Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Amekufa Mwinyi anajadiliwa JK.
Alikufa El alijadiliwa JK.
Alikufa JPM alijadiliwa JK.
Alikuwa BWM alijadiliwa JK.
Alikufa BCM alijadiliwa JK.

Kila Msiba lazima JK ajadiliwe, shida ikowapi?.

Tujikite kuwaombea wazee wetu hawa Marais na wazee wetu pia ikiwa pamoja na kuwaombea Msamaha InshaAllah mbele za Mwenyezi Mungu.

Akifa Baba yako ukawa na uchungu na ukamuombea Kheri basi ufanye hivyo hivyo Kwa baba za wenzio na wote tukifanya hivi basi tunaweza kuwa wenye kubarikiwa, TUACHE NONGWA KWENYE MISIBA NA KUJADILI WATU.
 
Mpaka Nyerere anastaafu urais 1985 Kikwete was a nobody kwenye chama au serikali.

Tulikuwa tunawajua kina Salim, Makweta, Makinda, Mkapa, Chiduo, Machunda etc. Nje ya waliosoma naye na kufuatilia DARUSO na habari za siasa za chama waliofuatilia makamisaa wa chama jeshini, not only Nyerere, but also the general public did not know Kikwete.

Kikwete kaanza kujulikana kwenye siasa za kitaifa wakati wa Mwinyi.

Kipindi cha Nyerere mimi nilikuwa na kidaftari, nilikuwa naandika mawaziri na manaibu waziri wote, nilikuwa natatizwa sana na wazo la kwamba Nyerere akifa katika hawa waliobaki wote hakuna Nyerere mwingine. Nikasema tukiwa wakubwa viongozi watakuwa dhaifu sana. Hapo mtoto wa darasa la nne.

Na utabiri wangu umetimia.
Kaka shida ni kwamba huenda Nyerere hakuandaa wenzake, au hakuweka mfumo wakuandaa wengine au hakuweka Sheria Kali zakuwafanya wengine wawajibike
 
Kaka shida ni kwamba huenda Nyerere hakuandaa wenzake, au hakuweka mfumo wakuandaa wengine au hakuweka Sheria Kali zakuwafanya wengine wawajibike
Mkuu,

Tatizo ni kwamba, Watanzania hawana consistency wanataka nini.

Siko hapa kumtetea Nyerere, ana mapungufu yake, mengi. Mengi tumeyaongea hata kwenye thread ya kuangalia kama Nyerere alikuwa mkoloni nimetaja mazuri na mabaya yake, wiki ya jana tu hapo, napenda kuangakia ideas kuliko watu.

Ila, kwa sababu umemtaja Nyerere, naweza kumzungumzia kimuktadha, naweza kusema mara nyingine tunamuonea.

Nyerere analaumiwa kwa kufanya jambo, na hapo hapo analaumiwa kwa kutofanya jambo hilo hilo. Lawama hizi zinatuonesha sisi Watanzania tulivyo walalamishi kuliko mapungufu ya Nyerere.

Kwa mfano, kwenye hilo la kuandaa wenzake na kuweka mfumo wa kuandaa wengine, grooming, Nyerere alijitahidi sana kuwaandaa kina Salim Ahmed Salim nankina Mkapa toka wadogo. Salim aliandaliwa kimataifa. Bado kidogo awe Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kama si inda ya Wamarekani.

Na huyo ndiye Nyerere alimtaka awe rais. Lakini Wazanzibari wakaleta figusu zao, wakamkataa, wakasema huyu muarabu, huyu Hizbu. Hakupita.

Nyerere akaachia demokrasia ichukue mkondo wake, akawa mdogo. Akakubali matokeo licha ya mgombea aliyemtaka kutofanikiwa. Hapo utamlaumu kwamba hakuandaa watu?

Na angetaka kulazimisha mgombea wake apite, hapo napo mngemlaumu. Nyerere katumia nguvu kupitisha mgombea wake, licha ya Wazanzibari kumkatalia, Wazanzibari wanaburuzwa na Nyerere, Nyerere hafuati demokrasia.

Unaona dilemma ya kuwa Nyerere Tanzania?

Unalaumiwa kwa maamuzi yoyote yale utakayochukua.
 
Na ulipotuokota ( ulipotudanganya ) Wasikilizaji na Watazamaji ni pale uliposema kuwa Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi alikuambia kwa Kiingereza kuwa.... You're young, bright and I know you can make it....katika Nafasi za Uteuzi wa Wizara ikiwemo ya Fedha.

GENTAMYCINE nakukatalia kwakuwa Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ( na hata Watu wake wa karibu Wamenithibitishia ) kuwa alikuwa hakizungumzi Kiingereza japo alikuwa akikijua kwa Wastani na kwamba hakukutamkia hayo kwa Kiingereza ila Wewe kwa kutaka tu Sifa zako umeamua kutembea nayo kama sehemu yako Tukuka ya kupenda Kujipakulia Minyama ( Kujisifu ) Kutwa tu japo Umeshastaafu.
 
Afe tu nayeye tuanze upya,
 
Ila sijui ni kwanini wa Hayati Magufuli alikuwa anaongea Kiuwoga, Kimaumivu ya Moyo na alikuwa Akijishtukia mno.
Ushawahi kukamatwa ukitoka kuiba nyama jikoni ulipokuwa mtoto??
Hata bila ya kuwa na ithibati ya nyama uliyoiba ongea yako tu ilikuwa inafanya bi. mkubwa ajue kuwa umeiba nyama.

Halkadhalika na Bw. Mkubwa, nafsi ilikuwa inamsuta hata kama ulimwengu haukuwa ni ithibati yeyote dhidi yake.
 
Ni kawaida ya mtu mnafiki na mwenye ghilba daima kupenda kuonekana ni mwema zaidi na anapendwa zaidi.

Ila kwa Kikwete hampati mtu tena. Ulimwengu wote unamjua wa unafiki wake.
GENTAMYCINE nikikutana na Intelligent JamiiForums Members kama Wewe huwa nasikia Furaha mno kwani Mijuha ( Lumpens ) ndiyo Imetamalaki Kutwa hapa.
 
Back
Top Bottom