Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

Huyo jk mnayemsema leo ndo yule yule mliyemkataa au mwingine.
 
Nikiri hata mimi kweli alikuwa bomba sana, kila mtu alimwacha afanye anavyotaka, majambazi yaliba mchana kweupe, banki zilivamiwa hadharani na wazi, mafisadi yaligawana pesa kwa magunia, rushwa ilikuwa waziwazi na watumishi ilikuwa ni halali kuingia kazini akiwa kachelewa au haingii kabisa kazini
Ujambazi ulishamiri wakati wa Mkapa na IGP akiwa ni Mahita.Mzee wa Msoga alipoingia madarakani aliahidi kupambana na ujambazi.Ulikuwa ni mtandao uliosukwa wakishirikiana na baadhi ya polisi wa vyeo vya juu.JK akaunda "task force"(JWTZ,Polisi &TISS).Hali ikatulia.
 
Mkwere yule alikuwa anaroga sana, beberu, walikuwa wakija na rim pepa zinageuka dolari, mganga wake kiboko!

Zamani conference zina bajeti ya Tshirr na mabegi kwa washiriki, sasa hivi hata mbio za Mwengew sijui kama zina Tshirt kofia!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Lkn pia neno UFISADI lilikua maarufu sana enz hizo ........

Pia uchumi ulishuka sana
Mhhh, kwahiyo kwasasa uchumi huko poa? mimi na amini hakuna kipindi miji yetu imekua kwa haraka kama kipindi cha kikwete lakini awamu hii ni hatari.
NB. Nimetumia mfano huo kama ushahidi wangu.
 
Tueleze tofauti ya tija ya wakati hayo yanafanyika na sasa mnapojaribu kutuaminisha hayafanyiki! JK aliacha uchumi ukikua kwa kasi ya 6% hadi 7% na kuna mwaka ilifika 8%! Je, hivi sasa ukuaji wa uchumi upo vipi wakati tukifahamu fika hata miradi mikubwa inayofanyika ni ya kurithi.
Kama hoja ni takwimu,unajua kwa sasa tanzania iko uchumi wa Kati,na kwa takwimu za shilika la fedha duniani ilikuwa tuingie uchumi wa kati baada ya miaka mingapi?
 
ujenzi wa Airport Chato na Ununuzi wa ndege nani anajua pesa ngapi ilitumika?
Sawa ila si vitu vimeonekana inawezeka pesa imepingwa lakini vitu tumeviona

Kwa JK escrow, EPA, rushwa na kutowajibika kwenye ofisi za selikali, elimu mbaya (big result now na wanafunzi kukaa chini karibu shule zote za selikali mfano hapo dar wanafunzi walikuwa wanakaa chini), huduma za hospital mbaya, kuibiwa madini ndani yake unajuhisha mauaji ya wanawananchi wanaozunguka migodi mfano mdogo mauaji ya nyamongo n.k.

Wawekezaji walikuwa wana nguvu nyingi kuliko selikali mfano mashamba ya nafuko huku mbarali n.k.

Acha kumfananisha Magu na JK japo kuwa anapungufu yake
 
Kama hoja ni takwimu,unajua kwa sasa tanzania iko uchumi wa Kati,na kwa takwimu za shilika la fedha duniani ilikuwa tuingie uchumi wa kati baada ya miaka mingapi?
Kuna member hapa simkumbuki vizuri lakini alichambua vizuri sana jinsi tulivyoingia Uchumi wa kati. Katika maelezo yale nakumbuka alisema (kwa kutumia data) JK aliacha GNI ya $980, na katika miaka yake 5 ya kwanza alipandisha GNI kwa $220. Lakini wakati JK aliacha GNI ikiwa $980, alipoingia JPM, ndani ya miaka 4 akapandisha GNI kutoka $980 hadi $1080, yaani kwa $100 tu!!! Sasa angalia mwenyewe aliyepandisha GNI kwa $220 ndani ya miaka 5 na yule aliyepandisha GNI kwa $100 ndani ya miaka 4! Hivi unadhani kutatokea miracle ipi ndani ya mwaka 1 GNI ikapanda kwa $120 ili afikie kiwango cha wenzake?!

