Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Wewe endelea kubishana mitandaoni.

Ikiwa unakaa mitandaoni hauna Biashara kubwa , haujawahi kufanya Kazi na deep state

Utaendelea kubwabwaja hapa and I can't make argument with you anymore.

There's a lot of consumers in this platform .
We mwongo,chakubimbi
 
Katika hili la demokrasia kwa kiasi fulani ni Kweli Kikwete alijitahidi wananchi walichagua na kupewa walichokichagua hawa kulazimishwa kuongozwa na watu ambao hawakuwachagua, wasimamizi wa kura hawakuingia na kura fake zilizoichagua CCM na kuzijaza kwenye masanduku ya kura.

Ni Kikwete huyuhuyu aliwapatia wazanzibar katiba mpya,ni Kikwete huyuhuyu alitaka kutupatia katiba mpya na kuwaambia wanaccm wenzake kuwa wajiandae kisaikolojia kupokea serekali 3 manyang'au waliposikia mabadiliko yanakuja wakaharibu mchakato wote wa mabadiliko.

Kikwete atakumbukwa kwa kujitahidi kukuza demokrasia kama ambavyo Magufuli na Samia watakumbukwa kwa ubabe,utekaji,mauaji,kwa kuminya demokrasia na kusigina katiba.
 
Uache uzushi na uwongo,chuki haikufikishi popote,ndiyo nyinyi wale eti gas imeuzwa kwa wachina Ili ridhwan asiuawe baada ya kukamatwa na ngada china,yaani ridhwan don ahangaike na mzigo wa ngada badala ya kutumia punda!?
We unaongea habari za vijiweni sasa
 
Huyu aliyeanzisha mchakato wa katiba mpya halafu kwa unafiki akarudi kuuvuruga mwenyewe hadi leo tumebaki na katiba ya kidikteta? Nature haitamuhurumia kamwe na vifo vinavoyoendelea vya kisiasa atadaiwa hizi damu!
 
Huyu lakini ameonyesha kuthubutu, juu ya katiba, democrasia je hao wengine wamefanya nn zaidi ya kia watu na kuteka
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Unajua maana ya demokrasia wewe? Nitakubali kuwa alikuwa na nafuu lakini hakuwa mwanademokrasia hata kidogo.
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kikwete alifanya yote lakini alikosea kitu kidogo sana, angeipa nchi katiba mpya, yale yalikua mahitaji ya wakati na nyakati.
 
Kikwete alifanya yote lakini alikosea kitu kidogo sana, angeipa nchi katiba mpya, yale yalikua mahitaji ya wakati na nyakati.
Ni kweli kabisa mkuu, waccm walafi wa madaraka, walimpika pini
 
Back
Top Bottom