Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

Kaka unambishia yeye mwenyewe JK ? Yaan kauli katoa yeye unakuja kukanusha, unahisi yeye hapajui Nachingwea? Mtu kasema Masasi unakuja kutema shudu hapa

Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
 
Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?

Naomba nikujibu kwa hoja hii! Nikitoka job,nina muda mzuri sana wakucheza na wewe!

Maana naona badala yakujibu hoja,umekuja na upuuzi wakiwango cha lami!
 
Jakaya ana historia ndefu!
 
Niletee orodha ya makatibu wa CCM Wilaya ya Masasi,nitakuletea orodha ya Matibu wa CCM pia Wilaya ya Nachingwea, tuone kama Jina la Kikwete lipo Masasi au Nachingwea!
 
Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??

Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
Umekurupuka ndg, mimi unayenitukana wala sihusiki katika ubishi huo. Mi nilikuwa namjibu mtu mmoja hapo juu aliyebeza kuwa kikwete ni nani katika nchi hii. Nimekusamehe hata hivyo, hv ni novel gani vile umechukua hayo maneno ya kiingereza?!! Beautyful ones are not yet born ee?!!
 
Mwinyi alitukosea Sana sana kutulelea mwizi wa mali za Uma, Maana matatizo ya mikataba mibovu na utendaji mbovu vingi vilianzia kwa Mkapa na Kikwete, Matatizo ya nchi hii ya ufisadi mkubwa chanzo ni Kikwete Cop ,by Slaa voice.
 
Kikwete naye hana shida na mtu kama mzee wake Mwinyi.
Mengine maneno tu hata panya anaweza kuongea
 
Nisamehe bure kaka! Naomba nifute hii comment
 
Kaka unambishia yeye mwenyewe JK ? Yaan kauli katoa yeye unakuja kukanusha, unahisi yeye hapajui Nachingwea? Mtu kasema Masasi unakuja kutema shudu hapa
Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??

Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…