Pili, inaelekea sio mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kiuchumi. Hicho unachohoji "...na kwa takwimu za shilika la fedha duniani ilikuwa tuingie uchumi wa kati baada ya miaka mingapi?", hizo sio takwimu za IMF bali mwaka 2010, tulitengeneza Dira ya Maendeleo maarufu kama Tanzania Development Vision 2025. Kwenye Vision 2025 tulijiwekea malengo kwamba ifikapo mwaka 2025, tuwe tumefika uchumi wa kati kwa pato la wastani wa $3000. WB ilipotangaza tumefika uchumi wa kati, msiofuatilia haya mambo mkadanganywa kwamba tumefika uchumi wa kati kabla ya 2025, huku wakiacha kuwaambia ukweli kwamba malengo yetu hiyo 2025 tuwe na pato la wastani la $3000 na sio $1080. Sasa ni kivipi hapo mnatamba tumefika kabla ya wakati wakati hata nusu ya $3000 hatujafika?!!

Google mwenyewe "Tanzania Development Vision 2025" upate ukweli badala ya kutegema maelezo ya akina Humphrey Polepole yanayojaa uongo na propaganda! Soma hiyo DV 2025 uone kama inafana na hicho mlichodanganywa eti tumefika uchumi wa kati kabla ya wakati.
 
Mhhh, kwahiyo kwasasa uchumi huko poa? mimi na amini hakuna kipindi miji yetu imekua kwa haraka kama kipindi cha kikwete lakini awamu hii ni hatari.
NB. Nimetumia mfano huo kama ushahidi wangu.
Uko sahihi mkuu
 
Kuna member hapa simkumbuki vizuri lakini alichambua vizuri sana jinsi tulivyoingia Uchumi wa kati. Katika maelezo yale nakumbuka alisema (kwa kutumia data) JK aliacha GNI ya $980, na katika miaka yake 5 ya kwanza alipandisha GNI kwa $220. Lakini wakati JK aliacha GNI ikiwa $980, alipoingia JPM, ndani ya miaka 4 akapandisha GNI kutoka $980 hadi $1080, yaani kwa $100 tu!!! Sasa angalia mwenyewe aliyepandisha GNI kwa $220 ndani ya miaka 5 na yule aliyepandisha GNI kwa $100 ndani ya miaka 4! Hivi unadhani kutatokea miracle ipi ndani ya mwaka 1 GNI ikapanda kwa $120 ili afikie kiwango cha wenzake?!

Pili, inaelekea sio mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kiuchumi. Hicho unachohoji "...na kwa takwimu za shilika la fedha duniani ilikuwa tuingie uchumi wa kati baada ya miaka mingapi?", hizo sio takwimu za IMF bali mwaka 2010, tulitengeneza Dira ya Maendeleo maarufu kama Tanzania Development Vision 2025. Kwenye Vision 2025 tulijiwekea malengo kwamba ifikapo mwaka 2025, tuwe tumefika uchumi wa kati kwa pato la wastani wa $3000. WB ilipotangaza tumefika uchumi wa kati, msiofuatilia haya mambo mkadanganywa kwamba tumefika uchumi wa kati kabla ya 2025, huku wakiacha kuwaambia ukweli kwamba malengo yetu hiyo 2025 tuwe na pato la wastani la $3000 na sio $1080. Sasa ni kivipi hapo mnatamba tumefika kabla ya wakati wakati hata nusu ya $3000 hatujafika?!!

Google mwenyewe "Tanzania Development Vision 2025" upate ukweli badala ya kutegema maelezo ya akina Humphrey Polepole yanayojaa uongo na propaganda! Soma hiyo DV 2025 uone kama inafana na hicho mlichodanganywa eti tumefika uchumi wa kati kabla ya wakati.
Mkuu uchumi wa kati wakati Raia wanaishi maisha duni ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu. Ni heri tuwe katika uchumi wa JK lakini maisha yawe nafuu. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuna matatizo wakati yapo. Uchumi wa mtu mmoja mmoja uko worse uko mtaani sasa hivi watu hawajengi mijenho kama enzi za JK yaani kama ukishindwa kujenga enzi zile basi sahahu enzi hizi za Mchatonga
 
Sawa ila si vitu vimeonekana inawezeka pesa imepingwa lakini vitu tumeviona

Kwa JK escrow, EPA, rushwa na kutowajibika kwenye ofisi za selikali, elimu mbaya (big result now na wanafunzi kukaa chini karibu shule zote za selikali mfano hapo dar wanafunzi walikuwa wanakaa chini), huduma za hospital mbaya, kuibiwa madini ndani yake unajuhisha mauaji ya wanawananchi wanaozunguka migodi mfano mdogo mauaji ya nyamongo n.k
Wawekezaji walikuwa wana nguvu nyingi kuliko selikali mfano mashamba ya nafuko huku mbarali n.k
Acha kumfananisha Magu na JK japo kuwa anapungufu yake
Magufuli sio kiongozi ni mtawala siwezi kumfananisha na JK nitakuwa namkosea mzee wa msoga
 
