Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Uzuri wa kikwete hata haongei sana na anaongea kwa wakati wake, si kama mahayawani watakavyo!! Haters mipulu imewatepeta, yenyewe ilijua hata msibani atazuiwa.
Huyu ninmtanzania aneipenda nchi yake duuhh hatareee
 
Pengine ni kweli lakini kwanini aseme sasa na si wakati Wote EL akiwa Hai.. Moyo wa mtu ni kiza kinene sana

Sent using Jamii Forums mobile app

This life of ours....we may do things and think we have won. Only to realise later that we have lost it all...and live with regrets. Trying ways to find peace with ourselves and our creator
 
Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Tunaangalia uzalendo zaidi.

Kipindi Cha kikwete mambo yalikua sio mambo. Shilingi ngumu Hadi uwe na kiyengo. Magu akaja usipofanya kazi huioni shilingi. Watu wakawa chapakazi na sio ma dalali.
 
Wala sihoji urafiki wao .... nina mashaka kama wamendela kuwa marafiki wa karibu hasa baada ya hiyo 2015. Ndiyo maana story anazotupa za urafiki wao ni za hiyo miaka ya nyuma .....!!
Haya mashaka yamesababishwa na unachotamani kusikia. Angesema alikuwa anamnywesha uji alipokuwa hospitali pengine usingehitimisha kuwa ni marafiki na ungehoji kama huo uji ulikuwa na sukari.
 
JK anamjua EL kuliko Mimi na wewe tunavyomjua, EL Marehemu inawezekana alimjua JK kuliko Mimi na wewe tunavyomjua pia.

Kwanini walikosana, JK na EL wenyewe ndio wanajua ni kwanini, mengine ni umbeya Tu.

Unaweza kumuona JK ni mkosaji kumbe EL inawezekana ndio alikuwa mkosaji au kinyume chake pia.
 
Mjniga nini wewe,hivi rafiki yako ataugua usiende kumjulia hali,useme hakuna ulazima?
Acha ujinga,yaani unaona ni sawa rafiki kufika msibani mwenzake akiwa amefariki ila kipindi cha ugonjwa asifike?
Acha ujinga.Kumbuka Benjamin Mkapa aliugua tena muda mfupi kuliko alivyougua ENL lakini JK alifika kumjulia hali mara kadhaa,kwanini isiwe hivyo kwa kwa rafiki ambaye hawakukutana barabarani?
Siyo kwamba kwasababu unatumia ID feki,unajitoa ufahamu sijui kisa UCHAWA au sijui nini?
Acha hizo.
Ona jinsi unavyokurupuka na upumbavu wako bila kuelewa kinachozungumzwa. Nilichohoji ni kuwa (kama kaenda au hajaenda) kwani kulikuwa na ulazima wa kuongea hayo pale hadi mje hapa mlalame enyi maamuma?!!!
 
JK anamjua EL kuliko Mimi na wewe tunavyomjua, EL Marehemu inawezekana alimjua JK kuliko Mimi na wewe tunavyomjua pia.

Kwanini walikosana, JK na EL wenyewe ndio wanajua ni kwanini, mengine ni umbeya Tu.

Unaweza kumuona JK ni mkosaji kumbe EL inawezekana ndio alikuwa mkosaji au kinyume chake pia.
Swadaktaaaaa!!
Vijitu vimbeya humu mpaka unashangaa kwanini vinavaa suruali!!
 
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).

Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"

Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.

Hiki kizee kinafiki sana
 
Tunaangalia uzalendo zaidi.

Kipindi Cha kikwete mambo yalikua sio mambo. Shilingi ngumu Hadi uwe na kiyengo. Magu akaja usipofanya kazi huioni shilingi. Watu wakawa chapakazi na sio ma dalali.
Uzalendo wa kuua watu,kupora watu fedha zao na kubambikia watu kesi na kujiona mungu mtu asiyetaka kuulizwa,kusemwa wala kukosolewa!
 
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).

Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"

Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.

Huu ni unafiki wa kiwango gani?
 
ila kwenye richmond lowasa alijua alikuwa na mapungufu. au walizungukana kwenye mpunga?
Lowasa alikua anasema mkwere awamu moja inamtosha,wanafki wakamwambia jakaya,kwa kuwa anamjua ana tamaa ya pesa na laana ya Nyerere,akawaambia mwacheni atajikaanga mwenyewe kwa mafuta yake,haikuchukua muda mchongo wa Richmond huu
 
Hatujawahi kumwona hata akinywa naye gahawa baada ya hiyo changamoto halafu leo aseme alikuwa rafiki
Bashe alipompiga spana chap alimtafuta wakakwea ngazi ghorofani
Yule alipopata changamoto alikuwa wapi kumfariji mpaka aseme chadema inatembea na fisadi la richmond?
 
Back
Top Bottom