Tanzania