Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania .
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- watu wali mtukana ,hakuwazuru
-watu walikuwa huru kutoa maoni yao
-vyombo vya habari vilikuwa huru
- uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
-watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
-wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Aah wapi ndio alimpiga Ulimboka.

Ametuletea Magu
 
Kama alidhamiria kudhurumu uhai wa mtu anaepigania haki kwa amani, si muumini wa demokrasia
Hiyo ilikuwa peration, hata ingekuwa ww ungefanya kama alivyofanya
 
Familia huyo jamaa ndo imeshikilia uchumi asilimia 70%

Sita disclose Ila elewa hilo
 
Jakaya Kikwete hazeeki haraka kwasababu hana kinyongo na mtu, hana roho ya kukunja wala uonevu.

Mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu ili ibaki kuwa hazina kwa watoto wetu tuwaonyeshe wamuone akiwa hai.

Wewe hujui kitu, nenda U.A.E uone, wale hawana zoo ile ni total safari park. Ni mpya kabisa na wanyama wamejaa, sasa uliza wamewatoa wapi?
 
Watu kama huyu mleta hii mada ndio wanaichelewesha Afrika, ukweli usemwe
Kuchelewesha kivip mkuu, kumsia mtu kwa mazuri aliyofanya ? Nikuichlewesha how
 
Back
Top Bottom