Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

 
Haya mengine itakuwa ni ushirikina yanaonekani gizani, mm nasema niliyoyaona nakushudia

Ndo maana tumekuambia mambo mengi hauyajui .

The leaked information -alikuwa anaziruhusu yeye

Hiyo demkrasia alikuwa anaruhusu yeye

This man alikuwa anatumia mbinu za kuwapoza wapinzani ili yeye afanikishe malengo yake.

Ndo maana he hold 70% of Tanzania economics.

What you see is limitation of your view

Kupewa ubunge
Kupewa udiwani
Kupewa uenyekiti wa mtaa

All these stuffs , ilipangwa iwe hivi

In Tz there's no any democracy and it was never been democracy.

Only low thinkers can believe in this damn

Mauaji -hapa sitaongelea Sana Ila watu they know deeply about this shit .

Kuua wapinzani
Kuua wakosoaji
Kuteka

Hii imeanza way back -Ila unachokiona at this moment ni ile watu kuwa na access ya taarifa . hasa digital platform.
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Unamfahamu mwanahabari Daudi Mwangosi?
Tuanzie hapo
 
Ndo maana tumekuambia mambo mengi hauyajui .

The leaked information -alikuwa anaziruhusu yeye

Hiyo demkrasia alikuwa anaruhusu yeye

This man alikuwa anatumia mbinu za kuwapoza wapinzani ili yeye afanikishe malengo yake.

Ndo maana he hold 70% of Tanzania economics.

What you see is limitation of your view

Kupewa ubunge
Kupewa udiwani
Kupewa uenyekiti wa mtaa

All these stuffs , ilipangwa iwe hivi

In Tz there's no any democracy it was never been democracy.

Only low thinkers can believe in this damn
Kumbe anakili sana ya kimocrasia kama aliweza kukaa meza moja wapinzani wanakubaliana tufanye hivi na vile, BAdo ww ni kipofu kuwa hiyo ni democrasia, BAdo umakaza fuvu
 
Wewe ni consumers wa taarifa Ila sio MTU mwenye taarifa .

Hivyo utaishia kusifu sifu watu ambao hata hauwajui kiundani .

In short hao viongozi hakuna mwenye nafuu .

Kinachokufanya unasifu ni kuwa you are not a victim wa matukio mabaya that is way you can speak and write anything damn without any validation
 
I remember mwaka way back kulikuwa na hizi tabia za kuteka watu na kupotezwa .

Ila kulikuwa hamna access ya Ku-transfer information kama sasa

Wakisema familia zilipotelewa na wapendwa au ambazo ndugu walikuwa wamechukuliwa ni nyingi Sana and you can't even count .
Jakaya kaondoka ikulu 2015, internet kila kona
 
Uwongo,uchumi wa tz ni kiasi gani Ili tuone hiyo 70% unayodai kama ni uhalisia au fix-chuki

Wewe endelea kubishana mitandaoni.

Ikiwa unakaa mitandaoni hauna Biashara kubwa , haujawahi kufanya Kazi na deep state

Utaendelea kubwabwaja hapa and I can't make argument with you anymore.

There's a lot of consumers in this platform .
 
Back
Top Bottom