Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.
Hawamjui huyu jamaa kuwa ndio kailostisha bongo. Kila mradi anautaka. Motto wake wazir,na mbunge, mke mbunge. Kuna mengi sana ambayo sio mazuri ya huyu jamaa.
 
Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.
Kuna busta wasipokua nazo jamaa wa upande wa bahari hawajiamini kabisa, ukidhibiti vidude anavyotupiwa Mayele na yanga wengi weupe confidence 0
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Kumbe ukiwa kijijini kutoboa ni kazi sn
 
Hapo kwenye kuwa bright nakataa kwani 99% ya aliosoma nao hasa Chuo Kikuu wanasema alikuwa Mchovu kama akina Fred Michael na Papa Job wa Simba SC.

Ushawahi kukamatwa ukitoka kuiba nyama jikoni ulipokuwa mtoto??
Hata bila ya kuwa na ithibati ya nyama uliyoiba ongea yako tu ilikuwa inafanya bi. mkubwa ajue kuwa umeiba nyama.

Halkadhalika na Bw. Mkubwa, nafsi ilikuwa inamsuta hata kama ulimwengu haukuwa ni ithibati yeyote dhidi yake.

GENTAMYCINE nikikutana na Intelligent JamiiForums Members kama Wewe huwa nasikia Furaha mno kwani Mijuha ( Lumpens ) ndiyo Imetamalaki Kutwa hapa.

Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.

Jiwe alikua ni Jiwe ,,,kanda ya ziwa haijawahi kutoa rais kimeo
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza......lala tu bwana mdogo.
Hawamjui huyu jamaa kuwa ndio kailostisha bongo. Kila mradi anautaka. Motto wake wazir,na mbunge, mke mbunge. Kuna mengi sana ambayo sio mazuri ya huyu jamaa.
Haters wa JK kazi mnayo; mtamzushia na mtasema kila kitu ila jamaa, kwa uwezo wa Mungu, mtamuona anadunda tu mamamamamamae zenu.
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari

Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's

Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri

Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa

Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Mwinyi sidhani kama angeweza msingizia kikwete maneno ya namna hiyo..... Sidhani.
 
JK anazeeka vibaya yeye alikuwa katibu wa ccm wilaya ya nachingwea na sio masasi na ndiko alikutana na salma wakati akisoma chuo cha ualimu ttc
 
Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
Hakumtoa Nachingwea, alimteua akiwa katibu wa ccm wilaya ya Masasi. Ifatilie hata hotuba ya JK kwenye mazishi ya mkapa pale Lupaso utasikia mwenye akisimulia hilo.
 
JK anazeeka vibaya yeye alikuwa katibu wa ccm wilaya ya nachingwea na sio masasi na ndiko alikutana na salma wakati akisoma chuo cha ualimu ttc
Ni kweli aliwahi kiwa katibu wa ccm Nachingwea. Na ni kweli ni Nachingwea ambako alikutana na mama Salma. Lakini alihamishwa Nachingwea na kuhamia Masasi. Na uteuzi aliupata akiwa Masasi mkuu. JK hajakosea hapo.
 
Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??

Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
Hamna haja ya kutukanana. JK amefanya kazi Masasi ambako alihamia kutokea Nachingwea. Na aliteuliwa kuwa mbunge akiwa katibu wa CCM wa wilaya ua Masasi mbona hilo liko wazi mkuu!!
 
Bora angeachwa tuu maana aliidhoofisha nchi sana alafu akalegea akatuletea kamgaidi kumrithi...
 
Mpaka Nyerere anastaafu urais 1985 Kikwete was a nobody kwenye chama au serikali.

Tulikuwa tunawajua kina Salim, Makweta, Makinda, Mkapa, Chiduo, Machunda etc. Nje ya waliosoma naye na kufuatilia DARUSO na habari za siasa za chama waliofuatilia makamisaa wa chama jeshini, not only Nyerere, but also the general public did not know Kikwete.

Kikwete kaanza kujulikana kwenye siasa za kitaifa wakati wa Mwinyi.

Kipindi cha Nyerere mimi nilikuwa na kidaftari, nilikuwa naandika mawaziri na manaibu waziri wote, nilikuwa natatizwa sana na wazo la kwamba Nyerere akifa katika hawa waliobaki wote hakuna Nyerere mwingine. Nikasema tukiwa wakubwa viongozi watakuwa dhaifu sana. Hapo mtoto wa darasa la nne.

Na utabiri wangu umetimia.
Kazi kweli kweli !!
 
Back
Top Bottom