Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Yaleyale ya Chato 2021!!! Mnafiki sana huyu jamaa, na kama atawaachia watoto hiyo tabia basi ni hasara kubwa kwa kizazi chake, alimtosa mwenzake kwenye Richmond haikutosha akamtosa kwenye uchaguzi mkuu 2015 leo anasema alikuwa rafiki yake
Nyie si ndio mlisema hana ubavu wa kumkata ?

Binadamu gani Duniani kapata mafanikio ya kisiasa kama ya Jakaya akakwepa chuki za watu kama wewe ?

Leo imepita miaka 15 ndio Mnajua kuwa Mwakyembe na kina Slaa na Mbowe walichezeza ngoma wasioijua ?

Hiyo ndio Siasa
 
Ngumu kujua, huenda tungekuwa vizuri pia.
Issue sio Lowassa au Kikwete kama mtu, issue ni Chama Cha Madamu.

Kinazingatia WAO(ndugu,familia na jamaa) kimaslahi binafsi taifa baadae, kisha mwananchi atajua atakavyopambania kombe.
 


Tafadhali rudi ukatafiti vizuri scandal ya Richmond na investigations zake.
 

. Kwanza lilezengwe la Richmond alimpikia mshikaje wake. EDO akawa anapiga kazi kweli kweli na kutatua kero za wananchi zaidi hata ya Boss wake.


Ben akamwambia mkwer usipomuweka kando now huyu bwana….. huko mbele utamshindwa…… utashindwa kushawishi umma mtu awe PM for 10 years halafu uje kusema HAFAI kuwa Rais.


Mwamba akascot na timu yake, akaona ampige kirusi cha Richmond.

ila EDO was not smart upstairs yani au ni TRUST kwa mwana ? . I wonder why hakujua it was a set up.

Shida alimchukulia mshikaji kama mwana kichizi. …… he failed to realize kuwa they are not friends, wanajuana tu .

Rafiki wa kweli wa mkwere ni Dittopile marehemu, kinana na Makamba Yusuph hawa ndio washikaji zake hata totoz walikuwa wanapigiana.

Kirusi kilipompiga EDO , akaitwa kando….. jiachie nitakulinda along the way .

EDO akaingia kwenye set up ya pili.

Akautangazia UMMA.

Habari ya kumuweka kando ikaishia hapo in a very simple way.

Edo , with patience , akasubiri nyakati, wakati ulipofika akamfuata mshikaji wake.

my brother , tumetoka mbali remember our promise , ninachukua form ; tell me the truth nakusikiliza should I proceed ?

Nisiingie gharama kumbe kuna mpango mwingine.

Mwamba akajibiwa very simple ;

proceed , you have my back .

Politics is a shame !


Edo , akajikoki, na nyimbo zikaanza ; lowasaa wee…. Kukupenda…. Siachi, mtetezi wa wanyongee…….na blah blah

Only to be told kuwa hata jina lake haliendi halmashauri kuu. Na mshikaji wake akaanza kumpiga fimbo za mbali. Fisadi hawezi kupewa nchi.

Edo , ni mtu safi snaa , hakulipa kisasi, as a result alimpongeza JPM.

Tushukuru hekima za EDO, otherwise wangetafutana mtaani sana.
Ila naamini mkwere alifanya kwa maslahi ya nchi but mm siyajui

Haya maisha bwana

Lala salama Edo
 
JK Mungu anakuona walahi
 
Unamsema mtu ambae hawezi kukujibu? Hii mada kaleta marehemu?

Una ugonjwa wa akili?
Acha nyege. Sijamsema marehemu. Nawasema nyie mnaowashwa kumtetea Lowasa, kwani waliochukua fomu si walikuwa 40? Na alikuwa anatakiwa achaguliwe mmoja? Asa kwanini mnalazimisha awe lazima Lowasa? Hii nchi sio mali ya mtu binafsi. Ndio siasa ilivyo. Nashangaa Lowasa mwenyewe hakuumia kama nyie mnavyoumia kwa niaba yake. Tulieni. Ndio siasa ilivyo. Deal with it
 
Linafiki hili, lina roho ya kichawi sana.
 
Sura tu inakupa jibu shida apatayo kuieleza hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…