Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Mahakama Mbona haikumtia hatiani kama alikuwa Mwizi? Uliibiwa nini?
 
Q

Una akili za kitoto sana. Viongozi wengi wa Tanzania ni washikaji, watoto, ndugu wa viongozi wa zamani Nape, Makamba, Mhagama, Ridhwani na wengine. Mimi sipendi huo ujinga, ila usaliti ni usaliti. Uwe kwa uhuru na Ruto au JK na lowassa.
Hao uliowataji ni yupi aliyerithishwa urais?

Tumia akili angalau kidogo.
Lowassa alipokosa uteuzi wa CCM alipata uteuzi wa Chadema amefanya maajabu gani?
Au ulitaka aibe zile kura za Magufuli amjazie rafiki yake?
Kwa taarifa yako kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Kikwete alikuwa na marafiki wengi.

Kaangalie ile hotuba aliyotoa msibani.
Hata Samuel Sitta alikuwa rafiki yake alimsaidiaje ili ashinde? Ulimsikia Sitta au wafuasi wake wanalalamika?

Utoto unakusumbua.
Tatizo mmejaa maneno mengi ya kipuuzi lakini hampigi kura.
Lowassa aligombea kwa tiketi ya CHADEMA mbona hukumpigia kura?
 
Chadema walipata kura milioni sita. Wabunge kibao. Impacy yake iko kwenye elimu, maji, kumsaidia Kikwete kuwa Rais.

Baadaye nyie familia yenu mkamtekeleza mtu aliyewapigania. Uaminifu, urafiki uko wapi?
 
Kazi yako ni kumtetea JK aliifikisha nchi pabaya. Madawa ya kulevya, rushwa, maji, umeme, vyote vilikuwa changamoto JPM akaoa jahazi.
Simamia hoja, Kama utawala wa Kikwete ulikuwa unatumiwa wauza unga hiyo ni hoja nyingine.
Lete andiko linalohusu hoja hiyo, tutalijadili.
Kwa sasa hoja ni ile hotuba aliyotoa msibani.
 
kwa nini mtu asiye mwajiriwa wa serikali awe msemaji wa serikali ?
Sijui uelewa wako kwenye mambo haya .
Tangu msiba huu mkubwa umetokea watu mbalimbali ambao walikuwa karibu na marehemu kwa namna moja au nyingine wanahojiwa.

Hata watoto wanaosoma shule za kata wanahojiwa waseme chochote.
Sasa iweje mtu ambaye amefanya naye kazi kwa ukaribu anyamaze ati kwa kuwa wewe memba wa Jf hutaki kumsikia!?

Kama hupendi kumsikia furani kaa kimya.
Kujaribu kumnyamzisha ni udikteta, udikteta ni kinyume cha Katiba.
Maana kila mtu ana haki ya kusema anachotaka ili mradi asivunje sheria.
 
Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Unafiki unawasumbua hao
 
Sijui uelewa wako kwenye mambo haya .
Tangu msiba huu mkubwa umetokea watu mbalimbali ambao walikuwa karibu na marehemu kwa namna moja au nyingine wanahojiwa.

Hata watoto wanaosoma shule za kata wanahojiwa waseme chochote.
Sasa iweje mtu ambaye amefanya naye kazi kwa ukaribu anyamaze ati kwa kuwa wewe memba wa Jf hutaki kumsikia!?

Kama hupendi kumsikia furani kaa kimya.
Kujaribu kumnyamzisha ni udikteta, udikteta ni kinyume cha Katiba.
Maana kila mtu ana haki ya kusema anachotaka ili mradi asivunje sheria.

ndio maana nikasema angeweza kukaa kimya pia siyo lazima kuongea kila mahali kwani chochote ambacho angekisema ni devisive, wakati mwingine ni busara kukaa kimya toa pole na mambo ya hotuba waachie wengine wenye sifa nzuri kwa marehemu, lkn ni jinsi nionavyo mimi, nimeona misiba mingi duniani ya wanasiasa na watu maarufu wanaoongea ni wanafamilia au watu maalumu waliolikwa na familia na kuombwa kuongea, lkn hii ni bongo misiba ni sehemu ya kuonekana pia, tena na tabasamu juu …
 
JK anamjua EL kuliko Mimi na wewe tunavyomjua, EL Marehemu inawezekana alimjua JK kuliko Mimi na wewe tunavyomjua pia.

Kwanini walikosana, JK na EL wenyewe ndio wanajua ni kwanini, mengine ni umbeya Tu.

Unaweza kumuona JK ni mkosaji kumbe EL inawezekana ndio alikuwa mkosaji au kinyume chake pia.
Tatizo hawajui kuwa shilling ina pande mbili
 
Viongozi wengi wa upinzani hapa nchini wamesapotiwa sana na Jakaya ,kuna jamaa mmoja wa upinzani kurudi nchini kwanza alimpigia simu Jakaya ili aongee na Mh Rais Samia lkn leo wafuasi wao wanamshambulia Jakaya anyway ndio unafiki wenyewe huo
 
Hivi nyie mnaongea nini? Sasa Richmond ilivyobumbuluka, mlitaka Jakaya ndio ang'atuke? Ofcoz ilikuwa lazima Waziri Mkuu ndio asepe. Mnamuonea huruma ya nini? Kwani alivyokubali uwaziri mkuu si alijua consequences zake? Hiyo ndio siasa. Asingetaka siasa angebakia kwao Monduli kuchunga ng'ombe

Unamsema mtu ambae hawezi kukujibu? Hii mada kaleta marehemu?

Una ugonjwa wa akili?
 
Siyo unafki ndio siasa mmoja bahati mbaya kashinda na mwingine kashindwa, lowasa angemtoa kikwete si wote tungesema kikwete dhaifu kama lema alivyokuwa akimwita one term president,
Kumtoaje tena? Kikwete alishamaliza 10 yake mkuu.
 
Back
Top Bottom