Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Nilijua naongea na Mtanzania mwenzangu.Ni mnafiki mkubwa ndiyo maana alifuga majambazi hakina Bashite,Sabaya na wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua naongea na Mtanzania mwenzangu.Ni mnafiki mkubwa ndiyo maana alifuga majambazi hakina Bashite,Sabaya na wengine.
Mkuu naona kama mnajipa tabu na msongo wa mawazo usioisha huku mwenzenu Kikwete akibaki anatabasamu tu kila siku.Mbona wakati wa Mkapa alizungumzia alivyokwenda kumuona alikuwa na hali gani .... Mara nyingi watu huwa wanapenda kuzungumzia yale walioongea kabla ya kufa. Ukiona anaongelea historia ujue hawajaongea siku nyingi ... ukichukulia kuwa Marehemu ameumwa kitambo.... HINT!!
Mkuu naona kama mnajipa tabu na msongo wa mawazo usioisha huku mwenzenu Kikwete akibaki anatabasamu tu kila siku.
Hivi Mungu hajawahi kujadiliana na shetani kweli?😂😂😂
Huwa najiuliza Sana Urafiki wa Yesu na Shetani ulianzia Wapi hadi wote wakapanda Mlimani na kujadiliana kuhusu Dunia na Vilivyomo ndani yake
Mwenye majawabu tafadhali 🐼
Kwanini alipaswa kuzungumza kuhusu kumtembelea?Sasa kama walikuwa bado marafiki mbona hajazungumzia kutembelea wakati amelazwa ..... HINT!!
Sidhani kama wewe ni Mtanzania utakuwa mrundi kama yule bedui.Nilijua naongea na Mtanzania mwenzangu.
Kabisa mkuu, nafurahi kuona akili huru namna hii. Maana kwa sasa akili hizi zimebak8 chache sana....inaweza kuwa 2:100. Ukipitia comments za watu humu ndo unajua ni kwa namna gani taifa hili linahitaji elimu aisee; kiukweli watu ni wajinga wajinga tuuuu!Umemaliza kila kitu. Wanasiasa hawakutani mbele ya kamera tu. Wana maisha yao halisi na hatujui katika maisha halisi iwapo walikuwa wakizungumza na walizungumza nini.
Kwani Magu alipata kura ngapi baada ya Kampeni?Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
🤣🤣🤣Kwanini alipaswa kuzungumza kuhusu kumtembelea?
Hebu tuwe wakweli. Kosa la EL lilikuwa kujisahau akiwa Waziri Mkuu. Alijiona kuwa Urais wa JK ana ubia nao. Hapo JK akatafuta njia jinsi ya kumweka kando. Richmond ikawa ndiyo upenyo. Sawa na moyo wa jamaa ulivyotumika kumuondoa JK katika dhahama ya Jamaa. Nimemalizaila kwenye richmond lowasa alijua alikuwa na mapungufu. au walizungukana kwenye mpunga?
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Kwanini alipaswa kuzungumza kuhusu kumtembelea?
Mkuu wengine ni malsahi tu wapate vipesa vya views, Wanataka kusikia habari za uadui ili wapate vya kupost kwenye mapage yao na fake id za youtube huko. Wanajua wanachofanya.Kabisa mkuu, nafurahi kuona akili huru namna hii. Maana kwa sasa akili hizi zimebak8 chache sana....inaweza kuwa 2:100. Ukipitia comments za watu humu ndo unajua ni kwa namna gani taifa hili linahitaji elimu aisee; kiukweli watu ni wajinga wajinga tuuuu!
Huyu mnafiki kwenye msiba wa JPM alisema Yale majina matano yalikuwa yake kwa maana yeye ndo aliyemkata lowasaRais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI).
Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema Mwaka 2005 tulipoteuliwa kugombea Urais, mwenzangu akaja kuwa Waziri Mkuu tukapata changamoto katikati mwenzangu ikabidi akae pembeni, tukaendelea kuwa pamoja kuwa marafiki na kushirikiana kwa kila linalowezekana"
Kikwete ameongeza kuwa Lowassa ametoa mchango mkubwa katika taifa na yaliyotokea ni changamoto katika maisha lakini hayafuti mema na mazuri aliyofanya kwaajili ya nchi.
Kama mambo ya 2015 yasingetokea ungehoji iwapo ni marafiki?Yes, why not. Kwa nini anarudiarudia story za zamani tena ya before 2015... juzi kahojiwa kaongea hayo hayo anayoyasema leo!! kama ni marafiki si atuambie na mambo ya karibuni.
Kama mambo ya 2015 yasingetokea ungehoji iwapo ni marafiki?
Sana, sana. Tena mnooo.ila mzee aisee ana moyo. ningekuwa mimi hata kuongea nisingeongea. tuwe wakweli. lowasa alipiga sana kampeni mzee awe rais, ila sikuile alipoachia ngazi imeweka picha kubwa sana. sitaki kuendelea kusema, ila nimalize kwa kusema pengine ulikuwa mpango wa Mungu manake tungetawaliwa na lowasa leo hii aisee tungekuwa tumeibiwa pesa hadi nchi ingekuwa masikini kuliko ilivyo. thanks JK.
Mjniga nini wewe,hivi rafiki yako ataugua usiende kumjulia hali,useme hakuna ulazima?Ilikuwa na ulazima wowote?!!!!!