JK ndie alie upload jina la Lowassa kwny website ya Chadema kama fisadi Papa?Jk ndiye aliyemleta Mwakyembe 'kumlima' Lowassa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK ndie alie upload jina la Lowassa kwny website ya Chadema kama fisadi Papa?Jk ndiye aliyemleta Mwakyembe 'kumlima' Lowassa.
Nyie si ndio mlisema hana ubavu wa kumkata ?Yaleyale ya Chato 2021!!! Mnafiki sana huyu jamaa, na kama atawaachia watoto hiyo tabia basi ni hasara kubwa kwa kizazi chake, alimtosa mwenzake kwenye Richmond haikutosha akamtosa kwenye uchaguzi mkuu 2015 leo anasema alikuwa rafiki yake
Ngumu kujua, huenda tungekuwa vizuri pia.ila mzee aisee ana moyo. ningekuwa mimi hata kuongea nisingeongea. tuwe wakweli. lowasa alipiga sana kampeni mzee awe rais, ila sikuile alipoachia ngazi imeweka picha kubwa sana. sitaki kuendelea kusema, ila nimalize kwa kusema pengine ulikuwa mpango wa Mungu manake tungetawaliwa na lowasa leo hii aisee tungekuwa tumeibiwa pesa hadi nchi ingekuwa masikini kuliko ilivyo. thanks JK.
Nyerere ndio wa kwanza kukataa Edward asiwe RaisHuyu atukakuja kufa kifo kibaya kwasababu ya unafiki na tabia za kiswahili na wivu..hakutaka mwenzake awe rais
Acheni nongwaHaka kazee katakuwa kana wanga, sio kwa usani huu, kamtosa uwaziri mkuu, kaja kamchinja 2015.
Na ukiangalia ile kashfa hakuna mahali ambapo kamati ya bunge ilimlazimisha ajiuzulu.
Alihamaki kwa kuwa kamati ya Bunge hakumuhoji.
Jiulize kama kamati haikuona haja ya kumhoji nani aliyemlazimisha kujiuzulu?
Marehemu hakuwa na kifua cha kukabili mikiki mikiki ya kisiasa.
Angetulia aone rais atachukua hatua gani dhidi yake.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Nikadhani mafisadi wao wanaweza kukata rufaa ya..... kumbe wote tutashiriki hiyo kutu eeh!
Basi tuweni wema basi tutendeane mema tu na kuridhika na alichotupa Mungu kwa uwezo wetu
Huyu atukakuja kufa kifo kibaya kwasababu ya unafiki na tabia za kiswahili na wivu..hakutaka mwenzake awe rais
Issue ilianza alipopata uwaziri mkuu ndio mtifuano ulipoanza , hadi akatolewa kwa richmondKumtoaje tena? Kikwete alishamaliza 10 yake mkuu.
JK Mungu anakuona walahiRais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Acha nyege. Sijamsema marehemu. Nawasema nyie mnaowashwa kumtetea Lowasa, kwani waliochukua fomu si walikuwa 40? Na alikuwa anatakiwa achaguliwe mmoja? Asa kwanini mnalazimisha awe lazima Lowasa? Hii nchi sio mali ya mtu binafsi. Ndio siasa ilivyo. Nashangaa Lowasa mwenyewe hakuumia kama nyie mnavyoumia kwa niaba yake. Tulieni. Ndio siasa ilivyo. Deal with itUnamsema mtu ambae hawezi kukujibu? Hii mada kaleta marehemu?
Una ugonjwa wa akili?
Hako kazee kana roho mbaya, shetani mwenyewe anakashangaa.Pengine ni kweli lakini kwanini aseme sasa na si wakati Wote EL akiwa Hai.. Moyo wa mtu ni kiza kinene sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe alikwambia nini? JK amekwambia nini?Ndio Marehemu alivyokwambia??
RubbishBinadamu gani Duniani kapata mafanikio ya kisiasa kama ya Jakaya akakwepa chuki za watu kama wewe ?
Linafiki hili, lina roho ya kichawi sana.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Sura tu inakupa jibu shida apatayo kuieleza hii kituRais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).