Awe mtawala basi kama M.Gadafi (RIP) vingi avifanye kwa maslahi ya umma, ajabu huyu mtawala wenu anafanya kwa maslahi yake na chato. Hebu tutaje yaliyofanyika kwa maslahi ya umma ni yapi kwa huyu mzee mtawala?
 
Unajua hata watawala kuna aina zake kuna watawala wenye maono endelevu na kuna wale wana maono mafupi yasio na tija. Kama Gadafi alikuwa mtawala mwenye maono endelevu na hakuna wa kumfananisha nae katika hawa watawala uchwara wanaotumia kigezo cha kuwapigania masikini kumbe behind the scene ndio wanaowanyonya masikini
 
Mk
Mkuu uchumi wa kati wakati Raia wanaishi maisha duni ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu. Ni heri tuwe katika uchumi wa JK lakini maisha yawe nafuu. Hatuwezi kujidanganya kuwa hatuna matatizo wakati yapo. Uchumi wa mtu mmoja mmoja uko worse uko mtaani sasa hivi watu hawajengi mijenho kama enzi za JK yaani kama ukishindwa kujenga enzi zile basi sahahu enzi hizi za Mchatonga
Upo sahihi! Uchumi wa sasa ni uchumi wa kwenye vitabu lakini hau-reflect uhalisia. Tatizo watu wakiona sijui flyovers, sijui reli ndo wanadhani ndo uchumi wenyewe wakati wenzetu, hata hizo infrastructure wanaangalia sana ni namna gani zitaleta direct effect kwa mwananchi wa kawaida
 
Kuna member hapa simkumbuki vizuri lakini alichambua vizuri sana jinsi tulivyoingia Uchumi wa kati. Katika maelezo yale nakumbuka alisema (kwa kutumia data) JK aliacha GNI ya $980, na katika miaka yake 5 ya kwanza alipandisha GNI kwa $220. Lakini wakati JK aliacha GNI ikiwa $980, alipoingia JPM, ndani ya miaka 4 akapandisha GNI kutoka $980 hadi $1080, yaani kwa $100 tu!!! Sasa angalia mwenyewe aliyepandisha GNI kwa $220 ndani ya miaka 5 na yule aliyepandisha GNI kwa $100 ndani ya miaka 4! Hivi unadhani kutatokea miracle ipi ndani ya mwaka 1 GNI ikapanda kwa $120 ili afikie kiwango cha wenzake?!

Pili, inaelekea sio mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kiuchumi. Hicho unachohoji "...na kwa takwimu za shilika la fedha duniani ilikuwa tuingie uchumi wa kati baada ya miaka mingapi?", hizo sio takwimu za IMF bali mwaka 2010, tulitengeneza Dira ya Maendeleo maarufu kama Tanzania Development Vision 2025. Kwenye Vision 2025 tulijiwekea malengo kwamba ifikapo mwaka 2025, tuwe tumefika uchumi wa kati kwa pato la wastani wa $3000. WB ilipotangaza tumefika uchumi wa kati, msiofuatilia haya mambo mkadanganywa kwamba tumefika uchumi wa kati kabla ya 2025, huku wakiacha kuwaambia ukweli kwamba malengo yetu hiyo 2025 tuwe na pato la wastani la $3000 na sio $1080. Sasa ni kivipi hapo mnatamba tumefika kabla ya wakati wakati hata nusu ya $3000 hatujafika?!!

Google mwenyewe "Tanzania Development Vision 2025" upate ukweli badala ya kutegema maelezo ya akina Humphrey Polepole yanayojaa uongo na propaganda! Soma hiyo DV 2025 uone kama inafana na hicho mlichodanganywa eti tumefika uchumi wa kati kabla ya wakati.
Uchumi wa kati (wa chini) tuliingiwa mwaka jana. Wafuatiliaji wanadai ni juhudi za miongo miwili, Yaani miaka 20, ndio zimetufikisha hapo. Hivyo juhudi au mikakati ilianza na Mkapa. Wengine wanafaidi sifa tu!
 
Back
Top Bottom