Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Hakuna binadamu mkamilifu kila mmoja ana mabaya yake ila mzee Kikwete utawala wake ulikuwa vizuri sana kuzidi hawa waliofuata!
Ingekuwa katiba yetu ni kama kwa kina Trump basi huyu mzee angerudi kugombea hata bila kampeni angeshinda kwa kishindo bila hata kuiba kura kama wengine
 
Kubakwa ama kubaka humaanisha nini huwa nasikia demokrasia pia hubakwa
 
Hakika he is a man of people
 
Ni kweli mkuu, bungee kuwa huru ni sehemu ya democrasia
 
Kikwete huyu wa RICHMOND, DOWANS na ESCROW? Kikwete huyu wa Dr Ulimboka na Daud Mwangosi?

Demokrasia yake ilikusaidia kujua mazuri na madudu yake. Wengine hayo madudu yao wanayalinda kwa wivu mkubwa na ukijitia kukosoa hata wanavyotawala Unatekwa na kupotezwa Mazima!. Unajua alipo Ben Saanane na Soka?
 
Kweli kabisa
 
πŸ’―
 
Kabisa ndio ya kweli
 
Ukiachiwa kusema ila bila utekelezaji wa kinachosemwa ni yaleyale ni maigizo (kutumika kwa kodi za wananchi kwenye maigizo)

Si ndio huyu alisema Kelele za Chura hazimzuii Ng'ombe kunywa Maji ? Au watu kwenda Ikulu kupewa Juice na michakato isiyokwisha....

Labda useme alijua kula na Vipofu...,
 
Demokrasia yake ilikusaidia kujua mazuri na madudu yake. Wengine hayo madudu yao wanayalinda kwa wivu mkubwa na ukijitia kukosoa hata wanavyotawala Unatekwa na kupotezwa Mazima!. Unajua alipo Ben Saanane na Soka?
Mfano mzuri na WA karibu zaidi ni WA Mpina.....alipotaka kuibua madudu wakamfukuza na bungeni bila kujali na mbogamboga mwenzako.....ila Kwa JK aliruhusu mpk upinzani uibue madudu na yawekwe hadharani

Jamaa alikuwa mtu sana....haswa Kwa kubaliki na kutuachia wananchi tuwachague viongozi wetu wenyewe kuanzia ngazi ya Mitaa mpk uwakilishi bungeni
 
Yule ni dhaifu tu, kuna speech alikuwa anaongea eti wazungu wana pesa ukiongea nao vizuri wanakusaidia, sasa mtu kama huyo anafaa kuwa rais wa Tanzania kweli?
Ndio Rais pekee ambaye chadema walifanikiwa kupata viti vingi na kuunda kambi rasmi ya upinzani bila kushirikiana na chama chochote, baada ya kuondoka yeye chaguzi zilizofata kama ulivyosikia nchi nzima hata wabunge 5 wakateuliwa ni miujiza
 
Huyu si ndiye aliyeiba uchaguzi wa 2010 na 2015. Au ni mwingine....!?

Haya yote yanayoendelea sasa kwenye chaguzi zetu yameaasisiwa na JK.
 
He is a man of the people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…