Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

mwenye hela ana
ila mzee aisee ana moyo. ningekuwa mimi hata kuongea nisingeongea. tuwe wakweli. lowasa alipiga sana kampeni mzee awe rais, ila sikuile alipoachia ngazi imeweka picha kubwa sana. sitaki kuendelea kusema, ila nimalize kwa kusema pengine ulikuwa mpango wa Mungu manake tungetawaliwa na lowasa leo hii aisee tungekuwa tumeibiwa pesa hadi nchi ingekuwa masikini kuliko ilivyo. thanks JK.
hangaika kukuibia tena? yule alishajitafuta akajipata kitambo mzee wangu.
 
Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Hatumsemi nani huyo mbwa wa chato kuna siku watanzania walifurahi kama lilivokufa sijui linaishije na bensanane
 
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).

Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"

Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.

vizee vya kiislam vinafki sana.
 
Siyo unafki ndio siasa mmoja bahati mbaya kashinda na mwingine kashindwa, lowasa angemtoa kikwete si wote tungesema kikwete dhaifu kama lema alivyokuwa akimwita one term president,
Yeye alivyomaliza miaka kumi yake kulikuwa na shida gani yeye akae pembeni amwachie Lowassa apambane?

Makubaliano huwa yanakuwepo. Kama Blair na Brown, Ruto na Uhuru, JK na Lowassa. Uhuru na JK ni ubinafsi, wivu, husuda uliwaongoza.
 
Kikwete hana lolote na ni mnafiki sana tena msaliti mkubwa. Yeye ndiye aliyeleta dili ya Richmond halafu akamuacha mwenzake solemba na tena mwenzake alipotaka kugombea urais ndio akammaliza kabisa.

Sijui anafikiri yeye ataishi milele. Very hopeless.
 
ila mzee aisee ana moyo. ningekuwa mimi hata kuongea nisingeongea. tuwe wakweli. lowasa alipiga sana kampeni mzee awe rais, ila sikuile alipoachia ngazi imeweka picha kubwa sana. sitaki kuendelea kusema, ila nimalize kwa kusema pengine ulikuwa mpango wa Mungu manake tungetawaliwa na lowasa leo hii aisee tungekuwa tumeibiwa pesa hadi nchi ingekuwa masikini kuliko ilivyo. thanks JK.
So unasema ikabidi awe jk ili tuibiwe kidogo?
 
Yeye alivyomaliza miaka kumi yake kulikuwa na shida gani yeye akae pembeni amwachie Lowassa apambane?

Makubaliano huwa yanakuwepo. Kama Blair na Brown, Ruto na Uhuru, JK na Lowassa. Uhuru na JK ni ubinafsi, wivu, husuda uliwaongoza.
Kama unakumbuka vizuri jk wakati raisi huyu ndugu yake alikuwa anasuka timu ya kumtoa kwa term ya kwanza , wewe unaona ilikuwa sawa? Kwenye siasa alichokipata lowasa ni ajali za kisiasa mmoja akishinda mwingine lazima ashindwe
 
Back
Top Bottom