Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Bila unafiki siasa na mambo yake yote hayaendi, unawey kuomba msamaha kumbe ni unafiki, unaweza kusamehe kumbe ni unafiki, mnaweza kuwa pamoja kumbe ni unafiki pia.

Pengine tungemsikia marehemu akisema walikuwa pamoja tungeweza kusema lolote lakini kauli ya upande mmoja haina mantiki yoyote, hata kama marehemu angesema wapo pamoja kweli nayo isingeaminika ! Kama walikua pamoja kweli kwanini hatukuona ameenda kumjulia hali hata wakati mmoja wakati wote akiwa kitandani karibu mwaka?

Ukweli tu hawakukutana njiani ila alimuacha mwenzake njiani, hata hakurudi njia ile ile aliyo muacha kuangalia anaendeleaje bali alimuacha moja kwa moja mpaka mwenzake ametangulia!
 
Kuamini Kikwete asingekuwa na lolote la kusema kuhusu msiba wa Lowassa ni uzuzu, hiyo haiwezi kutokea kamwe kwa mwanasiasa.

Lowassa mwenyewe alionesha hakuwa na chuki wala roho ya kulipa kisasi, sijui kwanini watu baki mnaamua kuibeba hiyo roho ya chuki na kisasi kwa niaba ya Lowassa, msijipe kazi zisizokuwa zenu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Fikiria Tundu Antipas Lisu alivyommwagia Sifa Shujaa Magufuli kule Chato hadi akaomba kwenda kaburini 😀
 
Uzuri wa kikwete hata haongei sana na anaongea kwa wakati wake, si kama mahayawani watakavyo!! Haters mipulu imewatepeta, yenyewe ilijua hata msibani atazuiwa.
 
Back
Top Bottom