Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Kaka unambishia yeye mwenyewe JK ? Yaan kauli katoa yeye unakuja kukanusha, unahisi yeye hapajui Nachingwea? Mtu kasema Masasi unakuja kutema shudu hapa

Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
 
Wewe ni Jakaya Kikwete? Ni mke wake? na una undugu nae? Au umegeuka kuwa katibu wake?

Acheni uchawa kwenye mambo yanayotumia teknolojia

Usiandike maneno ambayo hajayatamka leo hapo mikocheni kwa hayati mwinyi,Ametamka masasi wewe unakuja na ndoto zako za Nachingwea

Msipende kuwalisha maneno viongozi kwa mambo ambayo hawajayatamka

Leo ameongea akiwa mikocheni kuwa alikuwa katibu wa ccm masasi wewe unakuja na story za kukutana na Salma Rashid huko nachingwea

Kabla ya kujibu jaribu kupitia video za leo mikocheni ,Usipende kukurupuka

Naomba nikujibu kwa hoja hii! Nikitoka job,nina muda mzuri sana wakucheza na wewe!

Maana naona badala yakujibu hoja,umekuja na upuuzi wakiwango cha lami!
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Jakaya ana historia ndefu!
 
Wewe ni Jakaya Kikwete? Ni mke wake? na una undugu nae? Au umegeuka kuwa katibu wake?

Acheni uchawa kwenye mambo yanayotumia teknolojia

Usiandike maneno ambayo hajayatamka leo hapo mikocheni kwa hayati mwinyi,Ametamka masasi wewe unakuja na ndoto zako za Nachingwea

Msipende kuwalisha maneno viongozi kwa mambo ambayo hawajayatamka

Leo ameongea akiwa mikocheni kuwa alikuwa katibu wa ccm masasi wewe unakuja na story za kukutana na Salma Rashid huko nachingwea

Kabla ya kujibu jaribu kupitia video za leo mikocheni ,Usipende kukurupuka
Niletee orodha ya makatibu wa CCM Wilaya ya Masasi,nitakuletea orodha ya Matibu wa CCM pia Wilaya ya Nachingwea, tuone kama Jina la Kikwete lipo Masasi au Nachingwea!
 
Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??

Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
Umekurupuka ndg, mimi unayenitukana wala sihusiki katika ubishi huo. Mi nilikuwa namjibu mtu mmoja hapo juu aliyebeza kuwa kikwete ni nani katika nchi hii. Nimekusamehe hata hivyo, hv ni novel gani vile umechukua hayo maneno ya kiingereza?!! Beautyful ones are not yet born ee?!!
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Mwinyi alitukosea Sana sana kutulelea mwizi wa mali za Uma, Maana matatizo ya mikataba mibovu na utendaji mbovu vingi vilianzia kwa Mkapa na Kikwete, Matatizo ya nchi hii ya ufisadi mkubwa chanzo ni Kikwete Cop ,by Slaa voice.
 
Kikwete naye hana shida na mtu kama mzee wake Mwinyi.
Mengine maneno tu hata panya anaweza kuongea
 
Umekurupuka ndg, mimi unayenitukana wala sihusiki katika ubishi huo. Mi nilikuwa namjibu mtu mmoja hapo juu aliyebeza kuwa kikwete ni nani katika nchi hii. Nimekusamehe hata hivyo, hv ni novel gani vile umechukua hayo maneno ya kiingereza?!! Beautyful ones are not yet born ee?!!
Nisamehe bure kaka! Naomba nifute hii comment
 
Back
Top Bottom